Mama shughuli wa ifm na udsm anafundisha nini?????????

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,108
115,828
sikuweza kupata habari in details
but kijuu juu nimesikia kuna mama anaitwa
mama shughuli ambaye anapita hosteli za wasichana ili
kuwafundisha mambo ya chumbani...na wanamlipa huyo mama..

sasa najiuliza hivi hayo mafunzo anayotoa
nani amethibitisha ni safe na sahihi???????

na je wazazi wenye watoto kwenye hizo hosteli
wanajua kuna mafunzo hayo??????????

je hakuna mwenye video ya mafunzo hayo aiweke humu
labda wengine watakuwa na cha kuchangia,
negatively au positively?????

na je kwaujumla wake ni sahihi????????????
 
nina dada zangu wamesoma huko sijui wamefundishwa nini
isije kuwa wamepotoshwa halafu ndoa zikawashinda au sipo sahihi?????????
am a familly man.nipo concern...
 
mkuu,huyo mama mshenz adi jana kwenye friday night live alioneshwa. Nlimwna 1stym alikuja hostel kwe2 boys akijifanya kuuza msos kumbe alikua kama anataka ku2seduce ivi 2kamsanukia
 
Duh,nachelea kusema hapa ataanza kutafutwa mtu kama kibonde alivo kuwa anasakwa,....kwanini tujadili anafanya sahihi au sio sahihi wakati hatuna uhakika kama huyo mtu yupo kweli au hayupo?
 
Huyu mwanamke ana lake jambo nyuma ya pazia,,je hayo mafunzo yana baraka za uongozi wa chuo?? , na sijui knn hao baadhi ya wanachuo wanampokea na kumsikiliza.
Hiyo elimu anayoitoa inatakiwa itolewe huko kwenye kitchen party na kama amealikwa kufanya hivyo.
Anawachanganya tu na kuwatia kishawishi cha kufanya practical cha hayo mafunzo yake.
Uongozi wa chuo inabidi wampige marufuku kuingia hostel na kutoa hayo mafunzo yake chuoni .
KILA JAMBO LINA MUDA WAKE NA MAHALI PAKE...na
 
unaona sasa???????
 
nina dada zangu wamesoma huko sijui wamefundishwa nini
isije kuwa wamepotoshwa halafu ndoa zikawashinda au sipo sahihi?????????
am a familly man.nipo concern...
Mpaka wamefikia level ya elimu ya juu hivyo watakuwa na uwezo wa kutambua lipi baya na zuri kutoka kwa yule mama shughuli.sio kila tunachosikia huwa tunabeba kizimakizima.
 
Namjua huyo mama ila huwa anauz mara nyingi urembo wa usoni na sabuni, ila anapenda tu story za aina hiyo ila mkimuuliza huwa hamfundishi mtu lolote labda uanze kujiulizisha mwenyewe
 
Sahihisho dogo ndugu.
Huyu mama yupo na anafundisha kweli tena kwenye vyuo na hata ukitaka anakufuata nyumbani kwako.

Alianza kwa kuuza vitu vidogo vidogo kwenye vyuo na maofisini huku pia akichombeza kuhusu haya mafunzo ya mambo ya chumbani.Alipoona inalipa basi akaigeuza bishara rasmi japo sijui kama amesajiliwa.

Anachanganya mawaidha na massage/kukandwakandwa na hapa huwahudumia pia wanaume ( alihojiwa kwenye gazeti akadai kuna vishawishi na majaribu mengi na sikuelewa alikuwa na maana gani hapo)

Alipohojiwa na gazeti moja la kiswahili la kila siku alisema wateja wake ni wanafunzi vyuoni, mawaziri, wabunge etc!
Alisema hutoza kati ya sh.100,000/- na 250,000/= na ukitaka kufuatwa ulipo basi itakugharimu zaidi ya hapo - utaongezea kati ya sh 50,000/- hadi 100,000/=!

Alisema pia kuwa mwanzoni alipata shida sana na kilichomsukuma kufanya kazi hii ni manyanyaso ya mumewe lakini sasa mumewe anampenda maana anaona kipato kinachoingia. Ndugu wa mume pia walimletea maneno sana alipoanZA KAZI HII ILA HAKUWAJALI.
Niliposoma makala ya gazeti kuhusu huyu mama, hata mimi nilijuliza maswali mengi sana nikakosa jibu ila nilifanya jitihada huhoji baadhi ya wateja wake na cha kushangaza wanafunzi wa vyuo wanamkubali sana na wanadhani huduma hii inahitajika.

Kadhalika wakina mama wao hawakujali athari kwa watoto bali waliona wao wenyewe wanasumbuka sana kwenye ndoa zao kujaribu kuwamudu na kuwadhibiti waume zao hivyo wakaona bora huyu mama awape ushauri ni vipi wazikinge ndoa zao kwa kupata "maujuzi" haya.

Sijui kama kasajili hii huduma maana pato analolipata ni kubwa na linastahili kutozwa kodi kama wanavyotozwa wafanyabiashara wengine.
 
umeona sasa from what i hear
anafundisha vya upotofu vingi....
 
Back
Top Bottom