Mama Salma Kikwete,TGNP,TAMWA,UWT mnafanya nini?

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Leo ninao wakina mama wanaojifanya wanaharakati……ukiwasikiliza unaweza kuzima fegi kwa maneno ya ya kiharakati dhidi ya wanawake…

…..kilichonisukuma kuanzisha hii thread ni majuzi mlisikia yaliowapata wasichana wa shule moja mkoani morogoro wakituhumu walimu/mwalimu kuwanyanyasa kwa kufanya nao ngono…

Hivi UWT kazi yake ni nini?
Mpaka leo hii hawa TGNP,TAMWA wakina Kijo Bisimba Ananelia Nkya hawajatoa tamko lolote Mama Salma kikwete hajaongea kitu…….
nashawishika kuamini kuwa hawa wanaharakati wako pale ku target madaraka hasa ya ubunge wa kuteuliwa na sio kutetea wanawake…..hawaoni uchungu kwa kuwa hawana watoto pale au hakuna maslahi yao......

…mnamkumbuka Mama Terry Yule mwanamama machachari alikuwa anatoa darasa sana redio 1 na ITV…..target yake ilikuwa ubunge alipokosa leo hii humsikii tena
 
Mkuu lakini hata wewe una nafasi ya kufanya kitu, je umechukua hatua yoyote? au yale yale ya kuwa wapiga kelele kwenye keyboard zetu na huku tunficha sura na majina yetu nyuma ya computer?
 
- Sijui hao wengine waliotajwa, lakini Mama Salma anafanya mengi sana mazuri ya kusaidia wananchi wanyonge na ule mfuko wake, I mean hayuko perfect kwa sababu ndani ya hiyo shughuli yake kuna vilio sana vya udini lakini so far so good.

Respect.

FMES
 
Mama Terry Yule mwanamama machachari alikuwa anatoa darasa sana redio 1 na ITV…..target yake ilikuwa ubunge alipokosa leo hii humsikii tena

Mume wake kamkataza mambo ya kwenye TV.ili leta mgongano wa maslahi..ila ni mjasiliamali kwenye mambo ya kitchen party!
 
Mkuu lakini hata wewe una nafasi ya kufanya kitu, je umechukua hatua yoyote? au yale yale ya kuwa wapiga kelele kwenye keyboard zetu na huku tunficha sura na majina yetu nyuma ya computer?
wale wanajitangaza kwenye majukwaa kama watetea haki za wanawake......na wanafaidika sana na hizo ngo zao uchuro.....wakipata wanachokitaka wanakula kona.......
 
hivi Mama MKAPA mbona kimya?

hivi mlisoma akina SHIVJI walivyoshinda ile landmark case last week dhidi ya serikali?
 
- Sijui hao wengine waliotajwa, lakini Mama Salma anafanya mengi sana mazuri ya kusaidia wananchi wanyonge na ule mfuko wake, I mean hayuko perfect kwa sababu ndani ya hiyo shughuli yake kuna vilio sana vya udini lakini so far so good.

Respect.

FMES

Mkuu FMES hebu fafanua hili, wengine tuko njia panda
 
Back
Top Bottom