Mama mchungaji ananitega

Baba mungu uliye juu ya mbingu,mwangalie kijana wako excwllwnt anavyo jaribiwa na shetani mwenye miguu saba na macho 6 anajaribu,ashindwe ashindwe nakemea navunjavunja,nateketeza nachanganyikiwaaa! Eimen!!nalog off
 
na kweli ameyasikia hayo maombi
 
Jitahidi kuepuka hiyo LAANA! Maana utapata shida hapa duniani na mbinguni pia
 
Joka lisilo na sumu, linatuuliza sasa hata tukilishauri sijui sumu litapata wapi. Ananiudhi mie.

Hee! hapo kwa blue hapoooo
Lishakutemea mate hayakukudhuru?
Ngoja niwe makini hapa, naweza soma kitu
 
ulitaka wacheke au ni nini? mama mch amekutegaje sasa mbona hauwi muwazi au we ndo unamtega mama wa watu. Acha uongo kuwasingizia watumishi utalaaniwa bure
 
si ufanye dhambi na Kabakabana,she z so much in love with u!ule uzi wake hujauonaga?alituomba tumsaidie akupate
 
Hee! hapo kwa blue hapoooo
Lishakutemea mate hayakukudhuru?
Ngoja niwe makini hapa, naweza soma kitu
hata mimi nimeshaona kongosho alishatemewa na akajua hana madhara
 
si ufanye dhambi na Kabakabana,she z so much in love with u!ule uzi wake hujauonaga?alituomba tumsaidie akupate

hehehe jamani kwangu hafanyi dhambi anafanya mapenzi ya ukweee. Huyo mama mchungaji hata mimi simuelewi hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom