Mama wa Kambo, tujadiliane hili!

Wozoza wewe ni mama wa kambo?unataka ushahidi gani zaidi?mama wa kambo nae atuonyeshe paja lake au **** lake alipojeruhiwa na huyu mtoto?kwa nchi za wenzetu wasiotaka ujinga mama huyu yafaa ahukumiwe pale mnazi mmoja iwe fundisho kwa wengine!
 
Story ya upande mmoja hii!

Hata ya upande wa pili ikielezwa hakuna justification ya kumwadhibu huyo mtoto kiasi hicho.
Mama wa kambo angemwambia mwanamme anaeishi nae kuwa hataki kulea watoto wa mke mwenza apeleke matunzo na ada kwa mama mzazi amtunze mwanae.
 
Huyo baba naye kwangu mimi ana hatia (ya uzembe wa kuwajibika). Hans kasema ni kawaida kupewa kisago na huyo mwanamke. Sasa kweli wewe kama ni baba umpendaye mwanao na mwenye kujali welfare yake kwa nini uachie tu mwanao awe anadundwa na hilo limwanamke? Baba mzembe huyu weka lupango atie akili
 
Baba mzazi kama kweli anampenda mwanawe ajue wazi kuwa huyo mke si wake bali nijinamizi maana amekuwa katili sana hana chembe hata ya huruma hata kama mtoto aliiba hela ndo amng'ate meno? labda aliona wivu wa kufaulu nakuwa wa 10 bora. Huyo mke ni balaa. hafai. hela yenyewe kapewa na baba yake huyo mtoto. col.
 
amechelewa, nusura akute kaput. Japo ni usumbufu nivema kama akina baba mkitoka kwenye ze bingwa muwe munachungulia watoto wamelalaje/wameshindaje.

Ni kweli kabisa ulilosema. Mimi mwenyewe nililelewa na mama wa kambo lakini nakukwambia baba yangu kila siku akirudi hata iwe usiku wa manane ataniamsha na kuniuliza how was my day na kama nimenyanyaswa na mtu yoyote especially my step mom. So wakina baba ambao mda watoto wanalelewa na mama wakambo pay attention to these kids maana wengi wanapata mateso makubwa.

Lets hope kijana atakuwa na later on in life awe na moyo wa kusamehe yote as that's the only way ataishi na amani maishani mwake. May God protect him.
 
Baba mzazi kama kweli anampenda mwanawe ajue wazi kuwa huyo mke si wake bali nijinamizi maana amekuwa katili sana hana chembe hata ya huruma hata kama mtoto aliiba hela ndo amng'ate meno? labda aliona wivu wa kufaulu nakuwa wa 10 bora. Huyo mke ni balaa. hafai. hela yenyewe kapewa na baba yake huyo mtoto. col.

Huyo mke shetani
 
Back
Top Bottom