Mama yangu eeee!!! Kabia nako kameshapanda bei

meeku

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
569
108
Taarifa zilizopo kwenye deports/wakala wa bia zinaonesha kuwa kale kabia nako kameshapanda bei tena kwa asilimia 12.5. Tumekwisha. hakuna tena kupanga mipango na na migogoro itazidi kwani wanaume tutakuwa tunawahi nyumbani.

Hofu yangu:

1. wanaume tusiwe tunauliza wake au ma-house gls maswali ya kama siyo wazoefu wa kuwahi nyumbani.
2. wakinamama wawe makini kwani pruksnini za bar mads zinaweza kueudi kwa wasichana wa hm.
3. Tuchunge lugha zetu tusijeropoka tukidhani tuko bar
4. Tujifunze kupeleka badget ya makongoro na nyama choma nyumbani.
 
Sio tubia tu ht vi2 vingine vimepanda kinoma, wanatafuta tuhela twa kuwalipa madokta.
POPOBAWA.
 
Sio tubia tu ht vi2 vingine vimepanda kinoma, wanatafuta tuhela twa kuwalipa madokta.
POPOBAWA.

sasa bia 2000/-, bado umeme, maji chakula, watoto shule, haya ndo maisha bora kwa kila mtanzania? Tuliokota ghalasa
 
Sio tubia tu ht vi2 vingine vimepanda kinoma, wanatafuta tuhela twa kuwalipa madokta.
POPOBAWA.

iko wazi kuwa kila kitu kimepanda. Ila huyu alikuwa anatu-alert wanywaji wenzake kuwa ile kitu imepanda bei.
 
Wewe unafikiri ni ulevi. Bia ndiyo inalipa kodi kwa ujenzi wa barabara, hospitali na mambo kibao. sasa wewe unatukana mkunga!

nadhani ulikuwepo kwenye akili yangu.
Kifupi sisi ndio tunao-run uchumi wa nchi, na ndio walipakodi wakubwa.
Naomba tuheshimiwe tafadhali...
 
nadhani ulikuwepo kwenye akili yangu.
Kifupi sisi ndio tunao-run uchumi wa nchi, na ndio walipakodi wakubwa.
Naomba tuheshimiwe tafadhali...
mbona mnaheshimiwa sana na kila mtu, ila sasa badili matumizi ndugu yangu, pombe zenyewe hizo nazo madhara ya vipi unayajua???
 
mbona mnaheshimiwa sana na kila mtu, ila sasa badili matumizi ndugu yangu, pombe zenyewe hizo nazo madhara ya vipi unayajua???

tuna kauli mbiu yetu ya 'DRINK RESPONSIBLY', inahitimisha mjadala wote.
 
nimeona bei ya Chibuku ni reasonable, Sh.T 1000/Litre. Tena haina masharti kama bia, eti mpaka uwe umeshiba,
yenyewe tu chakula.

chibuku naipenda ilaaa!!!! mdomo bwana. Il a serikali inapaswa kuweka siku maalumu ya wanyaji ili tukae na kupanga mwenendo wa uchumi. Au kama madaktari wamegoma mnaonaje nasi wanyaji tukagoma ili tuitikise serikali??
 
Taarifa zilizopo kwenye deports/wakala wa bia zinaonesha kuwa kale kabia nako kameshapanda bei tena kwa asilimia 12.5.

Ila kwa hii asilimia inabidi wanyaji tuanzishe chama cha kutetea wanyaji Tanznia (CHAKUWATA) (mithili ya sumatra au ...... ). Na kisajiliwe na serikali.
 
Ila kwa hii asilimia inabidi wanyaji tuanzishe chama cha kutetea wanyaji Tanznia (CHAKUWATA) (mithili ya sumatra au ...... ). Na kisajiliwe na serikali.

Hawa wametuchanganya kundi moja na wale sijui wanaitwa chama cha walaji...
Aaaaaaaagh...
Sisi sio walaji bwana ni wanywaji.
 
Hawa wametuchanganya kundi moja na wale sijui wanaitwa chama cha walaji...
Aaaaaaaagh...
Sisi sio walaji bwana ni wanywaji.

Tukikutana kijiweni leo japo itakuwa bia moja basi tuandae rasimu ya umoja wa wanywaji.
 
No wonder jana nimeona bar nzima watu wanakunywa Banana! nilijuliza kulikoni, maana hadi wahudumu walishangaa kila anayekuja anaagiza banana wine, kumbe ni 12.5%
 
No wonder jana nimeona bar nzima watu wanakunywa Banana! nilijuliza kulikoni, maana hadi wahudumu walishangaa kila anayekuja anaagiza banana wine, kumbe ni 12.5%

Hii ni pasenteji ya alkoholi au mfumuko wa bei ya biere?
 
Back
Top Bottom