Mama Zakia

Shukuru

JF-Expert Member
Sep 3, 2007
748
15
Jamani..... eti huyu muheshiwa yuko wapi? halafu nackia ckia kuwa Mheshimiwa Jay ana ubia kwenye familia ya huyu mama... jamani kuna ukweli
 
Nilimwona juzijuzi Dodoma amekonda sana kama haumwi basi atakuwa amesongwa na mawazo au kunatatizo, sio yule wa zamani
 
hahaha, kwani mkuu wa kaya kawafikisha wangapi?

kumbe zakia mama mkwe!!
 
yeah mkulu kaoa binti yake hivi karibuni.[/QUOTE]

We ulialikwa kwenye hiyo ndoa au radio mbao zenu za mtaani
 
Nami nilisikia mkuu amewowa mwana wa uyu mama kitambo as kuna washikaji wanakaa karibu alikokuwa anakaa uyu mama kule Upanga walinitonya
 
Nami nilisikia mkuu amewowa mwana wa uyu mama kitambo as kuna washikaji wanakaa karibu alikokuwa anakaa uyu mama kule Upanga walinitonya

Amehama kinondoni karibu na st.Peter..kwenye taa zile?au unajaza post hapa?
 
taarifa toka chanzo maalum na cha kuaminika ndoa hiyo imefungwa na hata picha za tukio hilo zipo ila hii forum inaheshimu uhuru wa mtu binafsi na faragha lakini pia dini ya mkulu ina mruhusu kufanya hivyo so he is within the borders of morality.
 
mhhhh, hapa ndipo zeutamu inapoonekana ilikuwa dili...maana hizi nyuuuuzi za udaku zingekuwepo tu...
Lakini pia huu Jay nae mbona anaweka Ubia sana, kama ameowa mtoto wa Zakia na kuna wanaosema pia ameowa mwanamke anayehusiana na RA...shemeeeeji....
 
ndoa ilifungwa hilo nina uhakika nalo!kuna kijana wake mmoja ''UWT'' alithibitisha hilo baada ya kumuongezea chupa mbili au tatu za mivinyo!ilifungwa ikulu pale pale,jamaa wanamwita ''MWARABU-WA-CHALINZE''.pia amesogeza kifaa cha kiarabu kingine ni mpwa halisi wa R.A!
 
JAMANI KWELI TANZANIA KUNA MAMBO.... RADIO MBAO HIZP SOMETIMES HAZISEMI KWELI.

MIMI NINAVYOFAHAMU MAMA HUYU SASA NI MGONJWA WA MARADHWI YA KISUKARI NA MOYO.

VILE VILE HIVI KARIBUNI ALIPATA MSHTUKO WA NGUVU SANA MARA BAADA YA MWANAWE MAHIR RAMADHANI MEGJI ALIPIGWA NA VIBAYA SANA NA VIJANA WA KIHUNI HUKO AUSTRALIA AMBAPO ANACHUKUA PhD. MAHIR NI LACTURE WA UDSM ( THE ONLY LACTURE AMBAYE NI RASTA PALE UDSM).

LAKINI MAMA YETU HUYU YUPO. JAPO AMEKAA KIMYA SANA BUNGENI
 
ndoa ilifungwa hilo nina uhakika nalo!kuna kijana wake mmoja ''UWT'' alithibitisha hilo baada ya kumuongezea chupa mbili au tatu za mivinyo!ilifungwa ikulu pale pale,jamaa wanamwita ''MWARABU-WA-CHALINZE''.pia amesogeza kifaa cha kiarabu kingine ni mpwa halisi wa R.A!

Duu Kama ni kweli basi jamaa ni balaa....atahudumiaje wote hao mamsaps wengine mmoja inakuwa shida!
 
Back
Top Bottom