mama na mtoto wafumwa wakibanjuana

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
mama na mtoto wameuwawa baada ya kukutwa wakijamiiana wilayani meatu mkoani Simiyu, Tukio hilo lilitokea saa saba ya usiku juzi na mme wa marehemu kuchukua jukumu la kuwachinja chinja na kisha kutembea umbali wa kilomita 18kwenda kutoa taarifa kuwa amemchinja mke wake na mtoto wake baada ya kuwakuta wakibanjuana na kisha kusalimisha silaha alizotumia kuchinjia...binafsi nauona mwisho wa dunia hauko mbali.
 
Duh, mwenyezi mungu atuepushie balaa hilo na jengine,huyo mwanamke yani hajaona wanaume wote duniani mpaka mtoto
ulombeba tumboni mwako miezi tisa? Lahaula wakuwata ilabilahi lialiyu liatheem....
 
mashetani huwa yanagawa utajiri kwa masharti ambayo yanapingana na hali ya kawaida. huenda walikuwa na mpango wa kutengeneza hela hao
 
wallah dalili za kiama zimefika.walipata hisia kabisa.najiuliza wakati wa kupeana mautam wanaitana mpenz dear au mama
 
wallah dalili za kiama zimefika.walipata hisia kabisa.najiuliza wakati wa kupeana mautam wanaitana mpenz dear au mama

Kiama bado sana, lau kama tungeweza kujua yanayotokea kila siku kila pahala duniani basi ungestaajabu zaidi.
 
Naona hata adhabu waliyopewa wanastahili kabisa!! Ila huyo mzee angenza kwa kuwatembeza uchi kwanza!!!
Tatizo aliyetoa hukumu hiyo ya kifo ni yeye pia ndio mlalamikaji na pia shahidi pekee! Kuna uwezekano mkubwa muuwaji huyu ameficha sababu hasa ya mauwaji hayo (hilo la kuwafumania pengine ni kutafuta sympathy/empathy tu)!
 
Speechless...................!!!!! Angry.........................!!!!!! While surprised..........................!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom