Mama mwenye nyumba nayoishi Ananijia Ndotoni

Katika khali icyo ya kawaida ucku wa kuamkia leo nimejikuta nikimuota mama mwenye nyumba nikiibanjua amri ya 6.na wakati nimeamka nakwenda mawaliton nikamkuta uani nikajkuta nainamisha kichwa kwa aibu je ni ndo 2 au inaukwel ndani yake?NISAIDIENI JAMANI.

ndio shida ya kula vipolo usiku mnaota ndoto zisizo na mpango,aibu ya nini sasa?
 
hiyo ni ndoto tu na nashangaa ukaona aibu ya nini.penda kusali wakati wa kulala kwani wakati mwingine majini mahaba huja kwa sura za watu unaowafahamu
Thanks ntaufanyia kazi ushauri
 
haiwezekani kuwa ni ndoto tu..
lazima umwahi fantasize...

ndo maana mtu huwezi kuota vitu ambavyo havipo kichwani mwako

mfano ku sex na mamako au babako
 
haiwezekani kuwa ni ndoto tu..
lazima umwahi fantasize...

ndo maana mtu huwezi kuota vitu ambavyo havipo kichwani mwako

mfano ku sex na mamako au babako
Hapo umenena ila ckumbki kma nilshawahi kumuwaza kimapnzi inanipa tabu sana hii
 
hahaha kwa hiyo unadhani alikuja kweli ?
No cna imani hyo but wakati niko ndotöni nilitamani nictoke make ilikua raha sana.c unajua ndoto ilvyo km unamalza halafu inayeyuka nilijilaumu kweli.
 
Ina maana wewe mwenyewe hujui kama ni kweli au ni NDITO??!!!

Katika khali icyo ya kawaida ucku wa kuamkia leo nimejikuta nikimuota mama mwenye nyumba nikiibanjua amri ya 6.na wakati nimeamka nakwenda mawaliton nikamkuta uani nikajkuta nainamisha kichwa kwa aibu je ni ndo 2 au inaukwel ndani yake?NISAIDIENI JAMANI.
 
wallah kiukwel hii thread yako imenitishaaaaa ..... mh eti wamuota then wamkuta njee,,haaaaa???
 
Katika khali icyo ya kawaida ucku wa kuamkia leo nimejikuta nikimuota mama mwenye nyumba nikiibanjua amri ya 6.na wakati nimeamka nakwenda mawaliton nikamkuta uani nikajkuta nainamisha kichwa kwa aibu je ni ndo 2 au inaukwel ndani yake?NISAIDIENI JAMANI.
Toka lini ndoto zikawa kweli,kama unampenda mwambie tu badala ya kujichafua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom