Huu muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni hatari kwetu wa bara. Unatumia rasilimali zetu, na nguvu kazi yetu.
Tuwaache Wazanzibar na nchi yao, tudumishe Tanganyika yetu
Hakuna dhuluma yoyote, kwa udogo wa Zanzibar kikundi kama uamsho kinatumiwa na watu wachache sana kwa ajili ya interest zao, Zanzibar ikijitoa kwenye Muungano, Raza ataendesha Airport, Bopar ndio ataimport chakula chote, Suma atapewa Bandari, ... yaani matajiri wasiozidi kumi wakishirikiana na mabwana zao wa umangani watadhibiti uchumi wote wa Zanzibar, waandamanaji hawajui lolote wamepewa tende tu,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.