Mama Zitto Kabwe amkampenia JK

Status
Not open for further replies.
Mrema aliendelea kusema kuwa suala la ufisadi hata Baba wa Taifa alilishindwa kwa sababu baadhi ya viongozi waliokuwa wakifanya naye kazi walipohusishwa na ufisadi aliwahamisha au kuwaongezea majukumu badala ya kuwawajibisha.

“Mwingira aliuza ndege ya serikali, mbona Nyerere alimhamisha na kumpa ukuu wa mkoa wa Arusha? Balozi Mustafa Nyang’anyi alinunua kivuko kibovu Mwalimu akampa ubalozi wa Marekani; Rais Kikwete amewapeleka watu mahakamani ninyi mnasema mtamtosa!” alishangaa Mrema.

....Mrema unapaswa kufahamu kuwa kosa moja halihalalishi jingine...kushindwa kwa Nyerere kupambana na ufisadi si tiketi ya wewe na Kikwete kuhalalisha ufisadi. Hii njaa itakupeleka pabaya........kupeleka watu wachache mahakamani na kusamehe wanaorejesha pesa bila kuchukuliwa hatua si dalili njema hata kidogo. Sasa nimeelewa bora ulivyokosa urais manake inaelekea wewe ni kinyonga na unachohangaikia ni tumbo tu na si masilahi ya taifa kama unavyodai. Shame on you!
 
Huyu mama ni kiongozi wa ngazi za juu huko Chadema. Anampigia debe muungwana kwasababu amedokezewa kuwa kama muungwana atafanikiwa kuwa Rais hapo mwakani kuna uwezekano wa mwanae kuukwaa uwaziri!! Mama ndio hivyo anajipendekeza ili ndoto ya mwanae kuwa waziri itimie!! Mambo ya Dowans hayo; king maker bado anafanya vitu vyake.

Na ili kufunika hii issue ... wamevujisha habari kuwa Zitto anawania Kinondoni. Janja ya nyani kwisagundulika. Nimesema hapa over and over again kuwa baada ya issue ya dowans kujulikana, Zitto alikuwa njiani kwenda sisiemu.
 
Dear Selous; nilichoandika na nadhani umenielewa post yangu nzima , kuwa statement zozote zinazotolewa na vyama vya upinzani juu ya CCM na JK lazima ziwe critical.

Mbowe alisema JK avunje baraza la mawaziri, sentensi hii kwako Selous utakuwa umenielewa haraka sana nina maanisha nini. Ukisema leo hii JK avunje baraza la mawaziri, maana yake; JK ni mzuri, anafaa, wanaomwangusha ni mawaziri. Na je akishavunja bara za la mawaziri si atapata sifa? akipata sifa Chadema itashikaje nchi? still unataka usimame kugombea urais??. Ningeweza kueleza hili over and over. Yaani aligeuka kuwa consultant wakati tumemuweka awe mbele kuiondoa CCM, kuna statement nyingi sana ambazo utakuta wapinzani wanaongea wakidhani wanajenga kumbe wanaharibu. Mbaya zaidi kwa chadema ili shadeclare JK ni fisadi; leo hii anabadilika na kuwa msafi kiasi cha kumwabia avunje baraza la mawaziri

Habari iko humu humu JF, ebu jikumbushe hiyo thread. However nimependa ulivyouliza swali lako

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/47458-jk-vunja-baraza-la-mawaziri-mbowe.html

nadhani nimejaribu kujibu

cheers

Tuonyesheni mahali pamoja ambapo Mbowe amemfisia JK. Tunachoona ni kuwa Mbowe humuita Kikwete kuwa ni kiongozi dhaifu na msanii-http://www.sekenke.com/bodi/showthread.php?t=10941

Mbowe anatambua kuwa Kikwete ameelemewa na nchi-https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/19455-mbowe-kikwete-ameelemewa.html

http://www.freemedia.co.tz/daima/2007/1/6/habari2.php

Mbowe alimbeza Kikwete kuhusu Dowans-http://www.freemedia.co.tz/daima/2007/1/6/habari2.php

Mbowe alisema Kikwete alihongwa wakati wa uchaguzi: http://www.freemedia.co.tz/daima/2007/1/6/habari2.php

Kwa hiyo huyo ndiye Mbowe mnayedai anamsifia Kikwete? Hebu leteni mifano ya maandishi

serayamajimbo
 
Mrema mwongo. Aliyempa Nyang'anyi ubalozi wa Marekani ni Mwinyi. Nyerere was already out of power.
 
Si mshangai, maana kama mwanae aliweza kuhongwa na kina RA, wewe unategemea hajui radha ya kujiunga na magenge ya ufisadi wa TZ, Kaonjeshwa asali na Zito sasa anaamua na yeye akachonge mzinga, kwa maslahi ya kifamilia.
mwaka huu wa uchaguzi tutayasikia na kuyaona mengi.

Makubwa haya, mwenzetu ulijuaje? tusimulie basi jinsi alivyohongwa na RA.
 
Tuonyesheni mahali pamoja ambapo Mbowe amemfisia JK. Tunachoona ni kuwa Mbowe humuita Kikwete kuwa ni kiongozi dhaifu na msanii-http://www.sekenke.com/bodi/showthread.php?t=10941

Mbowe anatambua kuwa Kikwete ameelemewa na nchi-https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/19455-mbowe-kikwete-ameelemewa.html

http://www.freemedia.co.tz/daima/2007/1/6/habari2.php

Mbowe alimbeza Kikwete kuhusu Dowans-http://www.freemedia.co.tz/daima/2007/1/6/habari2.php

Mbowe alisema Kikwete alihongwa wakati wa uchaguzi: http://www.freemedia.co.tz/daima/2007/1/6/habari2.php

Kwa hiyo huyo ndiye Mbowe mnayedai anamsifia Kikwete? Hebu leteni mifano ya maandishi

serayamajimbo

Nilituma post yenye maelezo haya, naomba read between the lines na uijibu, acha siasa, ukisema CCM wamefanya mazuri yapi nchi hii si watajazi vitabu?, Mbowe kumseam rais vibaya kipindi fulani hakufuti kauli yake ya kumfagilia kwenye ile link!!! siamini kama Sera ya Majimbo unaweza kujibnu post ulivyoijibu, umejibu kishabiki, na hujasema ile particula post na maelezo yake!

Jibu this particular post, muwe waangalifu kujibu vitu vingine huwa havijibiki kabisa.

This was my post:

Dear Selous; nilichoandika na nadhani umenielewa post yangu nzima , kuwa statement zozote zinazotolewa na vyama vya upinzani juu ya CCM na JK lazima ziwe critical.

Mbowe alisema JK avunje baraza la mawaziri, sentensi hii kwako Selous utakuwa umenielewa haraka sana nina maanisha nini. Ukisema leo hii JK avunje baraza la mawaziri, maana yake; JK ni mzuri, anafaa, wanaomwangusha ni mawaziri. Na je akishavunja bara za la mawaziri si atapata sifa? akipata sifa Chadema itashikaje nchi? still unataka usimame kugombea urais??. Ningeweza kueleza hili over and over. Yaani aligeuka kuwa consultant wakati tumemuweka awe mbele kuiondoa CCM, kuna statement nyingi sana ambazo utakuta wapinzani wanaongea wakidhani wanajenga kumbe wanaharibu. Mbaya zaidi kwa chadema ili shadeclare JK ni fisadi; leo hii anabadilika na kuwa msafi kiasi cha kumwabia avunje baraza la mawaziri

Habari iko humu humu JF, ebu jikumbushe hiyo thread. However nimependa ulivyouliza swali lako

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/47458-jk-vunja-baraza-la-mawaziri-mbowe.html

nadhani nimejaribu kujibu

cheers

Kama kuna maana zimefichwa basi utueleze na utuambie sisi wananchi wa kwaida tunajuaje hizo maana, This is not Mesiah proverbs
 
Unajua upo kwenye jukwaa la siasa? Bila kutumia akili nyingi,
Mbowe amemsema JK vibaya mara nyingi kuliko kumsema vizuri. Halafu wewe ndo unaona kamsema vizuri ila mimi big NO.

Kama wewe na wengine wote wanatumia hio statement, nijuavyo na ndicho kinachonisababisha niipende na kusahbikia CHADEMA ni kuwa ni Yeye alikubali kushindwa ndo maana akaenda kwenye matangazo ya matokeo na pia is cheap kuvunja baraza rather than any.

Hebu jibu hili tena.
 
Ule mkutano niliunona na watu waliohudhuria ni wacahache mno sidhani kama ni mahala sawia pa kutolea pendekezo.
 
Dear Selous; nilichoandika na nadhani umenielewa post yangu nzima , kuwa statement zozote zinazotolewa na vyama vya upinzani juu ya CCM na JK lazima ziwe critical.

Mbowe alisema JK avunje baraza la mawaziri, sentensi hii kwako Selous utakuwa umenielewa haraka sana nina maanisha nini. Ukisema leo hii JK avunje baraza la mawaziri, maana yake; JK ni mzuri, anafaa, wanaomwangusha ni mawaziri. Na je akishavunja bara za la mawaziri si atapata sifa? akipata sifa Chadema itashikaje nchi? still unataka usimame kugombea urais??. Ningeweza kueleza hili over and over. Yaani aligeuka kuwa consultant wakati tumemuweka awe mbele kuiondoa CCM, kuna statement nyingi sana ambazo utakuta wapinzani wanaongea wakidhani wanajenga kumbe wanaharibu. Mbaya zaidi kwa chadema ili shadeclare JK ni fisadi; leo hii anabadilika na kuwa msafi kiasi cha kumwabia avunje baraza la mawaziri

Habari iko humu humu JF, ebu jikumbushe hiyo thread. However nimependa ulivyouliza swali lako

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/47458-jk-vunja-baraza-la-mawaziri-mbowe.html

nadhani nimejaribu kujibu

cheers

Kama hilo ndio jibu kwa swali lililoulizwa, Na wanaJF wakakubali hilo ni jibu sahihi .... Basi Tanzania haitakuja endelea.... Mkuu Waberoya jibu Swali
 
- Ni kweli na ilikuwa ni kampeni maalum iliyompeleka hata Marehemu Mwakawago Italy!

Respect.

FMEs!

Hata hivyo ukweli unabaki pale pale kuwa Mustapha Nyang'anyi alifanya ufisadi wa kununua kivuko mtumba na hata hivyo maamuzi magumu hayakufanywa juu ya uhalifu huo!!
 
Ni mwanasiasa na wanasiasa wote ndivyo walivyo.yeye ndiye aliyemtengeneza mwanawe awe vile unadhani mchezo? Ni mwanasiasa na watu hula katika siasa. Huko hakuna darasa bali unavyojua kupepeta na kuwafanyia wenzio masikhara ya kuwatawala ha ha ha:D
 
Mrema ndo simuelewi kabisa hasa hayo ya kutumia udhaifu wa Nyerere kumfanya JK aonekane mpambanaji.

-Yaani mrema anawatukana waziwazi waliompigia kura uchaguzi wa Mwaka 1995.Yaani anajua akirudi CCM leo hii itakua noma kaanza kurudi kisanii.

Mrema sucks!
 
Usisahau kua ni hizi hizi katiba na demokrasia ndio zilizotufikisha hapa tulipo. Nchi isiyo na matumaini.
Walahi wewe ni mzushi!

Kama kungelikuwa hakuna matumaini ungeliishi wewe na kuandika? Moja ya laana kubwa duniani ambayo hata kanisa katoliki linachukia ni kukata tamaa kwani ni moja ya mizizi mikubwa yenye kuchota maji mengi ya chuki na hasira na kukwepa matumizi ya busara na kutengeneza busati kama mbuga ya ngongoro ambapo huoni horizoni na majani unakula kwa kuzingatia uwezo wako.

Ndio kusema kama hutumii akili huwezi kutumia busara, na kwa kuwa huna busara huwezi kujenga hoja bali kukatisha tamaa watu wengine wenye nia na dhamira safi ya kuhudumia miaka 50 ya kuchapa kazi na mingine 20 ya kutoa ushauri kwa kizazi kijacho.
 
Unajua upo kwenye jukwaa la siasa? Bila kutumia akili nyingi,
Mbowe amemsema JK vibaya mara nyingi kuliko kumsema vizuri. Halafu wewe ndo unaona kamsema vizuri ila mimi big NO.

Kama wewe na wengine wote wanatumia hio statement, nijuavyo na ndicho kinachonisababisha niipende na kusahbikia CHADEMA ni kuwa ni Yeye alikubali kushindwa ndo maana akaenda kwenye matangazo ya matokeo na pia is cheap kuvunja baraza rather than any.

Hebu jibu hili tena.

Mkuu how can yo demand an answer from indiscreet person like me? or are you too like me? I think from my low mind, forums should not be like that. So go on man discuss with other people who are genius like you.

Waberoya,

Take it that way but i will remain here with these! Nilitegemea ungechukua matamko ya mojawapo ya mabandiko pamoja na simple analysis kujibu badala yake unanirukia. Poa
 
Nilituma post yenye maelezo haya, naomba read between the lines na uijibu, acha siasa, ukisema CCM wamefanya mazuri yapi nchi hii si watajazi vitabu?, Mbowe kumseam rais vibaya kipindi fulani hakufuti kauli yake ya kumfagilia kwenye ile link!!! siamini kama Sera ya Majimbo unaweza kujibnu post ulivyoijibu, umejibu kishabiki, na hujasema ile particula post na maelezo yake!

Jibu this particular post, muwe waangalifu kujibu vitu vingine huwa havijibiki kabisa.

This was my post:

Dear Selous; nilichoandika na nadhani umenielewa post yangu nzima , kuwa statement zozote zinazotolewa na vyama vya upinzani juu ya CCM na JK lazima ziwe critical.

Mbowe alisema JK avunje baraza la mawaziri, sentensi hii kwako Selous utakuwa umenielewa haraka sana nina maanisha nini. Ukisema leo hii JK avunje baraza la mawaziri, maana yake; JK ni mzuri, anafaa, wanaomwangusha ni mawaziri. Na je akishavunja bara za la mawaziri si atapata sifa? akipata sifa Chadema itashikaje nchi? still unataka usimame kugombea urais??. Ningeweza kueleza hili over and over. Yaani aligeuka kuwa consultant wakati tumemuweka awe mbele kuiondoa CCM, kuna statement nyingi sana ambazo utakuta wapinzani wanaongea wakidhani wanajenga kumbe wanaharibu. Mbaya zaidi kwa chadema ili shadeclare JK ni fisadi; leo hii anabadilika na kuwa msafi kiasi cha kumwabia avunje baraza la mawaziri

Habari iko humu humu JF, ebu jikumbushe hiyo thread. However nimependa ulivyouliza swali lako

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/47458-jk-vunja-baraza-la-mawaziri-mbowe.html

nadhani nimejaribu kujibu

cheers

Kama kuna maana zimefichwa basi utueleze na utuambie sisi wananchi wa kwaida tunajuaje hizo maana, This is not Mesiah proverbs

Kama umekosa mfano wa Mbowe kumsifia Kikwete ukiri tu kuwa huna mfano. Mbowe kusema JK avunje baraza na kuwa anatabia ya kucheka na mafisadi kwako wewe ndio sifa kwa Kikwete? Kama hiyo ndio sifa basi kubeza kumepoteza maana.

Mbowe katika habari hiyo ameweka bayana kwamba Kikwete kama kweli anadhamira ya kupambana na ufisadi avunje baraza lake lakini akambeza kuwa hataweza kwa kuwa anacheka na mafisadi.

Suala la Rais kutakiwa kuvunja baraza la mawaziri ni la kawaida kutolewa kwa upnzani ndani ya kipindi cha utawala wa miaka ambayo bado huyo rais yuko madarakani. Mbowe angeonekana wa ajabu zaidi kama angesema Rais jiuzulu sasa hivi.

Lakini mpaka sasa hamjanionyesha mahali popote ambapo Mbowe amesema Kikwete anafanya kazi nzuri. Wala hamkuonyesha popote ambapo ametaka JK aongezewe miaka mitano. Kuna wanasiasa watatu wakubwa ambao wamekuwa na consistency katika kauli zao za kumponda Kikwete toka 2005 mpaka sasa. Mbowe, Prof Lipumba na Dr Slaa. Hawa wakati watanzania wanamuita Kikwete kuwa na masiha wao walisema ni msanii, na bado mpaka leo wanamuita wazi wazi kuwa ni kiongozi dhaifu. Dr Slaa na CHADEMA wamemuweka katika orodha ya mafisadi(list of shame).

Serayamajimbo
 
Walahi wewe ni mzushi!

Kama kungelikuwa hakuna matumaini ungeliishi wewe na kuandika? Moja ya laana kubwa duniani ambayo hata kanisa katoliki linachukia ni kukata tamaa kwani ni moja ya mizizi mikubwa yenye kuchota maji mengi ya chuki na hasira na kukwepa matumizi ya busara na kutengeneza busati kama mbuga ya ngongoro ambapo huoni horizoni na majani unakula kwa kuzingatia uwezo wako.

Ndio kusema kama hutumii akili huwezi kutumia busara, na kwa kuwa huna busara huwezi kujenga hoja bali kukatisha tamaa watu wengine wenye nia na dhamira safi ya kuhudumia miaka 50 ya kuchapa kazi na mingine 20 ya kutoa ushauri kwa kizazi kijacho.

Unasikitisha. Lakini kwanini nikujibu wakti hata hueleweki na wala hukuelewa mawazo yangu?
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom