Mamamkwe ananichanganya

Nimeoa ninaishi na mke wangu,mama wa mke wangu amekuwa akimshinikiza mke wangu kuivunja ndoa yetu hadi ananipigia cm na kuanza kunifokea kisa eti tuligombana siku moja.Lakini mimi nimekuwa nikimwambia hakuna mteremko kwenye ndoa,pia namkumbusha kuwa ndoa yetu tulifunga kanisani sasa mbona unataka kuivunja na pia tulisuluhishwa na ndugu wa pande zote akiwepo na Mchungaji.Pia huyu mamamkwe imefikia hatua ya kuingilia maamuzi ya ndoa yetu kwa kuingilia mipangoyetu.Sasa najiuliza pengine anafanya hivyo kwa sab
Kwa taarifayako mama mkwe na mkeo lao moja,
Mama mkwe hawezi kujua lolote kuhusu mipango yenu au mambo yenu biafsi km mkeo hamwambii,
Km mkeo angekuwa anakupenda mama yake asingekuwa na jeuri ya kuingilia ndoa yenu,
Km unataka kutibu huo ungonjwa anza na mkeo ndio mama mkwe atafata!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom