Mama Salma Kikwete (FL) mbona kimya hivyo?

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
Mpendwa wangu Mama Salma Kikwete hasikiki. Mwenye kujua habari zake anijuze. Wengine walisema kakwama kwa Babu Loliondo, wengine ooh..kenda nyumbani kutayarisha mashamba msimu wa mvua, mara ooh, anafundisha tuisheni ili asiisahau kazi yake..Maneno mengi tu nasikia.

Nijuze wana MMU.
 
Anajipumzisha baada ya kazi ngumu ya kuch....
 
amegundua makosa yake kipindi cha kampeni anaona aibu kujiachia
Hata hivyo wa nini kimjulia hali kilaza kama yule??????????????
 
nenda OFISI ZA WAMA utamukuta kajaa tele anaendelea na majukumu yake kama kawaida.
 
Nenda ikulu utamkuta MMU unajichosha tu

Groan utakazokuwa nazo mpaka page ya 5 zinatosha kabisa kwa kianzio
 
Mpendwa wangu Mama Salma Kikwete hasikiki. Mwenye kujua habari zake anijuze. Wengine walisema kakwama kwa Babu Loliondo, wengine ooh..kenda nyumbani kutayarisha mashamba msimu wa mvua, mara ooh, anafundisha tuisheni ili asiisahau kazi yake..Maneno mengi tu nasikia.

Nijuze wana MMU.

I see narrow mind person here .( wasting time talking about people).
 
Back
Top Bottom