Mama

Badu

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
407
106
Nilipofika nyumbani,nilikua
nimenyeshewa.Ndugu yangu
akaniambia, "si nilikuambia
usitoke."Dada yangu akaniambia,
"hata hujanyeshewa
vizuri."Baba ,kwa sauti ya hasira
akasema, "we nyeshewa
tu.ukiwa mgongwa ujitibu na
hela zako."ila MAMA ,huku
akinipanguza panguza alikashifu,
"hii mvua nayo.si ingengoja
mwanangu afike nyumbani
kwanza!"COMMENT OR LIKE, IF YOU THINK
MOM ARE ALWAYS THE BEST.
 
Process of attachment begins in the womb of Mama zetu, who gave birth to us.
A 5 month old fetus is able to recognize her mother's voice, as well as to sense maternal emotions through a neuro-hormonal dialogue.
As soon as a human infant is born and his nasal passages cleaned out he can recognize his mother's smell.
Thus the attachment process, the process of creating affectional ties between mother & infant begun!
> Mother has an undetectable bond with her child
> Mother always sacrifice a lot !
Safari ya mtoto na mwana KIMAPENZI huanzia hapa na haikomi tena mpaka mmoja kati yao afe .
 
Ilooove u im so touched by ur explanation hubby im in tears now ooooh my God thank u again loove
 
Ilooove u im so touched by ur explanation hubby im in tears now ooooh my God thank u again loove

Thanks my ma'lav am acknowledge your maguu here! Btw my wills to you don cry nearest with your Mom!
Pls come to Judgement's outskirts and cry on top of Judge's chest !
Your tears slowly penetrate on my switpole ! nd go through to my kopa!
 
process of attachment begins in the womb of mama zetu, who gave birth to us.
A 5 month old fetus is able to recognize her mother's voice, as well as to sense maternal emotions through a neuro-hormonal dialogue.
As soon as a human infant is born and his nasal passages cleaned out he can recognize his mother's smell.
Thus the attachment process, the process of creating affectional ties between mother & infant begun!
> mother has an undetectable bond with her child
> mother always sacrifice a lot !
Safari ya mtoto na mwana kimapenzi huanzia hapa na haikomi tena mpaka mmoja kati yao afe .
sooo sweet! So touching! Its very, very true!
 
hata wababa wengine wamo ona huyu -jayz na mtoto wake

JAY Z na mtoto wake.jpg

Wa baba tulie sio?
 
hii ni zawadi kwenu kutoka kwangu mama:

TITI LA MAMA

(1)
Titi la mama litamu, hata likiwa la mbwa,
Kiswahili naazimu, sifayo iliyofumbwa,
Kwa wasiokufahamu, niimbe ilivyo kubwa,
Toka kama mlizamu, funika palipozibwa,
Titile mama litamu, Jingine halishi hamu.

(2)
Lugha yangu ya utoto, hata sasa nimekua,
Tangu ulimi mzito, sasa kusema najua,
Ni sawa na manukato, moyoni mwangu na pua,
Pori bahari na mto, napita nikitumia,Titile mama litamu,
jingine halishi hamu.

By Shaban Rorbertfrom Jahadhmi's anthology of Swahili poetry
 
Nilipofika nyumbani,nilikua
nimenyeshewa.Ndugu yangu
akaniambia, "si nilikuambia
usitoke."Dada yangu akaniambia,
"hata hujanyeshewa
vizuri."Baba ,kwa sauti ya hasira
akasema, "we nyeshewa
tu.ukiwa mgongwa ujitibu na
hela zako."ila MAMA ,huku
akinipanguza panguza alikashifu,
"hii mvua nayo.si ingengoja
mwanangu afike nyumbani
kwanza!"COMMENT OR LIKE, IF YOU THINK
MOM ARE ALWAYS THE BEST.

Divine Providence..

Back
Top Bottom