Sheria ambazo kwa huyu 'mnyama ' hazihusiki?!Kuna taratibu na sheria! Kuchukua uamuzi mkononi is not clever!
Ukiona hivyo hilo jimama lina historia nzito ya kuporomosha mimba kienyeji, kwa hiyo limeshakuwa ligumba na lina roho sugu ya mauaji kuliko askari wa kivita!
Mi kwa mtazamo wangu hapo, kosa kubwa lipo kwa baba, maana sikuona sbb ya yeye kumleta mwanae hapo nyumbani hali a kuwa anafahamu fika kuwa anafuga jinamizi, angeweza kumsomesha na kumtunza mwanae hata akiwa huko huko Moro.
Suluhisho la kesi km hii, huyo jinamizi wa kike awajibishwe na sheria, na ikiwezekana km huo baba anampenda mwanae kweli basi amtwange talaka 8 tena barabarani mbele ya mjumbe na mashahidi wote, na asipewe hata nafasi ya kurudia chochote nyumbani, huyo ni shetani la mguu mmoja!
Machozi yananitoka bila kujua, inauma sana!
mimi ni mmoja wa watu waliopata mateso sana na mama wa kambo, kwa sasa ni mtu mzima, kila huwa nikikumbuka
huwa siwezi kufanya kazi siku hiyo, pamoja na utu uzima machozi hayaishi.
Mateso sio kwenye kipigo, bado masimango, ubaguzi, kulazwa njaa etc. kwa ujumla mama wa kambo ni wakatili sana.
Ukifuatilia kwa undani hizi story za mama wakambo nizakikatili sana.
Sidhani kama kuna mama wa kambo mwenye upendo, mara nyingi ni unafiki,
Zaidi ya hayo mateso niliyoyapitia vidonda vyake havijapona rahisi kupona, na ndio shida ambayo huyo mtoto ataipata.
Nikimuona huyu mtoto hakuna tofauti na mimi nilivyokuwa, ninamakovu kwenye mwili mzima nilipokuwa nafinywa na visu nya moto, na kupakwa spiriti, kungatwa, then today she come as say please help me, Realy F****k her.
yaani da imenianza kunikumbusha, ooh ohhhhhhhhhhh,
Inaumiza jamani usimuliwe tuu, lakini kwa waliopitia hili wanajua ninachomaanisha
Ukweli ni kwamba Tunapoachana au kuzaa na mtu tuwe waangalifu sana, huwezi usikubali mwanao alelewe na mama wa kambo
najua kunawatakao watetea but i will never ever accept mama wa kambo kumlea mwanangu.
Siwezi kutype, tena. Pole Hans.
Kama ningekuwa karibu ningekusaidia. kama kuna msaada unahitajika jamani tupe details
mimi ni mmoja wa watu waliopata mateso sana na mama wa kambo, kwa sasa ni mtu mzima, kila huwa nikikumbuka
huwa siwezi kufanya kazi siku hiyo, pamoja na utu uzima machozi hayaishi.
Mateso sio kwenye kipigo, bado masimango, ubaguzi, kulazwa njaa etc. kwa ujumla mama wa kambo ni wakatili sana.
Ukifuatilia kwa undani hizi story za mama wakambo nizakikatili sana.
Sidhani kama kuna mama wa kambo mwenye upendo, mara nyingi ni unafiki,
Zaidi ya hayo mateso niliyoyapitia vidonda vyake havijapona, ninamatatizo makuwa ya kisaikolojia,
Esp hasira, na kutokupenda kujichanganya, yaani we acha bwana, na ndio shida ambayo huyo mtoto ataipata.
Nikimuona huyu mtoto hakuna tofauti na mimi nilivyokuwa, hadi leo ninamakovu kwenye mwili mzima nilipokuwa nafinywa na visu nya moto, na kupakwa spiriti, kungatwa, nilimsimulia mke wangu aliia siku hiyo, then today she come as say please help me, Realy F****k fu*****k x 1000 her. i am sory to say that
yaani da imenianza kunikumbusha, ooh ohhhhhhhhhhh,
Inaumiza jamani usimuliwe tuu, lakini kwa waliopitia hili wanajua ninachomaanisha
Ukweli ni kwamba Tunapoachana au kuzaa na mtu tuwe waangalifu sana, huwezi usikubali mwanao alelewe na mama wa kambo
najua kunawatakao watetea but i will never ever accept mama wa kambo kumlea mwanangu.
Nitakuja kuandika kitabu kuishi na mama wa kambo
Siwezi kutype, tena. Pole Hans.
Kama ningekuwa karibu ningekusaidia. kama kuna msaada unahitajika jamani tupe details
nadhani na bongo kuwe na sheria ya kuwanyang'anya watoto..wale unifit mothers..
wanaume waishi na wake zao kwa akili,mpime kwanza mkeo kama ataweza kulea mtoto wa mwanamke mwenzie...sio unajifanyia tuu maamuzi kisa ni baba wa familia,matokeo yake mtoto ndio anasuffer..
whatever he has done,he didnt deserve such kind of treatment...
am ashamed kuna wanawake wa hivyo kny jamii yetu..kama huwezi kulea mtoto wa mwenzio say it from the very beginning,sio ukubali afu umfanye punch bag mtoto wa watu...:embarrassed::embarrassed:
Thanks hashycool , Ni rahisi sana kuachana au mtu, au kusema unataka kuzaa na mtu kirahirahisi tuu, lakini mateso wanayopata watoto ni makubwa. Nawaomba wakina mama na kinadada msikubali kumwachia mwanaume watoto, kama ni shida vumilia mlee mwanao, mama wakambo ni nyoka, akusimulie mtuu tu.pole sana mtu wa watu....ndo maana mwanzo nilisema hii kitu yote itamgharimu huyu psychological problems...
Hakuna wimbo uliokuwa unanitia hasira kama huu wa vijana jazz
YouTube - Orchestra Vijana Jazz - Mama Wa Kambo
Hakuna wimbo uliokuwa unanitia hasira kama huu wa vijana jazz
YouTube - Orchestra Vijana Jazz - Mama Wa Kambo