Mama ninakupenda sana (The Images of Mother)

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,207
4 years of age-My mummy can do anything
8 years of age-My mum knows a lot
12years of age-My mother doesn't know every thing
14years of age-My mother? She wouldn't have a clue
16years of age-Mum?She's so five minutes ago.
18years of age-That old women? She's way out of date
25years of age-Well, She might know a little bit about it!
35years of age-Before we decide, let's get mum's opinion
45years of age-Wonder what mum would have thought about it?
65years of age-Wish I could talk it over with mum.

The beauty of women with passing years only grows..

HAPPY MOTHERS DAY TO ALL MOTHERS IN JAMII FORUM ON SUNDAY(MAY 9TH)
 
Sweeeeet!!!
Kwelii hamna mwingine kama mama....too bad wengine hawajawahi kupata na kufurahia uwepo wa mama zao!!

HAPPY MOTHERS DAY TO ALL THE MOTHERS OF JF!!YOU ARE ALL APPRECIATED!!!:A S-baby:

NOW.....Back to reality......

hahahahahhahah lol

wewe na kesi
uliniambia nisimwambie ,
halafu we ukamwambia mmmhhh
ngoja nika lale nikiamka .. tuyache hapo hapo..

NOW.....Back to reality......

hahahahahhahah lol

wewe na kesi
uliniambia nisimwambie ,
halafu we ukamwambia mmmhhh
ngoja nika lale nikiamka .. tuyache hapo hapo..

Yeahhh back to reality mama.....
Nna hamu ya kuongea na wewe....embu nicheki unigombeze kabla hujalala!!Mi leo nakesha!!!
 
Yeahhh back to reality mama.....
Nna hamu ya kuongea na wewe....embu nicheki unigombeze kabla hujalala!!Mi leo nakesha!!!

Ukimaliza kungombezana na bi shosti tutakutana kwenye threads mana malengo yafanana ...LOL
 
Sweeeeet!!!
Kwelii hamna mwingine kama mama....too bad wengine hawajawahi kupata na kufurahia uwepo wa mama zao!!

HAPPY MOTHERS DAY TO ALL THE MOTHERS OF JF!!YOU ARE ALL APPRECIATED!!!:A S-baby:
Hakuna mwingine kama baba...
 
Ukimaliza kungombezana na bi shosti tutakutana kwenye threads mana malengo yafanana ...LOL

Heheheh...na wewe unakesha kisa nini mami???Mzee D kama sijakosea atanuna alafu wale mabachela niishie kuwasikia redioni!
 
Heheheh...na wewe unakesha kisa nini mami???Mzee D kama sijakosea atanuna alafu wale mabachela niishie kuwasikia redioni!

Nisha mpatia vyake si unajua mi am all energy yeye katoka kazini alafu uchanganye na shuguli ya humu ndani .....
 
MAMA UNASTAHILI ZAIDI YA HILI NENO NAKUPENDA,
NA NI MTU MUHIMU SANA KATIKA MAISHA YANGU YOTE,
MPAKA MWISHO WA PUMZI YENGU..............

NI MZAZI PEKEE ASIYEHITAJI DNA TEST..........lol
KSB MAMA NI MZAZI NA MLEZI, LAKIN BABA NI MLEZI TU,

MAMA HATA AKIZAA WATOTO 50 WOTE NI WA KWAKE,
LAKIN BABA mmh!! watatu tu ulakini ndani yake...........lol (natania tu jamani wababa msianze kuwachunguza watoto wenu nyuso zao )
 
Hakuna mwingine kama baba...

mwezi wa tisa tutasema hakuna mwingine kama baba ( fathers day)
huu mwezi wa tano acha tu tusherehekee na kuwapa heshima (Mama Zetu)

AT the end of the day .... There is no one like your parents..
 
MAMA UNASTAHILI ZAIDI YA HILI NENO NAKUPENDA,
NA NI MTU MUHIMU SANA KATIKA MAISHA YANGU YOTE,
MPAKA MWISHO WA PUMZI YENGU..............

NI MZAZI PEKEE ASIYEHITAJI DNA TEST..........lol
KSB MAMA NI MZAZI NA MLEZI, LAKIN BABA NI MLEZI TU,

MAMA HATA AKIZAA WATOTO 50 WOTE NI WA KWAKE,
LAKIN BABA mmh!! watatu tu ulakini ndani yake...........lol (natania tu jamani wababa msianze kuwachunguza watoto wenu nyuso zao )

mmmhh hapo kwenye red hapo mmmhhh
ngoja nipaache hivyo hivyo kwa sasa lol
 
Umewahi mno na wewe kha?! Muda bado ha ha ha usininukuu taf. Busa-manguree @work

Sis nawe nayo
nimechelewa kwanza
Ilitakiwa kuwe na poster ya mama kila siku lol..

itabidi nimweleze mama
aache hiyo biashara ya Busa na Mangure
maana we nimegundua we unaichangamkia
ndo maana maza anaingia hasara kila siku
ahahahhahhha lol
 
Back
Top Bottom