Mama Ngina jamani nimekumbuka enzi zetu!

Mbona kama hili saga Mtambuzi alishalimaliza kwa ushahidi wa picha na mtoa mada akakimbia kujibu!
 
Mbona kama hili saga Mtambuzi alishalimaliza kwa ushahidi wa picha na mtoa mada akakimbia kujibu!

Ahahahahahahaaaaaaaa! Siwezi nyang'anywa hv hv nipo kimya kwa sababu nasaka ushahidi wangu! Na siwezi kimbia Ruttashobolwa!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom