Mama shein na wewe anzisha ngo!!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Yawezekana wanaosema shein mpole awajakosea kwa hali hii imemfanya ata mama yetu muda wote kushindwa hata kuwa na kan ngo chake kama wake wengine wanvyofanya cha kuwaingizia watanzania faida na wao chakula cha kila siku...mama shein uurais huo wa zanzibar kama upole tumeouchoka anzisha ngo yako tusonge mbele....

Tunaitaji wamama wanaokomaa ..usikubali kumsikiliza kila mtu mama muulize mama mkapa...

Nakutakia u first lady mwema
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom