Elections 2010 Mama Salma akerwa na Ilani ya CCM kutopembuliwa kitaalamu utekelezaji wake

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Kulingana na taarifa iliyosomwa leo na channel Ten, Mama Salma Kikwete akiwa kwenye ukumbi na wana UWT wa Tabora alionyesha kupigwa tafurani ya kwanini Ilani ya CCM kwenye eneo la kupunguza vifo vya watoto hakuna uchambuzi yakinifu wakitaalamu ili kuwaelemisha wapigakura mafanikio makubwa ya CCM kwenye eneo hilo.

Huku akiungwa mkono na Waziri mdogo wizara ya elimu ambaye hivi majuzi alitolewa makamasi kwenye kura za maoni Zenji, Mama Salma alihimiza kampeni zifanyike kwa nguvu zote kuhakikisha CCM inaibuka kidedea.
 
Mkuu,
Nimepumbazwa na hayo matamshi yake. Swali langu kama lake na kama limenukuliwa vilivyo... ...."hakuna wanofanya upembuzi yakinifu" kabla hajakurupuka na matamshi yake?

Maoni yangu, anaongeza nguvu ya wale ambao wanadai au kuona ilani hiyo haimsaidii mtanzania.(kama imepwaya)

Inawezekana hata hiyo taarifa imepindishwa, hivyo basi tuangalie nini kitaporomaka na hayo matamshi yake au taarifa ya channel ten
 
Acheni utani hapa kwenye forum.. tuwe na displine..

Tuchangie hoja na siyo kutukana na kukashifu mtu, au mke wa mtu...

Haya turudi kwenye hoja,, ilani yote ya CCM haina ukweli wala uwasi achilia mbali upembuzi yakinifu na umakini..

Hivi mnajua kuwa hata wao CCM wakiongozwa na Makamba na Kinana wanajua ukweli ila sasa ubinafsi umewajaa......
 
hahahaha hahahaha ha
ilani ya ccm inawapa shaka hata wapigaji kampeni wakuu
 
Back
Top Bottom