mama salma huyoooo USA

we kokolo ulifundishwa na mwalimu mwenye elimu gani primary? imefika kipindi tuache dharau, mwalimu wa primary ndio waliotujengea msingi wengine hadi tupo hivi tulivyo.
Watanzania bana.....mtu aksiema ukweli unaambiwa una wivu au dharau......
.....umeshamuona Mama salma akihutubia? mbona aibu utatamani uzime tv kwa kuona aibu......

...nijuavyo kama ni mwalimu wa UPE basi atakuwa kaishia darasa la 7! muungwana kawa waziri katibu mkuu miaka kibao kashindwa kumuendeleza mkewe....its shame......

......ndio maana wengi tunaamini huko LA kaenda talking shopping

i wounder kwa nini waandishi wetu wa habari huwa akirudi hawamuwahi pale JULIUS NYERERE ....wamuombe awape briefing ya hizo shopping festival anazohudhuriaga!!!!

Nikimuangalia Michelle akiongea na kumuona huyu wetu naona aibu kubwa......
 
.
.....umeshamuona Mama salma akihutubia? mbona aibu utatamani uzime tv kwa kuona aibu......

....


DU SIJUWI wewe ni mtu wa ngapi nakusikia unasema unaona aibu juu ya poor public speaking skills za mama yetu......the way sauti pitch inavyopaa na kushuka bila kuzingatia audience size...na ujumbe...mahali pasipotakiwa,the way anavyosisitiza..ukiwa nje utasema kuna mwalimu anafundisha watoto kusoma!

i will never blame her ... jk knwing he is eying the top post had an obligation to shape her through encouraging and support her to study locally or abroad!

hata baada ya kuingia angeweza kutake time off ya mwaka mzima na kwenda marekani au uingereza kusoma........ingemsaidia sana ...kuliko kumlundikia washauri ...wampe kusoma kitu asichojuwa waala mantiki yake..wanamlisha maneno tu...sanasana ....

wewe fikiria michelle obama pamoja na kuwa brilliant ....marekani hawangalii hilo rais akichaguliwa ...wametenga karibu miezi miwili anapewa ma training na ma briefing na FBI .,CIA,na federal reserve.....kumuuandaa kisaikolojia na kiuwezo......

mkewe naye anawekwa chini kufundishwa zaidi juu ya public speaking....na uelewa wa mambo ya jamii.......

afrika kiongozi akichaguliwa anakimbia kuapishwa ...na stress za kampeni hazijaisha ...

its time now tuchague rais mapema say september ....tumuapishe december ....ili kuwapa idara zinazohusika muda wa kukaa nao............
 
Toka lini darasa la saba aliyefundishwa na mtu aliyefeli form four ung'eng'e ukapanda!!!!!!!!!!!!!!.
Apo alipo anakaratasi kibao alizoandaliwa kusoma.

Kwani kujua ung'eng'e ndio inaonesha nini hasa?
Hiyo ni lugha tu kama kimatumbi au kichaga,wacha kasumba wewe.

Mbona raisi wa taifa kubwa kama china kaja juzi na mkewe wamesaidiwa na wakalimani
 
Kwani kujua ung'eng'e ndio inaonesha nini hasa?
Hiyo ni lugha tu kama kimatumbi au kichaga,wacha kasumba wewe.

Mbona raisi wa taifa kubwa kama china kaja juzi na mkewe wamesaidiwa na wakalimani

Pamoja na kuwa uwezo wa kiingeraza ni mdogo (hilo lisingekuwa tatizo) ila hapa watu wanaongelea uelewa wa mambo. Kwamba general knowledge yake ni sifuri (zero au 0). Ushauri wa wadau hapo juu ni muhimu. Hakuna mtu alizaliwa akijua kila kitu. Kwa hiyo kuna umuhimu wa kuwafundisha viongozi wetu na wake zao ili kupunguza mambo ya aibu. Inaeleweka kuwa baadhi ya maeneo (mfano Mara miaka 80) kijana hata akiwa form 2 anaoa. Sasa huyo akiukwaa u-President unaweza kuona kasheshe atakayokuwa nayo firstlady. Wengi wanafundishika kwa hiyo wasaidiwe badala ya kuwatelekeza na kuanza kutafuta ready made!
 
Du hapo naona anaenda kwa shopping...ila si amerudi juzi tuu??toka dubai??au this time anaenda kwa ajili ya wama??maana hapo ndio pa kumtoa...misaada yote wanampa anapeleka kwao na mingine anadanganyia anatoa vishule viwili vitatu ila misaada ya kwao haitangazwi kamwe.....all the best kipindi chako hiki mama nyanyua hata watu wenu huko kusini maana walisahaulika kidogo....
 
Back to First Lady wetu, mi simjui binafsi but she strikes me as a simple woman, not fit for her status,

Not fit for her status? Nini vigezo vya kuwa mama wa kwanza?

She looked most comfortable siku ile alipomchezea ngoma mwanae kimila! Sorry not really top canidate for First Lady in my eyes.

What a cheap shot! And I didn't know there were candidates for First Lady!

Tatizo anaonekana kum-irritate mume wake na ndo maana kwa miaka yote 10 alipokuwa anajitayarisha kupata urais, JK haku-invest katika mke wake.

Wakati mwingine sijui huwaga una wadudu kichwani maana sielewi kabisa mchakato wako wa kufikiri! Pole kama ndio ni hivyo.
 
we kokolo ulifundishwa na mwalimu mwenye elimu gani primary? imefika kipindi tuache dharau, mwalimu wa primary ndio waliotujengea msingi wengine hadi tupo hivi tulivyo.

Brilliant Pretty, hatakama taaruma zao ni ndogo, wameweka foundation zaidi ya 90% ya wanafunzi au wasomi wa Tanzania. So tusiwabeze
 
Brilliant Pretty, hatakama taaruma zao ni ndogo, wameweka foundation zaidi ya 90% ya wanafunzi au wasomi wa Tanzania. So tusiwabeze
kweli kabisa bm21, mie mwenyewe nilivyokuwa darasa la kwanza na pili nilifundishwa na hao walimu wa UPE, hata baadaye darasa la 3-7 nikaja kufundishwa na fm 4 waliofeli wale. Mie kila siku huwa nawashukuru walimu wangu japo leo hii mie nimewapita kielimu, maana ndio hao waliojenga good foundation kwa maisha yangu.
 
hahahaha.,jamani acheni first lady aende tusubiri nini atatueleza mara atakaporejea. By the way hebu fafanua ni ziara ya kiserikali au binafsi? au amealikwa na marafiki wa taasisisi anayoingoza ya Wanawake na Maendeleo? Kuhusu garama za SAFARI nafikiri hicho ni kitendawili kwetu cha msingi na sisi tutumie vizuri nafasi zetu tulizonazo maana ndo kilichobaki kwa nchi yetu, ukifatilia sana utaishia kuumia na kujistress mwenyewe! nawasilisha wadau
 
Wakati mwingine sijui huwaga una wadudu kichwani maana sielewi kabisa mchakato wako wa kufikiri! Pole kama ndio ni hivyo.[/QUOTE]

Karibu sana Nyani, naona unawatafuta watani wako wa jadi.... as your idol Dubya said BRING 'EM ON!
But getting back to the topic: Vigezo vya kuwa First Lady ni kuwa unawakilisha watanzania katika mikutano ya kimataifa, and thus she will become the face of Tanzanians in particular Tanzanian women. Unfortunately because she was not elected she has to make sure that anaonyesha juhudi ya kutuwakilisha vyema hata kama hajachaguliwa. Huyu Mama Salma na Ikulu pamoja na mumewe hawajachukua hatua yoyote ya kumwendeleza huyu mama na anazidi kwenda mikutano mikubwa na ya maana bila ya kujitayarisha. Vinginvyo aache kusafirisaifiri na kutumia pesa za watanzania kutuwakilisha aseme ye akionekana basi atakuwa na mume wake tu kama mke lakini asihudhurie mikutano eti kuhusu wanawake na watoto kwa niaba yetu, wacha Mary Nagu aende.
BTW: nilitembelea website yao, yaani kule kuna ma-First Lady wameshika nafasi za uongozi kama FL wa Angola, wa Uganda, etc lakini naona Mama Salma hayumo kwa hiyo ataenda kutembea na sidhani hata kama ni key speaker maana hata picha yake sikuona! Hebu kaicheki hiyo website!

Talking about CHEAP SHOTS: Kama usingekuona umuhimu wa First Lady ungekuwa busy unamtukana Michelle mwaka jana nzima? Mara ooo ana sura mbaya, oo hajui kuvaa. Acha unafiki mzee mzima!
 
Halfu maniita JF ''The Home of Great Thinkers'' khaa! I think JF should be called a Home of Great Criticizers.

How can so many peoples here criticize whatever JMK or his wife is doing? what is wrong in her going to US? whats the big deal? She is THE first lady of Tanzania and she has her privileges, may it be official or otherwise.

Hebu tuwe wabunifu wa mambo na tusiwe wakosoaji hata pasipo hitaji kukoselewa! Loo!
 
wauzaji wa sura ikulu..na wazururaji...kazi tunayo!!!!....anaenda USA kusema ZE ...ZE...HOME IS PROBLEM ..STREET CHILDRENI...na bakuli lake!![/B][/QUOTE]

Sijui kama Madame Kikwete anajua kiingereza au la. Ninachojua ni kuwa kama hajui kiingereza atasema tu kiswahili na watu wa kutafsiri wata toa tafsiri ya hayo atakayosema.
 
Sorry, Pretty, walimu wa primary wengine hawastahili heshima yoyote, ni bumbu, wanachapa watoto hovyo na hawana elimu au hulka ya kufundisha watoto! Sijui kuhusu huyu mama maana wengine tumesoma zamani, lakini naomba nikuulize unajua walimu wa UPE? Kama ungewajua usingekuwa na heshima yoyte kwa walimu wa primary in general! Don't even get me started on that!

Huyu mama alinifundisha darasa la tatu, somo alilonifunidhsa ni siasa/uraia whatever they call it. Was she a great teacher? No ila she did her job again somo lenyewe lilikuwa rahisi. Ila kati ya vyote sitosahau kwa jinsi alivyokuwa mkali kwenye kuchapa na kufokea wanafunzi, yes alinichapa mara kadhaa especially kipindi ambacho anakuwa mwalimu wa zamu maana sikuwa na kawaida ya kuwahi namba.
 
Last edited:
Mkuu, umeniacha hoi! Kumbe ndo wale dizaini ya enzi zile za UPE? Ah, wale hata hadhi ya kuwaita walimu walikuwa hawana. isingekuwa kwa baadhi ya walimu wa miaka ya nyuma walioendelea na kazi kwa miaka kadhaa, nadhani kiwango cha elimu kwa wale in their mid to late 30s ingekuwa chini sana. lakini hivi sasa wale w early thirties and late 20s, unaona difference kubwa - English inasumbua, knowledge ni ndogo in general. Product ya UPE!

Hao walimu ndo walichangia uporomokaji wa elimu. Why do we think the dumbest should teach our children because the brightest should teach the children and the dumbest can try to teach university!

Back to First Lady wetu, mi simjui binafsi but she strikes me as a simple woman, not fit for her status, sasa wanamtandao wanajaribu kum-package like a career woman, lakini it will not work, sidhani kama yuko comfortable katika mikutano hii. She looked most comfortable siku ile alipomchezea ngoma mwanae kimila! Sorry not really top canidate for First Lady in my eyes. Tatizo anaonekana kum-irritate mume wake na ndo maana kwa miaka yote 10 alipokuwa anajitayarisha kupata urais, JK haku-invest katika mke wake.


Kama JK, alishindwa kumuandaa mke wake kwa miaka 10, mnategemea nini toka kwa huyu mkwele miaka 5 au 10, miaka 5 imeisha sasa anataka kuuza mkoa mmoja kwa Waarabu wa Saudi: 500,000 hectare ambayo ni sawa na Mkoa wa Pwani/Ruvuma/Iringa, hakuwa na strategies zozote wakati anagombea ukuu wa nchi, ndo maana kazi yake ni kutembeza bakuri kila kukicha utafikili hana akili nzuri vile.
 
Sorry, Pretty, walimu wa primary wengine hawastahili heshima yoyote, ni bumbu, wanachapa watoto hovyo na hawana elimu au hulka ya kufundisha watoto! Sijui kuhusu huyu mama maana wengine tumesoma zamani, lakini naomba nikuulize unajua walimu wa UPE? Kama ungewajua usingekuwa na heshima yoyte kwa walimu wa primary in general! Don't even get me started on that!


Kwa nchi zilizoendelea huwezi kuta mwalimu kaferi form 4 au six anafundisha wanafunzi, ukienda Canada/UK/JAPAN/US/GERMAN/INDIA/CHINA, mwalimu lazima uwe na degree au zaidi ndo ufundishe primary/secondary etc. Hawa walimu wamesababisha wanafunzi wengi wa kitanzania kukosa confidence katika shughuli zao za kila siku akiwemo mkuu wa nchi. Lugha taabu tupu/ math ndo usiseme. Angalia mfano wa mkutano uliomalizika hapa nyumbani (World Bank/IMF), unatamani kufumba masikio na siyo macho.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom