''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

skiza dogo.

Mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja. Wanawake wanalielewa na kulikubali hilo. Mwanamke anapoamua kuolewa anakuwa ameshakubali kuwa mama wa familia, wa kumtunza mme na watoto, katika shida na raha, huku akijua kuna mwanamke/wanawake wenzie wanaomsaidia japo kwa siri. Anachofaidi ni uhakika wa joto la mwanaume wakati wa usiku, ulinzi imara wa mwanaume, watoto wa kumuita mama, heshima mbele ya jamii nk nk nk

mpango wa nje ni tofauti na mama mwenye nyumba. Unajua hauna uhakika wa umiliki wa mwanaume kwa 100%. Unajua mwanaume huwa haridhiki na mama mwenye nyumba ambaye anakuwa bize na majukumu ya kifamilia. Kwa hiyo nao unahitaji kile ambacho hauna uhakika wa kukipata kila siku. Na mwanaume akinogezwa mpango wa nje unapewa heshima, huduma na shughuli inayostahili.

Nani anayefaidi? Inategemea: Mwingine anafaidi heshima, ulinzi wa uhakika na joto la mwanaume wakati wa usiku. Mwingine anafaidi penzi la kiukweli la kijinsia na huduma kama alizozitaja mheshimiwa teamo.

Wanawake ndio wanajua nani anafaidi zaidi, na wana hiari ya kuchagua. Kwakuwa ndoas are are there to exist and infidelity is there to stay.

narudi kitandani kulala.

ha ha ha mchina anafanya kazi kweli
 
kiuhalisia mpango wa nje ndo unabenefit hapo kuliko mwenye nyumba,,,na mbaya zaidi mwanaume mwingine anapokuwa akifanya infii anaeleza weakness za mke wake though smtyms ni za uongo,,,so mpango wa nje unajaribu kucheza na gaps ili kuweza kizifill,,,ila ikatokea mambo yakabadilika mpango wa nje ukawa mwenye nyumba,,mlango mwingine unafunguliwa fasta!since there is no miss/mr perfect kwa hiyo unakuta infii kwa walio wengi haiwezi kukoma in actual fact!inaumiza sana

Helo Wiselady, habari yako LOVE?? Umeonana na mtu mmoja anaitwa Asprin?
 
sasa hapo inategemea na mtu na mtu.yawezekana baba mwenye nyumba naye akawa mfupi na mweusi kama mpango wa nje haitokuwa na neno.siku zote huwez tafuta mpango wa nje usiokupa raha au kukuvutia.kwa mie siwez tafuta mpango wa nje mweupe
!.........never trust a man even a dead one........!
 
MY ukiwa na mpango wa nje huwa inakuwaje?
ananipa ninachotaka nami nampa anachokitaka.ila sitopunguza kwa baba mwenye nyumba labda mwenyewe awe mchovu.lakini malavidavi,huduma kwa familia na mengine kwa mwenye mali ni haki ambayo siwez ipunguza wala kuondoa.huku kwingine pumziko tu wakati wa stress
 
WAKUU,
HABARINI ZA MAJILIO?

naomba mawazo yenu katika muendelezo ule ule wa ''kuelezana ukweli unaohuzunisha''.....

ASSUMING KWAMBA SITUATION IMETOKEA HIVYO na baba mwenye nyumba ameamua kuwa na ''mpango wa kando'' kwa sababu zozote zile,mi nataka tupeane mawazo kwamba hivi ni nani anaeinjoi mapenzi zaidi ya mwenzake kati ya:

1)-MAMA MWENYE NYUMBA

-ambaye ndo mke wako wa ndoa
-ambaye ndo yuko responsible bega kwa bega na wewe katika kuikuza familia
-ambaye anavumilia kwa hali yoyote ile muda wowote ule utakao amua kurudi
-ambaye muda wote wa usiku wa giza anakuwa na mawazo kibao kwamba ''mume wangu amepatwa na nini''
-ni mke wako ''enewei'' na she is entitled to whatever is brought for the family
-ambaye utakata roho ukiwa mikononi mwake

2)-MPANGO WA NJE.
-she is entitled to kampani,route na vikao vyote vya pombe/movie etc
-anapewa nafasi ya kuagiza chochote anachotaka mkiwa baa
-anapewa nafasi ya kupelekwa shoping na kujiagizia chochote
-anakuwa na uhakika wa credits,means za tranzport (hata kumrash home kila siku sio ishu)
-anapewa nafasi adimu ya kuchat na wewe 24/7
-anapewa nafasi ya kudeka anavyotaka
-anapewa nafasi ya kunisindikiza arusha kuungana na pakajimi na kampani kubwa ya jf ya ARACHUGA

TUSAIDIANE HAPO MAWAZO,who is enjoying?
....and why?

mmmm!! mpango wa nje anaenjoy japo anaishi kwa wasiwasi
 
@hapo anayefaidi ni wewe unatunza zote mbili... moja ya home affair, na hiyo nyingine ya sports and entertainment
 
!.........never trust a man even a dead one........!

quote_icon.png
Originally Posted by firstlady
sasa hapo inategemea na mtu na mtu.yawezekana baba mwenye nyumba naye akawa mfupi na mweusi kama mpango wa nje haitokuwa na neno.siku zote huwez tafuta mpango wa nje usiokupa raha au kukuvutia.kwa mie siwez tafuta mpango wa nje mweupe

HUYU ATAKUWA SIO MWEUPE
 
@hapo anayefaidi ni wewe unatunza zote mbili... moja ya home affair, na hiyo nyingine ya sports and entertainment
HA HA HA HA!
haya bana!hii SPORTS and ENTERTAINMENTS naona kama imepigiwa chapuo sana
 
ananipa ninachotaka nami nampa anachokitaka.ila sitopunguza kwa baba mwenye nyumba labda mwenyewe awe mchovu.lakini malavidavi,huduma kwa familia na mengine kwa mwenye mali ni haki ambayo siwez ipunguza wala kuondoa.huku kwingine pumziko tu wakati wa stress

Tatizo ni kwamba huko nje mnakoenda kupunguza stress mnajiachia kwelikweli,maufundi yote ya kumwaga kuliko hata kwa father house wako orijino!!!!!!
 
kwahiyo "mpango wa nje" ni kwa ajili ya kutoa stress
 
Tatizo ni kwamba huko nje mnakoenda kupunguza stress mnajiachia kwelikweli,maufundi yote ya kumwaga kuliko hata kwa father house wako orijino!!!!!!
wanakuwa kama wanakomoa vile......!
 
walio wengi wanajua bana......!
enewei hata hivyo kimey haiwezekan kwamba ikawa ''NGOMA DROO''

Tatizo si kujua bali wanajua kiasi ie. wana taarifa kiasi gani kuhusu tabia za waume zao wakware!

Hivi mama mwenye nyumba wako naye akigeuzwa mpango wa nje na mtu mwingine doh!!!! Sijui inakuwaje hapo

Hapo ndo shida kwani wanaume hutamani kufa wakifikiria hiyo kitu. Wanasahau kuwa mwosha huoshwa na...kula ili uliwe!!!
 
Back
Top Bottom