Mama Terry yuko wapi?

Alitaka kutumia ukimwi kupata umaarufu na baada ya kuwa maarufu akatafuta nafasi ya kugombea uongozi ndani ya CCM masikini hakijua CCM na jumui zake zina wenyewe wakampitilizia mbali naye ndo ukawa mwisho wake na sasa ana ugwadu na CCM,kosa kubwa huyu mama alijenga matumaini makubwa kuwa tayari ni alwatani ,wapi? Habari ndio hiyo nahuo ndio ukawa mwisho wa mama Terry malengo yake yaliishia hewani
 
Hapo kwenye nyekundu kulikuwa na umuhimu wowote wa kuyaandika hayo ama basi tu na wewe unataka kuonekana unamjua sana huyu mama?

Mkubwa, huyu ni Mtz mwenzetu, aliishi pale upanga enzi zile na baadae alihamia jamhuri street kabla ya kwenda kuishi Kurasini na baadae alikuwa akionekana kwenye maonyesho ya 77 akiuza maua na bidhaa nyingine toka mashariki ya mbali. Baada ya hapo hajaoenekana tena!
 
mama terry yupo dar. Anakamilisha taratibu za mwisho za kuanzisha kipindi chake chini ya kampuni yake inayoitwa Brightlight Reality Show Company. Kipindi kitaitwa Ndoto yako reality show na kitaanza kurushwa kwenye television ya TBC1 hivi karibuni.
 
Ooooh! Afadhali sasa wewe umeanza kuongea kitu hapa. Aje haraka bwana.

Leka
 
mama terry yupo dar. Anakamilisha taratibu za mwisho za kuanzisha kipindi chake chini ya kampuni yake inayoitwa Brightlight Reality Show Company. Kipindi kitaitwa Ndoto yako reality show na kitaanza kurushwa kwenye television ya TBC1 hivi karibuni.

Daaaaaaaaaaaaaaaamn.. I LOVE TBC1
 
Mama Terry huwa sipendi kukaa naye karibu maana naweza kumvunjia heshima walah!
Nilikutana naye sana ktk kona kona zangu ambapo mara nyingine alikuwa anaweka mabazee mwilini lakini haikuzuia jicho langu kali la kisanii kuona mzigo uliotuama chini ya mgongo wake. ah walah.

Ila ninachompendea zaidi ni kujiamini kwake. Hata kama ataongea vapour lakini atajizatiti mpaka unakubali kwa kichwa kuingia mkenge. She is gooooood. Tatizo ni kwamba anajua kila kitu bahati mbaya kuchora tu ndo hajui. Muulize sheria, afya, biashara, maadili, siasa, sosholoji kote huko utamkuta ila penseli tuuu ndo imemshinda.

Tumrudishe jukwaani nguli huyu kwania alikuwa ni sauti ya wengi huyu
 
Alitaka kutumia ukimwi kupata umaarufu na baada ya kuwa maarufu akatafuta nafasi ya kugombea uongozi ndani ya CCM masikini hakijua CCM na jumui zake zina wenyewe wakampitilizia mbali naye ndo ukawa mwisho wake na sasa ana ugwadu na CCM,kosa kubwa huyu mama alijenga matumaini makubwa kuwa tayari ni alwatani ,wapi? Habari ndio hiyo nahuo ndio ukawa mwisho wa mama Terry malengo yake yaliishia hewani
Tatizo la wabongo
mtu akishakuwa mpiga porojo saana anadhani anaweza kuimplement porojo zake.
Namshauri awe mpiga mbiu na si mtimiza mbiu atachemka bongo hii
 
Mmenikumbusha vipindi vyake, juice ya mchicha, viazi, n.k. n.k. Hata nami nina shauku ya kujua alipo.
 
hahaha
wabongo mnapenda sana juice ya mchicha
nadhani aliyeifufua mada ameileta makusudi kuukaribisha ujio wa mara ya pili wa mama terry.
Ah mama terry karibu tena mama
 
mama terry yupo dar. Anakamilisha taratibu za mwisho za kuanzisha kipindi chake chini ya kampuni yake inayoitwa Brightlight Reality Show Company. Kipindi kitaitwa Ndoto yako reality show na kitaanza kurushwa kwenye television ya TBC1 hivi karibuni.

naomba kuuliza hicho kipindi bado hakijakamilika mpaka leo????????????????????????
 
mimi mama Terry alikua ananiacha hoi na therapy yake ya mkojo wa asubuhi, daah hii ilinishangaza, kupitia Radio One sterio siku ya Alhamis. mmh hapana ilikua dawa kali sana.
 
yaaani mama hasikiki popote sijui yuko wapi aendelee kutupa Tiba Mbadala
 
naomba kuuliza hicho kipindi bado hakijakamilika mpaka leo????????????????????????

Kipindi kimeshaanza, kwa mara ya kwanza nilikiona 2 May 2010(Jmosi)
Ratiba inasomeka- kipindi kipo kila Jmosi saa 3:30 usiku, hapo hapo TBC1.
Kazi kwenu.
 
mimi mama Terry alikua ananiacha hoi na therapy yake ya mkojo wa asubuhi, daah hii ilinishangaza, kupitia Radio One sterio siku ya Alhamis. mmh hapana ilikua dawa kali sana.

uandishi mwingine unakuwa na utata kwelikweli, ulivyoanza, mimi nijua wewe ndio Mama Terry
 
Ebwan we, leo ndio nimeona hicho kipindi, nikawa na jiuliza, huyu mama kama shabiki na muongeaji sana nimemuona wapi? nilikawa na shindwa kupata jibu , kumbe ni yule Mama Terry , ila kama kaonekana ame kua mtu mzima zaidi, mwanzo nilidhani ni yule BI Chau . Ila huyu mama, kile kitenge na ile ........... jamani dah ile ni too much utadhani ni msouth Africa, maana nikapatwa na swali hivyi huyu ana kaaje kwenye a toilet seat?
 
WanaJF, mnamkumbuka Mama Terry aliyekuwa mwanaharakati wa kupiga vita UKIMWI? Alikuwa anasikika sana Radio One akiwa na Misanya Bingi. Na alikuwa anawatetea sana wamama. Ghafla akawa hasikiki tena. Yuko wapi siku hizi??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom