Mama wa Diamond ni mgonjwa

Jamaa wanalipuka pamba hata wakienda hospitali?!

hata mm nimewaza yan, huend hospital, mpk mvae sare! au wametokea kwny Send Off.
pole mama platinum, ikishindikana India faster, sawa mama.
 
33.jpg 33.jpg Umeyaona magezeti ya rangi, eti mimba, mtu anaumwa Maralia wanakimbilia kwenye mimba, kwani mimba ugonjwaaa?
 
Pole mwaya, utapona tu uendelee kula matunda ya mwanao,
acha wenye wivu wajinyonge.
 
Back
Top Bottom