Mama shujaa wa chakula

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Mama Shujaa wa chakula; ni sista mtawa yule. How comes anaibuka mama shujaa wa chakula wakati hajawahi kuserve familia? Kuwa mama haimaanishi tu kuwa mwanamke mtu mzima, lakini pia kutekeleza majukumu ya huyu mama yakiwemo matunzo ya familia.
Pia hana mtoto huyu mama, sio bahati mbaya ila kwa nadhiri aliyojiwekea kwa Mungu, inakuwaje anakuwa 'mama' shujaa wa chakula?
#blunder#
Kwa mtazamo wangu huyu angekuwa tu shujaa wa chakula, lakini sio 'mama', sidhani kama hata huko kwa cathedral huwa wanaitana 'mama', sa inakuwaje sie tumpachike u-mama asiye mama?
 
Back
Top Bottom