Mama Tunu Pinda aunguruma kwenye uzinduzi meli ya utafiti wa mafuta na gesi katika Pwani ya Mtwara

Chimunguru

JF-Expert Member
May 3, 2009
10,678
4,350
Wadau nimeipata kwenye hii mahali fulani. mama Pinda anazindua Meli ya Utafiti wa mafuta ambayo itajikita huko "NTWARA" kwa ajiri ya kusaka kiwese. Naomba kuuliza hii ni sahihi kwa Mke wa Waziri Mkuu kufanya kazi hii ambayo kwa uelewa wangu mdogo naona ni kazi ya Kiserikali zaidi?

Pata Picha;


IMG_0278.JPG


IMG_0343.JPG


IMG_0245.JPG


IMG_0400.JPG


IMG_0396.JPG


 
Tatizo serikali haitaki watz wapate mafuta,yakipatikana makampuni yao yatakosa super profit waipatayo sasa!hivyo tafiti mbali mbali hutupwa kapuni.huenda huo mradi ni wa mama pinda!
 
Tatizo serikali haitaki watz wapate mafuta,yakipatikana makampuni yao yatakosa super profit waipatayo sasa!hivyo tafiti mbali mbali hutupwa kapuni.huenda huo mradi ni wa mama pinda!

Inawezekana mkuu
 
IMG_0245.JPG

Cheki wenzetu wanavyojiaanda kwenye mikutano yenye maslahi makubwa makubwa, Pinda kaja na mshauri wake Tunu, wametokea wako teamed up against watu mia nne.

Na kwa nini dili la mradi wa kufanyikia Bongo mkutano wafanyie Korea, wanakwepa media ya bongo?
 
hapana, huyo mbongo nyuma ya Pinda hachangii hoja, kazi yake kubeba mikoba ya Tunu , ndio maana yuko nyuma nyuma.
 
tunu pinda anabahati mana ni mke wa kurisishwa wa pinda baada ya dada yake kufariki
 
IMG_0245.JPG

Cheki wenzetu wanavyojiaanda kwenye mikutano yenye maslahi makubwa makubwa, Pinda kaja na mshauri wake Tunu, wametokea wako teamed up against watu mia nne.

Na kwa nini dili la mradi wa kufanyikia Bongo mkutano wafanyie Korea, wanakwepa media ya bongo?

Na hapo wahsajua hayo mafuta yapo au gesi ipo ya kutosha hawawezi poteza mambo yote haya kwa ajili ya kumfurahisha pinda na mkewe
 
Hii nchi jamani inahitaji ukombozi, juzi wametoa exemption kwa hawa wachimbaji ili wasilipe kodi kabisa mpaka wayapate
Je wananchi tuna otion ya kuanza kulipa kodi mpaka uanze kuzalisha au upate faida.

Ukifuatilia ni kwamba hizi ni deal za viongozi cos ya mtaji kuulinda wanatoa exemption ili wa save kwenye Investment.
It was clear that Investor lazima abebe risk ya research na uwekezaji akipata mzigo atakata kwenye uzalishaji maana
akikosa Nation itakuwa kwenye loss, na It is 100% Gas na mafuta yako ss why exemption.

Hii maana yake unamlipia mtalii tkt na malazi eti kuja kuona mbuga zetu (ndio kuvutia huku kwa exemption ili
wajukuuzake watakua ndio tunaanza kupata faida after tena years.
 
Tunu Pinda sio kiongozi wa serikali period!
Meli hiyo ya Wabrazil,kwa nini isivumbuliwe Dar Es Salaam kama hii issue ni seriuos?
Can you imagine enzi za Mwalimu,mke wa Sokoine au Msuya kufanya huu upuuzi?Eti ni patron wa meli hii!
I am sick to death
 
Tunu Pinda sio kiongozi wa serikali period!Meli hiyo ya Wabrazil,kwa nini isivumbuliwe Dar Es Salaam kama hii issue ni seriuos?Can you imagine enzi za Mwalimu,mke wa Sokoine au Msuya kufanya huu upuuzi?Eti ni patron wa meli hii!I am sick to death
mmakonde nilishangaa sana nilipoona hiyo issue hii serikali yote ni ya wa sanii na wezi watupu haingii akilini mambo wanayoyafanya
 
Back
Top Bottom