Mama mkwe anapo kuangalia kwa jicho la maovu.(dirty look)

Mama mkwe ana kunongoneza sikioni ,ukiwangalia kila mmoja anamwambia mwenziwe sogea huko kwa uzuri mama mkwe anasema haya yafuatayo: I will give you my kindness(nitakupa mavitu mwanangu hajawahi kuviwaza)

Toa bangi zako hapa. Hii ni tabia yako.
 
kumbe lithread la zamani. mavi ya kale hayanuki ila kwa hili hapana. byee.
 
Sasa mama mkwe anakunon'goneza wewe halafu unawaangalia wakina nani tena wanaoambiana hayo maneno au sijaelewa??
 
Mama mkwe ana kunongoneza sikioni ,ukiwangalia kila mmoja anamwambia mwenziwe sogea huko kwa uzuri mama mkwe anasema haya yafuatayo: I will give you my kindness(nitakupa mavitu mwanangu hajawahi kuviwaza)

Mamamkwe ni kama mamayako.
Jiulize: unaweza kutafuna mamayako? Sio lazima ujibu hilo swali hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom