Mama wa kipare Imetosha

Ufafanuzi kidogo.

wanahuruma ila ni wakorofi sana pale unapombugudhi hachelewi kuhamia kwa mwingine. wale waliosema knye sita kwa sita ni kweli wako vizuri. Kwa wanawake wa Knjaro hawa wanaongoza knye maujanja ya 6 by 6, mwanaume hufurukuti.
 
wanawake wa kipare hawafugiki
Hayo sio maneno mnayosema kuhusu mwanamke yeyote ?!Kua na heshima kidogo...bibi yangu alikua Mpare na alikua mwanamke wa shoka kama sio panga.Na waliobaki nawajua wengine wametuli na wengine hawajatulia kama ilivyo kwenye makabila mengine yote.
 
Na wengi ni wataalam wa dawa za kienyeji aka s'wanga miziziologi.

Do you mean Limbwata?

Jana nimebahatika ku watch a certain Nigerian Muvi, Dem Kampa jamaa Limbwata Ikala kwake.

Yaani mshkaji alikua anmfuata Dem mpaka Chooni. Demu akienda kazini jamaa anamfuata Nyuma na Kushinda reception Mpaka atoke Job, Waongozane.

Wakifika nyumbani yaani jamaa hasogei mbali na Demu na Mabusu yasiyo na Mpangilio Mpaka Kero. Taabu tupu tupu.

Kweli limbwata noma
 
wanahuruma ila ni wakorofi sana pale unapombugudhi hachelewi kuhamia kwa mwingine. wale waliosema knye sita kwa sita ni kweli wako vizuri. Kwa wanawake wa Knjaro hawa wanaongoza knye maujanja ya 6 by 6, mwanaume hufurukuti.
dogo acha pumba. hayo uliyoongea yapo wa wanawake wote bila ya kuwatenga kwa ukabila
 
kiujumla wapare sio wanawake sio wanaume wote the same, wana makelele kinoma. Huwa wanajisikia raha akiongea kwa sauti, hata kama ni mambo yao ya ndani basi majirani watafaidi.
 
kiujumla wapare sio wanawake sio wanaume wote the same, wana makelele kinoma. Huwa wanajisikia raha akiongea kwa sauti, hata kama ni mambo yao ya ndani basi majirani watafaidi.
labda wa mtaani kwenu! Tena wanajisingizia tu wala c wapare
 
mkuu kama ningefanikiwa kupata video clip ya yule mama akingea, ningesomeka vizuri zaidi
kwani kuomba barabara huko makwao ndo kushindikana asa kwani kaenda kuuza nyago bungeni? Hayo mambo mawili hayahusiani! Ulitaka aende kulala tuuu bungeni?hebu sema jambo lingine bwana kaz ni kaz na mambo ya mitaan ni ya mitaani
 
Back
Top Bottom