Mama Yetu Salima Hawezi Kupasua Mayai?

nadhani tumekosa hoja!hata kiswahili ni international language ina maana mama salma hajui kiswahili??! Do not hate the player hate the game!!!!!!

sasa kama kiswahili ni international language kwa nini yule maza wa kizungu aliamua kupasua mayai hali akijua kiswahili ndiyo lugha ambayo yeye na salima ingewaunganisha?

kama una ushahidi kiswahili ni international language weka link.
 
jamani kujua kingereza si hoja. sio lazima akijue. cha msingi ni kuwa angejipanga kuwa walau na mkalimani ili amsaidie kufuatilia kiendeleacho. sio first ladies wote wanajua kingereza na sio lazima wakijue. ntafurahi hata ukiwa unakijua kingereza ukaongea kwa lugha ya nchini mwako. ingawa magamba siwapendi but sioni fahari kujua kingereza na kudharau lugha yangu ya kiswahili.
Naunga mkono hoja mkuu! Senkyu.
 
Uliyeleta mada unajuwa Kiingereza? naku challenge hukijui.

mi sioni sababu wala mantiki ya kujigamba kujua lugha ya kigeni kuliko kujua lugha ya mama, ni ulimbukeni tu na ni vizuri kujua kwamba kubobea katika lugha fulani au lugha kadhaa yaweza kuwa ni taaluma au fani ya mtu i.e linguist
 
if she can't speak english,is it a crime? as long as she can speak her mother tongue it's ok and better, what about the british and americans who can't speak kiswahili! why does it not look strange to you? U R completely brainwashed, do you think it's proper to glorify other languages and despising ur mother tongue!?
 
if she can't speak english,is it a crime? as long as she can speak her mother tongue it's ok and better, what about the british and americans who can't speak kiswahili! why does it not look strange to you? U R completely brainwashed, do you think it's proper to glorify other languages and despising ur mother tongue!?
nadhani ww ubongo wako ndo umechotwa..icho kikristu ulichokiandika inaonyesha na ww unakitukuza bila kujua!!!
 
nadhani ww ubongo wako ndo umechotwa..icho kikristu ulichokiandika inaonyesha na ww unakitukuza bila kujua!!!
Hahahahahahahah KM umenichekesha saaana, hahahahah yeye anatuonyesha kuwa angekuwa mkalimani wa 4th Lady hahahah. Njileekaaa monowama, apaaa wandeee
 
Mtazamo wangu!
Wale wanaotaka kiswahili iwe lugha ya kufundishia Elimu ya juu waone kuwa hii ni mojawapo ya changamoto tunazozipata wa TZ.
Nawasilisha!
 
Kama hajui lugha ilibidi atembee na translator. Kingereza ni lugha ya kiofisi kwa huku kwetu sasa hao aliokua nao hakuna hata mmoja ambae angeweza kumtafsiria? Au mama hakutaka aonekane kuwa hajui kilugha?

Kweli priorities zimetofautiana. Wakati Mkapa anaanza term ya kwanza Mama Mkapa alikuwa anapewaga shule (101) na Dr. Masumbuko Lamwai; sio tuu kwenye basic law nafikiri English pia. Hii ilimsaidia mama Mkapa ku-advance knowledge aliyokuwa nayo before, na kuwa na confidence akiwa ana-address issues. Lakini wenzetu wao ni kwenye mipasho tu; sijui wanaona noma kujifunza au wanaogopa shule, sijui shida ni nini hasa.
 
nadhani tumekosa hoja!hata kiswahili ni international language ina maana mama salma hajui kiswahili??! Do not hate the player hate the game!!!!!!
hapo umenena mkuu kwani kikubwa ni maarifa kichwani na si kiingereza, kama kingereza cha maana mpaka sasa kimetusaidia nini kama taifa na jamii ya watanzania kwa ujumla? Zaidi ya kutujazia wajinga wengi kama waliomo humu ndani ya jamii forum mchana kutwa kukosoa na kuleta mada zisizo na kichwa wala miguu! Pumbaf!
 
Tatizo mama sister duh wa zamani hapendi kujibidisha, angeamua tokea enzi za mumewe akiwa waziri wa mambo ya ndani angekijua. Atulie nyumbani anadhani kutabasamu tutasema ameelewa?
 
mh! mi niliskia huyu mama alipelekwa YUKEI kupigwa msasa wa kiinglish Kipindi cha kwa cha mzee wa kuchanganya na zake
.Waturudishie chenji nyingine kwa kutomfundisha ipasavyo
 
Haya mambo mengine wanajitakia, huwezi hata siku moja kwenye ziara ya kiofisi ukaona mke wa raisi wa China, Russia au hata Msumbiji for that matter anahojiwa kiingereza!!!!! Kiingereza si ujuzi hivyo kutokukijua wala si hatari!!!
 
Ni kweli ni mwalimu wa UPE, std7 leaver, katufundisha wengine tuko humu jamvini tunashiriki midahalo; tusisahau tulikopitia.

kama jambo hulijui kwa nini usiseme sijui...Salima ni form 4 na alikuwa mcheza Netball mzuri tu mpaka timu ya mkoa wa lindi ya Posta na Simu wakati ule walikuwa wanamchukua kwenye timu yao...........Swala la lugha sio kipimo cha mtu kuwa amesoma...........ana haki ya kuongea Kiswahili aendako ili nao wajifunze lugha yetu...............upo hapo we Muongo?
 
In defence of Mama Kikwete.

1. Hana kazi rasmi aliyoiomba kwa Watanzania, ni first lady by virtue of her husband's capacity.
2. Hata kama hajui Kiingereza, anajua kiswahili, ambacho kinamuwezesha kuongea na Watanzania karibu wote.


Kitu pekee ninachoweza kusema ni kwamba Mama Kikwete, kama Kiingereza hujui - and this is not verified- kutaka mkalimani si dhambi, na wengine wanaweza kuchukulia kama "national pride".

Kina Fidel Castro wanajua Kiingereza vilivyo, lakini wakifanya interview na Wamarekani shurti mkalimani wa Kihispania. Tena kuna muandishi mmoja wa habari wa Marekani muhuni, alijua Castro anapenda sana Baseball, akamuuliza swali kuhusu baseball, Castro kutokana na passion yake kwa baseball akajisahau kwamba anatakiwa kuwa hajui Kiingereza, instead of replying in Spanish and letting the interpreter relay, he bursted out in English.

Kwa hiyo mkalimani mara nyingine muhimu. Kiingereza kinaweza kuwa ni Kiswahili cha dunia, lakini hii haiondoi ukweli kwamba Kiswahili ni lugha yenye hadhi ya kimataifa.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom