Mama na Mtoto

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Baada ya wiki mbili za harusi mama mtu alimuuliza mwanae wa kike, vipi maisha ya ndoa mwanangu? mtoto akamjibu mama yake: du mama maisha kama vile British Airways, mama mtu akatoka nduki mpaka Airport, akaenda kuangalia ratiba ya ndege akakuta kwa wiki mara 7 (saba) na kila siku inaenda trip 3 (tatu) mama mtu pale pale akazimia.
 
Ndio raha zenyewe hizo. Kama dozi ya panadol siku mara tatu. Lol
 
hii nitaijibu kwa sredi nyingine kesho kutwa Inshaallah. Now subirieni ya kesho.
 
Back
Top Bottom