Mama mkwe mpiga chabo

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,738
155,421
Mulobwike bhandu bhosa?
Heri ya mwaka mpya?
I wish ya'll happy new year.
Jamani huku uswahilini kwetu hakupungukiwi viroja.
Kuna jirani yangu ameoa, ila anakwaa ukweni, yaani nyumbani kwa mama wa mkewe.
Sio kwamba jamaa hajiwezi, ila kuna tetesi jamaa kapigwa mpapai kiasi kwamba amewasahau wazazi wazazi wake na kumhudumia mama mkwe kiasi cha kumjengea nyumba salasala wakati baba na mama mzazi yake wametimuliwa kwenye nyumba za magomeni kota na zikivunjwa hawana pa kwenda.
Sasa huyu jamaa kumbe wakati akiwa anamhemea mkewe usiku mama mkwe huenda dirishani na kijisimu cha tochi na kuanza kupiga deo.
Usiku wa kuamkia leo jamaa wakamshtukia mpiga deo wao.
Wakanipigia simu kuwa niende kwenye dirasha lao kuna kibaka anataka kuwaibia, ile kuzunguka nikamkuta maza hausi laiv.
Kibaya zaidi na mimi nlikuwa nimeamsha majirani wengine kwa hofu ya kushindwa nguvu na vibaka hao.
Mama mkwe alipoulizwa kwanini anamulika na tochi chumba cha mwanawe aliyeolewa, akajitetea kuwa anataka kujua kama kijana anaweza kumtunza binti yake ama lah.
 
Usikute huyo jamaa huwa anamtafuna huyo mama mkwe pia, ndio maana kamjengea mpaka nyumba...Halafu Waswahili mnasema eti karogwa!
 
Mama Mkwe alijipa kazi ya Refariiiii, Lazima ajue hakuna RAFU, na Haki ina tendeka kwa wanawe wawili, wacheze Game swafiii!!!!!teh eehe eehe
 
ndio maana mi nlihama uswahilini.
nlikuwa naishi kwa mtogore, kila subuhi nikiamka mama mwenye nyumba anaomba anifulie nguo zangu.
nikawa namkatalia, lakini ikafika kipindi nikawa namuachia anifulie, akaanza kuniomba na funguo za chumba.
siku moja nikamkuta kalala kitandani kwangu uchi, eti kisa nina godoro la spring linampa raha sana.
cha ajabu akaendelea kujibakiza huko, nlipokuwa nakimbia kuuepuka utupu wa mtu mama mzima kama mama yangu akaanza kulia, eti ninamtesa
 
Hahahahahahahah! Umenichekesha sana! Kweli Uswahilini kuna vituko!
 
ndio maana mi nlihama uswahilini.
nlikuwa naishi kwa mtogore, kila subuhi nikiamka mama mwenye nyumba anaomba anifulie nguo zangu.
nikawa namkatalia, lakini ikafika kipindi nikawa namuachia anifulie, akaanza kuniomba na funguo za chumba.
siku moja nikamkuta kalala kitandani kwangu uchi, eti kisa nina godoro la spring linampa raha sana.
cha ajabu akaendelea kujibakiza huko, nlipokuwa nakimbia kuuepuka utupu wa mtu mama mzima kama mama yangu akaanza kulia, eti ninamtesa

Kwahiyo ulim-do?
 
Visa viliendelea, kuna siku akanijia kanuna sana, akawa anasema kuna kibaka anafukuzwa kwa hiyo kakimbilia chumbani kwangu, nikamhakikishia kuwa hamna mtu ameingia, akasema lazima aingie ili amsake na kumtoa nje, nyumba yake isije ikaonekana ni maficho ya wezi na vibaka. Maneno yake yalikuwa makali na mimi nilikuwa nauhakika kuwa hamna aliyeingia.
Nikamruhusu aje kupekua.
Alipokuwa anachungulia uvunguni, akanyanyua juu sketi yake na kubaki utupu kabisa, kwani hakuvaa kile kijivazi kidogo cha ndani, akatoka akanifuata na kuanza kunisogezea mdomo wake kwangu, nikampush nikasema kuwa mimi sio kibaka amchukue kibaka wake kisha aondoke.
Alipo ona nimekuwa mkali sana kwake akaamua kunichunia, na akawaa ananitishia atanifanyia kitu kibaya.
Nikaona isiwe kero nikahama.
Siku yangu ya kuhama akaanza kulia, eti nsihame, ananipenda na hawezi kuishi bila mimi.
 
Vituko hivi ndio vinavyonifanya nizidi kukupenda uswahilini na wala sina mpango wa kuhama leo wala kesho.
Halafu nikihamia ushuani, kuku wa kienyeji ntapata wapi?
Si unajua tena mijikuku ya kisasa haina ladha zaidi ya kupiga puga kelele zisizo na mvuto
 
Hili nalo neno!!!!!!!
 
ndio maana mi nlihama uswahilini.
nlikuwa naishi kwa mtogore, kila subuhi nikiamka mama mwenye nyumba anaomba anifulie nguo zangu.
nikawa namkatalia, lakini ikafika kipindi nikawa namuachia anifulie, akaanza kuniomba na funguo za chumba.
siku moja nikamkuta kalala kitandani kwangu uchi, eti kisa nina godoro la spring linampa raha sana.
cha ajabu akaendelea kujibakiza huko, nlipokuwa nakimbia kuuepuka utupu wa mtu mama mzima kama mama yangu akaanza kulia, eti ninamtesa

Uchuro huo mdogo wangu, nawewe ukamnyamazishaje?
 
Visa viliendelea, kuna siku akanijia kanuna sana, akawa anasema kuna kibaka anafukuzwa kwa hiyo kakimbilia chumbani kwangu, nikamhakikishia kuwa hamna mtu ameingia, akasema lazima aingie ili amsake na kumtoa nje, nyumba yake isije ikaonekana ni maficho ya wezi na vibaka. Maneno yake yalikuwa makali na mimi nilikuwa nauhakika kuwa hamna aliyeingia.
Nikamruhusu aje kupekua.
Alipokuwa anachungulia uvunguni, akanyanyua juu sketi yake na kubaki utupu kabisa, kwani hakuvaa kile kijivazi kidogo cha ndani, akatoka akanifuata na kuanza kunisogezea mdomo wake kwangu, nikampush nikasema kuwa mimi sio kibaka amchukue kibaka wake kisha aondoke.
Alipo ona nimekuwa mkali sana kwake akaamua kunichunia, na akawaa ananitishia atanifanyia kitu kibaya.
Nikaona isiwe kero nikahama.
Siku yangu ya kuhama akaanza kulia, eti nsihame, ananipenda na hawezi kuishi bila mimi.

Yaelekea alikuwa mzee sana ndio maana wala hukusisimka!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom