Mama mkwe mtata

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
1,253
1,028
Habari za jumanne ya leo wana JF? Nadhani imekaa vyema kabisa.mimi leo ningependawasilisha ishu moja nimepewa na rafiki yangu mmoja wa kike. naomba nieleweke kuwa hatuna uhusiano wa aina yoyote ile zaidi ya urafiki wa kawaida jamani.
huyu rafiki yangu ana boyfriend ambae awali walitegemea au wanategemea kuwa pamoja endapo wakilivuka hili suala linalofukuta. Hapa namaanisha dada endapo atastick with the guy.
Ishu ni kwamba mshikaji ndio the one and only katika familia yao yaani hakuna mtoto mwingine na hivyo sasa wako so close na mama yake zaidi ya mtu mwingine yeyote hapa duniani.kwa muktadha huo sasa ni kwamba huyu jamaa anakosa hata muda wake wa private. kazini wanaenda wote asubuhi na mama yani mshkaji anamdrop kwanza mama then ndio asogee kwake na jioni tune inakuwa ndiyo hiyo hiyo. jambo lingine hata ofisi zao ziko jirani sana.
Mama kila sekunde ni anapiga simu kumtrace jamaa kumuuliza alipo na anafanya nini. Ikifika jioni normally around saa 12 jioni hata kama yupo maeneo kupata 1 moto 1 baridi ni lazima aambiwe rudi home sasa ni usiku!
kwa hiyo kwa hizo pini wanazopigwa wanakosa hata muda wa kutosha kuwa pamoja as lovers kwani jamaa nae yupo very submissive kwa oda za mama yake hivyo bi dada anashindwa kuenjoy na mshkaji kabisaaaaaaaaa.
So the only thing ni kuwa bi dada anaona km katika mahusiano anapewa back seat na huyo mshikaji katika hayo mahusiano.dada hana hata pozi anasema yupo njia panda
naombeni ushauri nikamshauri huyu bi dada.
 
boy friend tu sio mchumba sasa shida yake nini inawezekana ana mchumba ambaye anajulikana na mama yake akiona vipi yeye ajipendekeze kwa mama mkwe aone atapokelewa vipi
 
kha...aibu!! yeye atulize ball...mzazi more important tthan fiance
 
Mmmmh, I can foresee World War IV if these two are to get married! Mwambie awe prepared, its not gonna be an easy road.
 
Huyo ni mtoto wa mama...........na hiyo itamsumbua sana huyo dada hata kama ataamua kuolewa naye. Watu wa dizaini hiyo huwa hawakui na wala hawawezi kusimama kwa miguu yao wenyewe........kila kitu itakua mpaka mama aseme/ ngoja kwanza nikamwambie mama.
 
Thats too much!kila m2 anampenda mama ake na anataman kua nae mda wote bt kwnye maisha kubalance ni muhimu! Labda huyo bado ni mtoto wa kiume na co mwanamume!
 
Kaliwa, backup plan!!!! Ha ha ha ha!

Habari za jumanne ya leo wana JF? Nadhani imekaa vyema kabisa.mimi leo ningependawasilisha ishu moja nimepewa na rafiki yangu mmoja wa kike. naomba nieleweke kuwa hatuna uhusiano wa aina yoyote ile zaidi ya urafiki wa kawaida jamani.
huyu rafiki yangu ana boyfriend ambae awali walitegemea au wanategemea kuwa pamoja endapo wakilivuka hili suala linalofukuta. Hapa namaanisha dada endapo atastick with the guy.
Ishu ni kwamba mshikaji ndio the one and only katika familia yao yaani hakuna mtoto mwingine na hivyo sasa wako so close na mama yake zaidi ya mtu mwingine yeyote hapa duniani.kwa muktadha huo sasa ni kwamba huyu jamaa anakosa hata muda wake wa private. kazini wanaenda wote asubuhi na mama yani mshkaji anamdrop kwanza mama then ndio asogee kwake na jioni tune inakuwa ndiyo hiyo hiyo. jambo lingine hata ofisi zao ziko jirani sana.
Mama kila sekunde ni anapiga simu kumtrace jamaa kumuuliza alipo na anafanya nini. Ikifika jioni normally around saa 12 jioni hata kama yupo maeneo kupata 1 moto 1 baridi ni lazima aambiwe rudi home sasa ni usiku!
kwa hiyo kwa hizo pini wanazopigwa wanakosa hata muda wa kutosha kuwa pamoja as lovers kwani jamaa nae yupo very submissive kwa oda za mama yake hivyo bi dada anashindwa kuenjoy na mshkaji kabisaaaaaaaaa.
So the only thing ni kuwa bi dada anaona km katika mahusiano anapewa back seat na huyo mshikaji katika hayo mahusiano.dada hana hata pozi anasema yupo njia panda
naombeni ushauri nikamshauri huyu bi dada.
 
akalishe chini boyfriend amweleze kero yake, hata hivyo huyo booy anatakiwa kujua kuwa mpenzi wake ana nafasi na mzazi ana nafasi, otherwise mama ana lake jambo eboo
 
mwambie huyodada Badili Tabia yupo chini ya miguu yake(simchungulii nimepozi tu) amuache huyo kaka haraka sana

1. Mama's boy atamsumbua tu.....ndo hao hamnunui kiwanja hadi mama aridhie.....( Hata tendo la ndoa mpaka mama akubali loh......joke)

2. Mwanaume hayupo tayari kujitegemea...... Na inaonyeshz hawezi jipangia maamuzi mwenyewe.......narudia atamsumbuz kwenye ndoa....

3. Wakija kufunga ndoa mama mkwe ndo atakuwa anacontrol nyumba yao, asishangae hata mahotpot yakakaguliwa kuona kampikia nini mwanae.....

4. Kuna uwezekana wakaka na wazazi, kumbuka huyo ni mtoto wa pekee, hapo watakuwa wananyang'anyana /wanagombea upendo kati ya mama na mke
 
  • Thanks
Reactions: Kbd
Kaazi kweli kweli, hapo ndio penye tofauti kati ya mwanaume na mtoto wa kiume, kama anataka mtoto wa kiume ni sawa but kama anataka mwanaume then huyo sio.
 
Huyo ni mtoto wa mama...........na hiyo itamsumbua sana huyo dada hata kama ataamua kuolewa naye. Watu wa dizaini hiyo huwa hawakui na wala hawawezi kusimama kwa miguu yao wenyewe........kila kitu itakua mpaka mama aseme/ ngoja kwanza nikamwambie mama.

Hapo umenena wandugu. Wamama aina hii wana conrol vijana wao wa kiume kwenye maisha yao. Huyo msichana asiendelee na huyu kijana atafute njia ya kusepa haraka sana. Namjua mama mmoja wa aina hii ilifikia hata kumpangia mtoto wake siku za kulala na mkewe!
 
If the guy you are talking abt is sombody lyimo, then mwambie huyo rafikiyo asiachie ngazi!
 
mwambie huyodada Badili Tabia yupo chini ya miguu yake(simchungulii nimepozi tu) amuache huyo kaka haraka sana

1. Mama's boy atamsumbua tu.....ndo hao hamnunui kiwanja hadi mama aridhie.....( Hata tendo la ndoa mpaka mama akubali loh......joke)

2. Mwanaume hayupo tayari kujitegemea...... Na inaonyeshz hawezi jipangia maamuzi mwenyewe.......narudia atamsumbuz kwenye ndoa....

3. Wakija kufunga ndoa mama mkwe ndo atakuwa anacontrol nyumba yao, asishangae hata mahotpot yakakaguliwa kuona kampikia nini mwanae.....

4. Kuna uwezekana wakaka na wazazi, kumbuka huyo ni mtoto wa pekee, hapo watakuwa wananyang'anyana /wanagombea upendo kati ya mama na mke

Siioni hiyo kama joke ni ukweli mtupu.......lol. Hawafai hata kidogo wanaume wa jinsi hiyo ni kukaa nao mbali kabisa
 
Hapo jambo la msingi ni kukaa na kuongea na bf wake thn wapange kutambulishana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom