Mama salma kikwete unapata haki yako ya ndoa saa ngapi??jamani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Mh rais
kwa kweli mi nikiwa kama mjasiriamali kwenye swala la ndoa naomba niombe kuuliza swali hili..mh rais umekuwa ukizunguka sana nje na ndani ya nchi bila hata kupumzika,pamoja na kwamba kila mtu anapenda per dime kwa kweli bado ndoa inaitaji kuheshimiwa na watu waote
kuheshimika ni pamoja na wahusika kupeana hakizao timilifu bila kupunjana,,nimejaribu kukaa na kuwaza kwa hili yawezekana mama yetu salma amekuwa akishindwa kukwambia lakini ukweli mzee wetu unaitaji kupumzika umpe mama hakiyake ya ndoa..safari nyingi umekuwa mwenywe ukipasua mawimbi tunaomba sasa uchukue muda umpe mama salma haki yake ya ndoa ye ni binadamu na anaitajii kama binadamu wengine;urais usiwe sehemu ya kunyimwa mtu haki yake..nimesikitishwa kuchangaa uko mwanza gafla uko taifa mara nasikia unaelekea tena mikoani wikii hii...mama yetu ni mtu anaejiheshimu basi tunsimtie majaribuni mhe rais tumpe haki yake timilifu..mungu akutie nguvu kwa hivlli kama anavyokupwa ukiwa marekani ,greece,london nk
 
Zuma si mnaona yamemkuta mlinzi akageuka kuwa Zuma. kwikwikwikwikwi!!!!!
 
Hahahahahahahaahahaha,

Hivi ni hii topic ndiyo iliyopelekea Pdidy kuwa 'banned'?
 
Nadhani Mheshimiwa Pdidy umeenda mbali zaidi au haukutumia busara katika kufikisha ujumbe wako.

  • Unless u r sure kwamba huwa hizo safari zote hafatani nae,u have no right to say this
  • Kwa ustaarabu wa kitanzania,kuna njia muafaka za busara na hekima za kumfikishia mtu mzima au wa makamo ujumbe,hususwan kiongozi wa jamii kama Rais.Kwa case personal kama hii,kama amekosea,inabidi kwanza uhifadhi siri yake,then utume ujumbe wa siri kupitia watu wenye hekima na busara kumfikishia kwa siri Mheshimiwa...kwa mtindo huu anaweza kuthamini mchango wako ktk private matters zake....kinyume chake huitwa utovu wa nidhamu na kudhalilisha
  • Nisingefikiria kuingilia private matters kama hizi kwa mtu yoyote unless nahitajika kufanya hivyo na nitafanya kwa uelewa wa kina na busara ya hali ya juu...when it comes president inakuwa more sensitive.
  • Binafsi nachukulia kama vile ni matusi kwa mtu mzima hususwan Rais wa nchi
 
Hahahahahahahaahahaha,

Hivi ni hii topic ndiyo iliyopelekea Pdidy kuwa 'banned'?

Kwa hakika hasa - naona sasa watu wmehamu kumfanya JK Babu yao! - haya ni mambo ya ndani sana please!!

Pdidy

Banned
 
yaani bac tu, we mkaka bwana mie nadhani ukitokaga nyumbani unachotaka akili kidogo za kushinda nazo kwa cku nyingine unaziacha nyumbani....
 
Ni ushauri kwa muungwana, inaelekea mama Salma alikutuma umweleze ,
Ndo maana tunaficha majina yetu, we fikiria suala kama hili unaweza kulitoa hadharani kwa kutumia jina lako halisi kweli???

Kweli TZ kuna uhuru wa kutoa maoni, tunao uwezo wa kuingia mpaka chumbani kwa prezidaa wetu!!!!!!!

Huyu jamaa amejuaje kama hapati? mbona kuna thread hapa hapa ilieleza kuwa 1st lady wetu ana zygote?? , Nasubili majibu
 
Mh rais
kwa kweli mi nikiwa kama mjasiriamali kwenye swala la ndoa naomba niombe kuuliza swali hili..mh rais umekuwa ukizunguka sana nje na ndani ya nchi bila hata kupumzika,pamoja na kwamba kila mtu anapenda per dime kwa kweli bado ndoa inaitaji kuheshimiwa na watu waote
kuheshimika ni pamoja na wahusika kupeana hakizao timilifu bila kupunjana,,nimejaribu kukaa na kuwaza kwa hili yawezekana mama yetu salma amekuwa akishindwa kukwambia lakini ukweli mzee wetu unaitaji kupumzika umpe mama hakiyake ya ndoa..safari nyingi umekuwa mwenywe ukipasua mawimbi tunaomba sasa uchukue muda umpe mama salma haki yake ya ndoa ye ni binadamu na anaitajii kama binadamu wengine;urais usiwe sehemu ya kunyimwa mtu haki yake..nimesikitishwa kuchangaa uko mwanza gafla uko taifa mara nasikia unaelekea tena mikoani wikii hii...mama yetu ni mtu anaejiheshimu basi tunsimtie majaribuni mhe rais tumpe haki yake timilifu..mungu akutie nguvu kwa hivlli kama anavyokupwa ukiwa marekani ,greece,london nk

astaghfirulaah!!!!!
We ntoto we! mweh!
 
Komaaaaaaa we kijana weye! Leo umeamka na hangover ya gongo loh hata aibu huna! Waweza muuliza baba yako kama anampatia mama yako haki yake? Aaaah hii laana hiii jamani
 
Back
Top Bottom