Elections 2010 Mambo 5 atayofanya Mh Slaa siku 30 baada ya kuwa Rais.

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
3,804
1,871
Kwa vile Mh Slaa haamini ktk Demokrasia, na anaitumia Demokrasia kuingia madarakani tu na kudanganya watanzania.

Hivyo yafuatayo ni mambo muhimu matano atayofanya pindi tu kama atachaguliwa kuwa Rais wa jamhuri ya Tanzania:

1. Atafutilia mbali sheria ya Rais kugombea vipindi viwili tu (ili ajihakikishie kuwepo madarakani mpaka anakufa.

2. Atafunja Bunge na kutawala na mawaziri tu (hoja yake: Bunge linakula pesa ambazo zingewasomesha wanafunzi bure, na kwamba kichwa chake pekee kinatosha kuongoza nchi)

3. Atasitisha pesa za kujenga miundo mbinu ili atoe elimu bure na pesa nyingine ziende kutoa ruzuku kwenye saruji ili kupunguza bei ya saruji.

4. Atachapisha pesa nyingi ili kutoa ukatu na umasikini Tanzania kama alivyofanya Idd Amin.

5. Atavunja vyama vyote vya siasa, kwani yeye huwaita watanzania MAMBUMBUMBU hivyo haoni kwanini kupoteza pesa kvihudumia vyama vya siasa (ruzuku) na kugharamia uchaguzi wakati yeye ni rais wa maisha.

Hizo ndizo ahadi za huyu Mh Slaa. Samahani, kwani sioni jina jingine la kumwita zaidi ya DIKITETA. No, wala sio auktoritet bali ni DIKITETA.

Unahitaji hayo!! basi mchague Mh Slaa, Vinginevyo una uchaguzi mwingine CCM.

5.
 
Mmmh, hayo unayosema ndiyo Slaa anayofikiria au ndio yaleyale ya woga usio na sababu?
 
Hizo ahadi alizitoa wapi na lini? chanzo tafadhali.
 
aah hapa bado hujanipata, hebu njoo na lingine labda kwa mbaaaaaaaaali nitakuelewa
 
Kwa vile Mh Slaa haamini ktk Demokrasia, na anaitumia Demokrasia kuingia madarakani tu na kudanganya watanzania.

Hivyo yafuatayo ni mambo muhimu matano atayofanya pindi tu kama atachaguliwa kuwa Rais wa jamhuri ya Tanzania:

Ndivyo alivyokwambia? ,mlikuwa mmejificha wapi na mnafanya nini?
 
Kwa vile Mh Slaa haamini ktk Demokrasia, na anaitumia Demokrasia kuingia madarakani tu na kudanganya watanzania.

Hivyo yafuatayo ni mambo muhimu matano atayofanya pindi tu kama atachaguliwa kuwa Rais wa jamhuri ya Tanzania:

1. Atafutilia mbali sheria ya Rais kugombea vipindi viwili tu (ili ajihakikishie kuwepo madarakani mpaka anakufa.

2. Atafunja Bunge na kutawala na mawaziri tu (hoja yake: Bunge linakula pesa ambazo zingewasomesha wanafunzi bure, na kwamba kichwa chake pekee kinatosha kuongoza nchi)

3. Atasitisha pesa za kujenga miundo mbinu ili atoe elimu bure na pesa nyingine ziende kutoa ruzuku kwenye saruji ili kupunguza bei ya saruji.

4. Atachapisha pesa nyingi ili kutoa ukatu na umasikini Tanzania kama alivyofanya Idd Amin.

5. Atavunja vyama vyote vya siasa, kwani yeye huwaita watanzania MAMBUMBUMBU hivyo haoni kwanini kupoteza pesa kvihudumia vyama vya siasa (ruzuku) na kugharamia uchaguzi wakati yeye ni rais wa maisha.

Hizo ndizo ahadi za huyu Mh Slaa. Samahani, kwani sioni jina jingine la kumwita zaidi ya DIKITETA. No, wala sio auktoritet bali ni DIKITETA.

Unahitaji hayo!! basi mchague Mh Slaa, Vinginevyo una uchaguzi mwingine CCM.

5.
pamoja na kukiri kuwa Slaa ataingia ikulu na kuanza kuiongoza tz msaada hapo kwenye red
 
may your life be like a toilet paper......long and useful
 
mawazo yako ni mzigo!!!

Ni kweli, huyu Mh mawazo yake ni mzigo kweli kweli.

Kwasababu anayoyafikiria yataiangusha nchi yetu. Waingereza walimcheka Nyerere, kuwa anatoa elimu na matibabu bure katika nchi masikini kama Tanzania. Waingereza waliona ni muujiza, na kama ukitokea basi hata wao watafanya hivyo.

Lakini wapi na wapi, mpaka Ng'ombe akaanguka chini, na watanzania hao hao wakaanza kumlaumu kuwa miaka 30-40 hujaongeza vyuo vikuu wala hospitali, bila ya kujua kuwa hayo ni matokeo ya Elimu bure.

Sasa huyu DIKITETA KWELI ATAWEZA?
 
No Zawadi Ngoda ni zaidi ya KENGE... pure & simple, zawadi 101% = KENGE refer her prevoius posts, vuvuzela huwa linapulizwa, huyu kasha PULIZWA, vuuuuu.... puupuuu....
31 oct akijaa atapasuka Pwaaaaaaaaaaah
 
kWELI NITAPASUKA, maana nchi yenyewe ITAPASUKA kama huyu Mh DIKITETA atashinda. WEWE angalia hayo mambo 5 ambayo ndio mikakati yake ni sawa na zile janja za akina Museveni. Eti waafrika hawatakiwi kuwa na vyama vingi.

Hawa marais wako kundi moja: Museveni, Mele Zinawi, Lukashenko, Fidel Kastro na huyu mh Slaa anamawazo kama ya hao.

Mungu tuondolee balaa hili
 
ebwana shehe yahya anaendeleaje kule "hospitali"?
 
Kwa vile Mh Slaa haamini ktk Demokrasia, na anaitumia Demokrasia kuingia madarakani tu na kudanganya watanzania.

Hivyo yafuatayo ni mambo muhimu matano atayofanya pindi tu kama atachaguliwa kuwa Rais wa jamhuri ya Tanzania:

1. Atafutilia mbali sheria ya Rais kugombea vipindi viwili tu (ili ajihakikishie kuwepo madarakani mpaka anakufa.

2. Atafunja Bunge na kutawala na mawaziri tu (hoja yake: Bunge linakula pesa ambazo zingewasomesha wanafunzi bure, na kwamba kichwa chake pekee kinatosha kuongoza nchi)

3. Atasitisha pesa za kujenga miundo mbinu ili atoe elimu bure na pesa nyingine ziende kutoa ruzuku kwenye saruji ili kupunguza bei ya saruji.

4. Atachapisha pesa nyingi ili kutoa ukatu na umasikini Tanzania kama alivyofanya Idd Amin.

5. Atavunja vyama vyote vya siasa, kwani yeye huwaita watanzania MAMBUMBUMBU hivyo haoni kwanini kupoteza pesa kvihudumia vyama vya siasa (ruzuku) na kugharamia uchaguzi wakati yeye ni rais wa maisha.

Hizo ndizo ahadi za huyu Mh Slaa. Samahani, kwani sioni jina jingine la kumwita zaidi ya DIKITETA. No, wala sio auktoritet bali ni DIKITETA.

Unahitaji hayo!! basi mchague Mh Slaa, Vinginevyo una uchaguzi mwingine CCM.

5.

Sa weye ni katibu wake? ama umeyajuaje haya?
 
Kwa vile Mh Slaa haamini ktk Demokrasia, na anaitumia Demokrasia kuingia madarakani tu na kudanganya watanzania.

Hivyo yafuatayo ni mambo muhimu matano atayofanya pindi tu kama atachaguliwa kuwa Rais wa jamhuri ya Tanzania:

1. Atafutilia mbali sheria ya Rais kugombea vipindi viwili tu (ili ajihakikishie kuwepo madarakani mpaka anakufa.

Dr Slaa amesema, iwapo atachaguliwa kuwa Rais wa JMT atatumikia nchi kwa miaka 5. Nadhani umepiga Hesabu yako ya kubuni ya 5 x infinite= Infinite.
Sijui kwa nini hukufanya 2010 -1961= GreenVest ya kijani + Ufisadi?

2. Atafunja Bunge na kutawala na mawaziri tu (hoja yake: Bunge linakula pesa ambazo zingewasomesha wanafunzi bure, na kwamba kichwa chake pekee kinatosha kuongoza nchi)

Hivi Kuwa na Wabunge Vishaibu kama Kingunge Ngombare Mwiru, Malecela na Msekwa,pia kuwa na wale wenye Criminal face kama Rostam Aziz wasiochangia kitu wala kuelewa chochote huku wakimbonji na kutoa udendaa Bungeni si sawa kabisa na kuto kuwa na Bunge? Kinyume chake basi, dr Slaa atalipa Bunge Meno yake kiasi cha kuwafanya nyie mlozoea kula kwa kudokoa kuhaha kila kona.

3. Atasitisha pesa za kujenga miundo mbinu ili atoe elimu bure na pesa nyingine ziende kutoa ruzuku kwenye saruji ili kupunguza bei ya saruji.

Hapa naona umeshikwa na Mfadhaiko hujui wapi uchome ujiku. Hesabu zako zote zinakutuma kwamba wale ulokuwa ukiwaringishia nyumba yako ya fedha haramu si muda mrefu nao watasimamisha vibanda vyao na ulimbukeni wako utakoma. Swala nikuondoa Kodi, siyo kutoa fedha kutoka mfuko wa mmoja na kuziweka mfuko mwingine.

4. Atachapisha pesa nyingi ili kutoa ukatu na umasikini Tanzania kama alivyofanya Idd Amin.

Ni Ukata siyo Ukatu. Hayo mabilioni ambayo Mjomba wako JK anachujusha thamani ya fedha kwa kusamehe kodi na kuruhusu wizi wa kufunga Tai si sawa kabisa na kuchapisha fedha? Mmeanza kuhisi Makali ya Bano la Slaa hata kable komeo halijapachikwa??

5. Atavunja vyama vyote vya siasa, kwani yeye huwaita watanzania MAMBUMBUMBU hivyo haoni kwanini kupoteza pesa kvihudumia vyama vya siasa (ruzuku) na kugharamia uchaguzi wakati yeye ni rais wa maisha.

Dr Slaa Amesema "CCM Inawafanya waTanzania mbumbumbu" Hii ina maana CCM imeamua kuwageuza watu wenye akili zao mbumbumbu kwa kutumia kila nguvu ya kiserikali iliyo ndani ya uwezo wake. Usemi huu wa Dr Slaa na maelezo yako hapo juu ni vitu viwili tofauti kabisa ni sawa kabisa lubani wa ndege kurusha ndege toka Dodoma akielekea Bahari ya Hindi kisha Ghafla kujikuta anakatiza milima ya Kantalamba kuelekea Lake Tanganyika.

Hizo ndizo ahadi za huyu Mh Slaa. Samahani, kwani sioni jina jingine la kumwita zaidi ya DIKITETA. No, wala sio auktoritet bali ni DIKITETA.

Unahitaji hayo!! basi mchague Mh Slaa, Vinginevyo una uchaguzi mwingine CCM.

Uzuri wa uhuni wa CCM ni huu, sawa wameiba lakini si wachoyo hata kidodo. Hawakula pekee yao yale mabilioni yote waloiba. Katika yale mabilioni ya Dola wameamua kushare na ninyi akina Zawadi kwa kuwanunulia Khanga Kofia na GreenVest za kijani ili kuwanusuru na aibu ya kutembea uchi. Na sisi akina Madela kwa vile tunashabikia mageuzi itabidi tutembee nusu uchi kwa miaka 5. Kwa ujinga wetu wa kutoshiriki mgawo wa matunda ya miaka 50 ya Uhuru na kwapa heshima wale wanaoiba kwa niaba yetu tutakufa makalio nje wakati nguo za yanga ziko tele teana bure.

5.

Zawadi Ngoda haya ni mawazo yako yatokanayo na tafsiri ya kile udhanicho unakisikia kutoka katikati ya hotuba makini za Dr slaa.
Huu ndo Uhuru wa kusema chochote utakacho ili mradi huvunji sheria. Ulichokisahau hapo ni nukuu kadhaa kuthibitisha ni lini na katika mkutano upi Dr Slaa alisema maneno hayo.

Zile Ahadi za JK kwamba atageuza Kigoma kuwa Dubai kinyume chake ni nini? Atageuza kigoma kuwa jehanamu ya Duniani?

Mkiimba juu ya AMANI NA UTULIVU maana yake ni nini? Vita na Sngombingo?? Nimejua Janja yenu ya nyani!!!
 
Back
Top Bottom