hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,829
mama mmoja aliingia kwenye basi akiwa amebeba mtoto
mara dereva akamwambia....... huyo ni mtoto mbaya sijapata kuona...
mama hakumjibu akaingia mpaka kwenye kiti nyuma ya basi
akiwa na hasira kali
akakuta jamaa kakaa kiti cha pili akamwambia....dereva amenitusi
jamaa kwa kujiamini akamwambia...
inabidi uende ukamkanye huko huko mbele....kilete hicho kinyani chako nikushikie.....