Mama mkwe vs mwali wake (mke mtu) wapeana makavu laivuuuu! Mwanaume abaki kinywa waziiii

Umejuaje?

Si ndo maana anatafuta mke mzaramooo! Uzaromoni mke unapewa bureeeeeeee! LOLEST!!! Shughuli kwetu WAPEMBA!!! Shurti uwe MWARABU!!!!!! japo hata nywele za singaaa kwa mbali!!!!! NA MIFUBA UWE NAYO ATIII!
 
Back
Top Bottom