Mama mchungaji ananitega

duh! kweli kisicho riziki hakiliki, yule binti aliyekuzimika humu umeshamtimizia haja yake ya moyo?
Au ndo umeleta hii sredi ili ajue kuna foleni aongeze bidii? Ngoja nimwite aje huku

Bombu Ulipotelea wapi? Nilikumiss sana!
 
mi nachukia maswali rahisi kama haya..uje hapa na hadidu za rejea na reference jinsi mama mchubgaji alivokuwa anatweta..sio unakuja na ngonjera apa

Joka lisilo na sumu, linatuuliza sasa hata tukilishauri sijui sumu litapata wapi. Ananiudhi mie.
 
duh! kweli kisicho riziki hakiliki, yule binti aliyekuzimika humu umeshamtimizia haja yake ya moyo?
Au ndo umeleta hii sredi ili ajue kuna foleni aongeze bidii? Ngoja nimwite aje huku

nipo kpz nimeshachoka hapa
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom