Mama yake Prof Mbwette afariki

pmwasyoke

JF-Expert Member
May 27, 2010
4,593
2,978
Nafahamu wako wadau kadhaa wanaomfahamu Prof Mbwette, Mkuu wa chuo kikuu huria.

Nasikitika kuwaarifu kuwa mama yake mzazi amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Agha Khan.

Msiba upo kwa Prof Mbwette Kimara.

Mungu aiweke pema peponi roho yake mama
 
Pole sana Prof. kwa kuondokewa na mama.

Poleni wafiwa.

Mungu awatie nguvu na kuwapa faraja.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa. Jina lake libarikiwe.
 
deeply shocked at the sudden death. May God give her eternal rest & may her soul rest in peace!
may the Mbwette family accept these condolences
be strong & patient
 
Pole sana Prof. Mungu awatie nguvu ndg na jamaa zako wote wakati wa kipindi hiki kigumu

Poleni sana
 
Inna lillahi wa inna ilaihi raji'un

sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea

may Allah rest her soul in peace , Amen
 
Nafahamu wako wadau kadhaa wanaomfahamu Prof Mbwette, Mkuu wa chuo kikuu huria.

Nasikitika kuwaarifu kuwa mama yake mzazi amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Agha Khan.

Msiba upo kwa Prof Mbwette Kimara.

Mungu aiweke pema peponi roho yake mama

Too bad news!

Inasikitisha, lakini ndio njia ya wanadamu wote!

Namfahamu vizuri Prof.Mbwette, lakini pia namfahamu vizuri Mama huyu

aliyefariki!

Kwa sasa tunachoweza kusema ni kwamba JINA LA BWANA NA LIBARIKIWE!

AMEEN!
 
Nafahamu wako wadau kadhaa wanaomfahamu Prof Mbwette, Mkuu wa chuo kikuu huria.

Nasikitika kuwaarifu kuwa mama yake mzazi amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Agha Khan.

Msiba upo kwa Prof Mbwette Kimara.

Mungu aiweke pema peponi roho yake mama

Yeah, Prof alisimamia Final year project yangu UDSM.

Pole sana Prof Mbwette na familia kwa ujumla, BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE.
 
Thank you Jamiiforums and specifically you pmwasyoke for the thread we are his brother in laws in Angola; Msafiri and Kay. We send our condolescence to him and the entrire family
 
To Prof. Mbwete we got the infoemation of the passing away of our mother in law please May God give you the strength to accept the ineviatible. Spiritually we shall always be with you
 
Misa na heshima za mwisho vimefanyika leo Kimara Dar es Salaam. Hivi sasa mwili wa marehemu unasafirishwa kwenda kijijini Irambo, Mbeya. Mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho Jumapili kwa mapenzi ya Mungu.
 
Back
Top Bottom