Elections 2010 Mama Salma Kikwete anusurika kipigo Tunduma

Huyu atakuwa na matatizo na ndoa yake....mwezi wa pili hayuko nyumbani

Zito kabwe bado hajaoa anapiga uhuni tu kijana wa watu na umri unasonga mbele. Lipumba hazunguki na mke wake na Mbowe mbona anamfichaficha mke wake kulikoni? haya mambo yamekaaje?
 
Watanzania bwana ndio maana hatuendelei muda wote tunawaza ngono hata katika mambo ya msingi hatuwezi kuahirisha ngono.Tutakwendaje ulaya kusoma bila wake zetu ni lazima tupate kimada duuuuuuuuuuuuuuu
 
Unaongea na kuandika pumba sana wewe nadhani hata wanaokuhusu nao ni zaidi yako!
 
wangemfanyia kile babu seya aliwanyia wale watoto, au kile maumba alichowafanyia wanafunzi wakati ule, hajatulia angekeketwa huyu labda atatulia
 
[QUOTE=Rev Masanilo;1159843]Mene, Mene, Tekel, Upharsin![/QUOTE]

Mkuu umenikumbusha mbali sana na maneno yako hayo....Hope yana maana hii...
"Ufalme wako umepokonywa na kupewa mtu mwingine...."
 
Watanzania bwana ndio maana hatuendelei muda wote tunawaza ngono hata katika mambo ya msingi hatuwezi kuahirisha ngono.Tutakwendaje ulaya kusoma bila wake zetu ni lazima tupate kimada duuuuuuuuuuuuuuu

Ndoa sio ngono tu wewe.....hivi mumeo anaangukanguka kila mara wewe unasafiri tuu
 
Watanzania bwana ndio maana hatuendelei muda wote tunawaza ngono hata katika mambo ya msingi hatuwezi kuahirisha ngono.Tutakwendaje ulaya kusoma bila wake zetu ni lazima tupate kimada duuuuuuuuuuuuuuu

Mke wa Mbowe ni Dr na ni muajiriwa hana hiyo nafasi...huyu Salima ni mama wa nyumbani..no comparison...Lipumba sijui kama ana mke...Zitto is just 33 ni wanagpi wameowa umri huo
 
ninamchukia huyu mama kama ninavyomchukia manafiki mkubwa jaji lewis makame na tume yake ya uchaguzi

sio hivyo tu yaani ukijumuisha hao wako nawachukia viongozi woteee na wanachama wa CCM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom