Mama wa miaka 40 nchini Zimbabwe kuolewa na mwanae

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,314
33,108

Mama apanga kufunga ndoa na mwanae.Mama na mwana wanasema wana mahusiano ya kimapenzi kwa kipindi sasa, wameamua kuyapeleka mahusiano yako juu zaidi kwa wao pamoja kufunga ndoa.
Kitu kinachoshangaza zaidi ni kwamba mama huyo ajulikanae kwa jina la Betty Mbereko ana mimba ya miezi sita sasa na anatarajia kupata mtoto kutoka kwa mwanae.Mama huyo kwa jina Mbereko,mwenye umri wa miaka 40 ambaye ni mjane kwa mda wa miaka 12 sasa anaishi na mwanae wa miaka 23 ambaye pia ndio mmewe, mwanae huyo anaitwa Farai Mbereko.
Amedhibitisha kwamba ana ujauzito wa miezi sita na anaona ni uamuzi mzuri kufunga ndoa na mwanae huyo kipenzi
"Alisema nimegharamikia mwenyewe mahitaji yote ya fedha pale mwanangu alivyokuwa anasoma,na hakuna mtu aliyenisaidia,na sasa mnamuona mwanangu anafanya kazi, mnanilahumu eti nafanya vibaya,niacheni nifurahie matunda ya mpenzi wangu, aliyaongea hayo kwenye mahakama ya kijiji.
Mwanae huyo anasema amejiandaa vya kutosha apate kumuoa mama yake na atalipa ile mahali ambayo Baba yake hakuimaliza.
"Najua Baba yangu amefariki bila kumalizia mahali aliyokuwa anadaiwa na yeye yupo tayari kuimalizia alisema. 'Napenda kila mtu ajue kwamba mimi ndio niliempa mimba mama yangu'.
Msemaji wa kijiji hicho amesema kamwe hawawezi kukubali jambo hilo likubalike kwani itakua ni laana kwa kijiji chetu,.."kama ingekua ni zamani hawa watu wangepaswa kuuwawa,lakini kwa sasa hatuwezi kwa sababu tunaogopa polisi na mahakama"alimalizia msemaji huyo wa kijiji.

chanzo.Mama wa Miaka 40 Nchini Zimbabwe kuolewa na mwanae | Kwetustar
 
Hakuna kipya kwenye uzi huu. Ulikwisharipotiwa muda mrefu humu jamvini na media zingine.
 
laana kubwa sana hii kwa dunia ya sasa.

ndio maana majanga hayaishi mvua hazinyeshi ipasavyo majanga ya moto, tetemeko la aridhi, mvua za mawe ambazo hazijawahi kutokea, na ndege za abiria kupotea.

wanadamu tutubu dhambi tumurudie Mungu.
 
Mama apanga kufunga ndoa na mwanae.Mama na mwana wanasema wana mahusiano ya kimapenzi kwa kipindi sasa, wameamua kuyapeleka mahusiano yako juu zaidi kwa wao pamoja kufunga ndoa.
Kitu kinachoshangaza zaidi ni kwamba mama huyo ajulikanae kwa jina la Betty Mbereko ana mimba ya miezi sita sasa na anatarajia kupata mtoto kutoka kwa mwanae.Mama huyo kwa jina Mbereko,mwenye umri wa miaka 40 ambaye ni mjane kwa mda wa miaka 12 sasa anaishi na mwanae wa miaka 23 ambaye pia ndio mmewe, mwanae huyo anaitwa Farai Mbereko.
Amedhibitisha kwamba ana ujauzito wa miezi sita na anaona ni uamuzi mzuri kufunga ndoa na mwanae huyo kipenzi
"Alisema nimegharamikia mwenyewe mahitaji yote ya fedha pale mwanangu alivyokuwa anasoma,na hakuna mtu aliyenisaidia,na sasa mnamuona mwanangu anafanya kazi, mnanilahumu eti nafanya vibaya,niacheni nifurahie matunda ya mpenzi wangu, aliyaongea hayo kwenye mahakama ya kijiji.
Mwanae huyo anasema amejiandaa vya kutosha apate kumuoa mama yake na atalipa ile mahali ambayo Baba yake hakuimaliza.
"Najua Baba yangu amefariki bila kumalizia mahali aliyokuwa anadaiwa na yeye yupo tayari kuimalizia alisema. 'Napenda kila mtu ajue kwamba mimi ndio niliempa mimba mama yangu'.
Msemaji wa kijiji hicho amesema kamwe hawawezi kukubali jambo hilo likubalike kwani itakua ni laana kwa kijiji chetu,.."kama ingekua ni zamani hawa watu wangepaswa kuuwawa,lakini kwa sasa hatuwezi kwa sababu tunaogopa polisi na mahakama"alimalizia msemaji huyo wa kijiji.

chanzo.Mama wa Miaka 40 Nchini Zimbabwe kuolewa na mwanae | Kwetustar
Mh mbona wanalingana
 
Huyo shehe,mchungaj o'padri atakaye fungsha ndoa hao mwana na mwanae nitawaona ni wa ajabu sana!!
 
Huyo shehe,mchungaj o'padri atakaye fungisha ndoa mama na mwana watashangaza sana!!
 
umri wa mama miaka 40 wa mtoto 23, agre,age ni miaka 17, means mama aliolewa akiwa na miaka 17, au chin ya hapo, cjui na ukitoa miak 23, ya mvulana mean ilikuwa 1993,

tujiulize je huo umri wa mama ni sahihi,? au amedanganya? kama ni kwel huo umri kwa bint anaweza kupata mtt?
 
"Napenda kila mtu ajue kuwa mimi ndie nilie mpa mimba mama yangu"...hahhahahhaa...duh huyu jamaa ni kichaa
 
umri wa mama miaka 40 wa mtoto 23, agre,age ni miaka 13, means mama aliolewa akiwa na miaka 13, au chin ya hapo, cjui na ukitoa miak 23, ya mvulana mean ilikuwa 1993,

tujiulize je huo umri wa mama ni sahihi,? au amedanganya? kama ni kwel huo umri kwa bint anaweza kupata mtt?
40-23=17 mkuu inaoneka hesabu zinakupita kushoto sana...
 
hao ndio wauza nyama wakubwa jozi toka maisha yamekua ovyo..kuanzia messina mpaka Limpopo ni wao tuu wakiuza nyama kwa watu wa maeneo hayo...wapuuzi sana Wazim
 
Back
Top Bottom