''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

if that being the case........!kwanin wanawake wanadhani NDOA ni ni nzuri?
kwakweli kwa maisha ya sasa ndoa hata sio nzuri.mie siitamani kabisa,hasa nikiyafikiriaga hayo uliyoeleza hapo kuhusu mpango wa nje.
wanaume wengi ni wajinga.mbona wanawake hata tukiwa na mpango wa nje hatuwi hivyo?
 
Hivi mama mwenye nyumba wako naye akigeuzwa mpango wa nje na mtu mwingine doh!!!! Sijui inakuwaje hapo
 
kwakweli kwa maisha ya sasa ndoa hata sio nzuri.mie siitamani kabisa,hasa nikiyafikiriaga hayo uliyoeleza hapo kuhusu mpango wa nje.
wanaume wengi ni wajinga.mbona wanawake hata tukiwa na mpango wa nje hatuwi hivyo?
lakin mama wa kwanza hebu nambie hapo,ninyi mkiwa na ''MPANGO WA NJE'' (hasa akiwa mfupi na sio mweupe) huwa mnafanyaje/mnakuwaje?
 
kwakweli kwa maisha ya sasa ndoa hata sio nzuri.mie siitamani kabisa,hasa nikiyafikiriaga hayo uliyoeleza hapo kuhusu mpango wa nje.
wanaume wengi ni wajinga.mbona wanawake hata tukiwa na mpango wa nje hatuwi hivyo?

MY ukiwa na mpango wa nje huwa inakuwaje?
 
niko mlimani naombea chatrum,,,na.....mungu aniepushe na mpango wa nje
Ntaongea na hommie Teamo baada ya kukonkludi hii mada.....then inakua chatrum mpaka hapo invisible watakapo imuvuzisha!
BTW mzima wewe...missing you big tym!
 
Mpango wa nje una matatizo sana utakufilisi haraka,mi naona tuwapende MOTHER HOUSE wetu na 2wape hiyo Mambo yote 2one kama watashindwa kufanya.
MOTHER HOUSE = MPANGO MZIMA
lakin unadhan mkuu kwa kufanya hivyo utakuwa umetibu ugonjwa huu wa ''mpango wa nje''?
 
Mpango wa nje una matatizo sana utakufilisi haraka,mi naona tuwapende MOTHER HOUSE wetu na 2wape hiyo Mambo yote 2one kama watashindwa kufanya.
MOTHER HOUSE = MPANGO MZIMA

mambo mengine unayomfanyia mpango wa nje huwezi yaleta kwa mother house, unaweza pata laana!!!!!!ndoa na iheshimiwe
 
mpango wa nje una matatizo sana utakufilisi haraka,mi naona tuwapende mother house wetu na 2wape hiyo mambo yote 2one kama watashindwa kufanya.
mother house = mpango mzima

mkuu kuna wengine ni hulka yao tu hata mkewe amfanyie nini lazima ataenda kwa mpango wa nje tu
 
kwakweli kwa maisha ya sasa ndoa hata sio nzuri.mie siitamani kabisa,hasa nikiyafikiriaga hayo uliyoeleza hapo kuhusu mpango wa nje.
wanaume wengi ni wajinga.mbona wanawake hata tukiwa na mpango wa nje hatuwi hivyo?

kwahiyo mankuwa na mpango wa nje na wajinga?
 
Hapa tunaongea kuhusu MPANGO wa NJE na MPANGO MZIMA?

Kuna common denominator hapo.......yote ni MIPANGO bana!
 
Yap coz utakuwa unapata raha zote unazozitaka Pls mkuu 2wape nafasi!!!
Hivi MPANGO WA NJE nini cha zaidi mkuu?????
hilo swali kwakweli kila mtu atakuwa na majibu yake......

lakin mi naamini kuna kitu ambacho ''wanaume wengi'' kimekuwa kama fumbo hivi kwetu......!yani mtu unajikuta tu umeangukia kwenye ''mpango wa nje'' bila hata kujua.YOU FIND YOURSELF IN!
 
kwakweli kwa maisha ya sasa ndoa hata sio nzuri.mie siitamani kabisa,hasa nikiyafikiriaga hayo uliyoeleza hapo kuhusu mpango wa nje.
wanaume wengi ni wajinga.mbona wanawake hata tukiwa na mpango wa nje hatuwi hivyo?
Heartbreaker anasema utoe hiyo sentensi yako hapo.

Fanya fasta!
 
mambo mengine unayomfanyia mpango wa nje huwezi yaleta kwa mother house, unaweza pata laana!!!!!!ndoa na iheshimiwe

Ndo maana ndoa nyingi hazina utamu coz kwa kuogopa kwe2 kuwafanyia wake zetu hayo Mambo unayosema ni laana, hata wao wanayapenda ndo maana wanajaribu kutafuta nje ya ndoa!!!
Kwanini 2cpeane kila ki2?? Inabidi 2zlinde ndoa ze2 na 2we wabunifu wote 2!!!!
 
Back
Top Bottom