Mama mkwe

Ambassador

JF-Expert Member
Jun 2, 2008
933
75
Mama mkwe hakuridhika na mtoto aliyezaliwa na mke wa mwanae na majibizano yalikuwa hivi:

Mama mkwe: "Binti samahani, ukweli mtoto hafanani na kijana wangu kabisaaa"
Binti: "Bila samahani mama, huku chini nina njia ya uzazi, sio mashine ya fotokopi!"
 
Kwahiyo kama hana mashine ya kurudufu hata mpemba sawa wakati mimi ni mrra????
 
mchina alishasema no electricity, me hot you hot child burnt. sasa unashangaa nini tena.
 
Back
Top Bottom