Mama yangu Mpenzi @gfsonwin, nimekumis.. .. narudi nyumbani!

Sasa mama yangu mpenzi gfsonwin, ili kudhihirisha upendo wangu kwako nakuletea zawadi za kufa mtu na wamasai

wawili! Kwanza nimefungasha mabox ya Dodoma wine na zabibu zake! Halafu ninapitia dubai nitakuletea kile kiitwacho 'set

adimu ya mwanamke' yaani hereni, mkufu, bangili, pete, saa, shanga za matumizi ya 'kawaida', zote za dhahabu safi kwa

gramu za kutosha! Nitakulete pia wallet na pochi ambazo hakika kila ubebapo watu hawatachoka kugeuza macho. Hapo

sijazema vile vigauni na viatu kutoka Gucci na Chanel! Haya yote ni sign ya upendo wangu kwako. Siwezi kusahau mikono

yako mwororo ilipokuwa inaniogesha enzi za utoto wangu!

Sasa ndio nimejua lengo la sredi
 
Nilianza na mama kwa sababu alinitafuta yeye kwanza. Hata hivyo baba naye nimempa bonge la shavu kuliko hata mama.

Kwenye post zangu utaona zawadi zake

Unataka laana eeh ? Kwa taaarifa yako babako Kaizer ndie aliyekuwa anakutafuta wa kwanza.....mamako gfsonwin alipoona baba kambana ndio akajidai kukutafuta !
 
Last edited by a moderator:
Nivue gamba nisivue??

384346_240590219336747_100001573123088_633175_1406917181_n.jpg

Hahahaha hilo ukivua lazima liondoke na ngozi lol !
 
Haiwezekani anko wako nipo Dodoma halafu weye unapita bila kuja kunisabahi. Halafu anko kwa nini hukui? Unaulizia rangi ya mkaa?

Anko, yaani walibana sana. Maana mpaka mwenyewe usoni niliwekwa mhuri wa 'CONFIDENTIAL'! Siku moja tuu nilipata

nafasi ya kuongea na yule mbunge mwenye vits ili kwenye hotuba yao waweke mambo mazuri ya kuwatakasa wateule wa

mukulu.
 
Kwa baba yangu mpendwa Kaizer, wewe ninakubebe kiti cha Steffano Ricci na Armani. Na ninajipanga malipo ya juzi

yatakapoingia pamoja na ya kazi 'maalumu' nitakayokuwa nikifanya wakati wa uchaguzi wa chama kilee nitakurushia japo

'verossa'! Maana si kwamba wananipa hela nyingi sana hasa ukizingatia kazi ninazowafanyia! Na kwa upendo wangu

kwako nitakupa saa yangu ya Lange&Sohne niliyopewa kama zawadi na mkulu kwa kazi niliyofanya 2010

Hapo ndo penyewe. Sasa Mwanangu Ronn M hebu niambie ungependa mchumba yupi mi mwenyewe napeleka posa?
 
Last edited by a moderator:
Unataka laana eeh ? Kwa taaarifa yako babako Kaizer ndie aliyekuwa anakutafuta wa kwanza.....mamako gfsonwin alipoona baba kambana ndio akajidai kukutafuta !

Sweetie, mbona kama unaonesha kuwa na ukaribu flani na baba kuliko ninavyofahamu? Mama yangu mpenzi gfsonwin

anaelewa hilo?
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndo penyewe. Sasa Mwanangu Ronn M hebu niambie ungependa mchumba yupi mi mwenyewe napeleka posa?

Looh, baba kwa sasa mchumba hata sina wazo nae. Labda nitafutie tuu mwanao hapa hapa JF maana niliwahi kuwapata

wawili lakini wameishia kuwa viti maalumu kwa kile chama kikuu. Hope u understand nini kilitokea. . .
 
cacico, ila mie mzima wa afya kwa kweli. Nilimiss macho yako
 
Last edited by a moderator:
Sasa hizi msg nilizokuta kwenye simu yangu nani katuma? Au kuna mtoto wa kigogo amenunua mtambo Israel anahusika?
wallah kuna mtu kaiba password yangu anatumia id yangu kutuma sms huko kwako, si mimi wallah, usitake aunt yako nipewe talaka, lol!
 
Basi hun.... hebu tangulia kitandani nakuja kukutoa huzuni my love.

naja hun wangu! nitaenjoyjeeee?! mwahhhh!
 
Mama yangu mpenzi gfsonwin! Mimi mwanao mzima kabisa. Kabla ya yote nikuhakikishie mapenzi ya kweli niliyonayo

kwako. Hapana mwingine kama mama! Wewe una nafasi ya kwanza moyoni mwangu na hakika ninakupenda daima mama

yangu mpenzi! Baba Kaizer hajambo hapo nyumbani?

Mama yangu mpenzi, wiki iliyopita nilipatwa na safari ya ghafla. Zilikuwepo dalili za waheshimiwa kutaka kumwaibisha

dhaifu kwa kuwaadhibu wateule wake. Hivyo akanipigia simu ili nikaweke mambo flani ya 'kitekiniko' sawa. Hii ilinilazimu

kujifungia kati ya moja ya vyumba vya mjengo wetu na kale 'kaofisi ketu kadogo' pale. Mawasiliano yangu ya simu na

internet yalizuiliwa kwa kiasi flani kwa sababu za 'kiintelijensia'. Kwasasa kazi nimemaliza kama mlivyoona wenyewe

jumamosi na jana tulikuwa tunajipongeza kidogo. . .

Ako zangu Eiyer, platozoom, Excellent, Mbimbinho na aunt Smile wamenitafuta bila mafanikio, sasa narudi.

Ila nimegundua Asprin hana nia njema nawe mama, anataka akugombanishe na mzee Kaizer. Halafu nimegundua

wakeze cacico, Yummy na BADILI TABIA wananizimikia maana nilipowasha simu nimekutana na msg zao tata

mama yangu. Nishauri niwafanyeje?

pole zako aise...
 
mwanangu wa kwanza kipenzi changu yai langu la kwanza lililochavushwa na mbegu Kaizer, Ronn M. nakupenda sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!.......................
 
Back
Top Bottom