Mama Maria Nyerere amvika nguo BWM kwa kusema hausiki na kifo cha Nyerere

kwanini mnataka tuamini ben kamuua? Mna nn kati yenu na watanzania? sera yenu ni majungu na unafiki leo hilo mmelitengeneza nakuona ndio mtaji, mm nawaona cdm kama chama ambacho ni KUBWA JINGA, mmejaza matukio ya kutengeneza kwenye kabati zenu mkitumia kama mitaji ya kupatia kura kila chaguzi, na huyo mh vicent aangalie sana kama anataka kuwa mwanasiasa kijana maana atakuja umbuka kwa kuendeleza majungu anakuwa kama katibu wake dr. Slaa kwa uwouwongo2. mama ameshasema kuwa Mkapa hajahusika pia vicent Aonywe na kama kuna mtu alihusika bs apumzike hamuoni mama huyu ana juwa kuwa jambo hili likiachwa lienee litaleta taabu sana katika taifa hili lakini nyie mmeona ameongopa sasa ninani anayefahamu? Au KTK ukoo wa nyerere ndo mlimuua kwa kutowashirikisha ktk uongozi wa nchi hii kama wafanyavyo marais wa nchi zingine kupachika ndg zao katika uongozi?. Wadanganyeni wajinga lakini werevu tunatambua kuwa mmeishiwa sera na mnaelekea kubaya. Pipozzy puwa.
 
Hili doa haliwezi futika kirahisi hivyo hata kama watapiga kambi kwa mama Maria Nyerere. Na ningeshauri wamuache mjane wa baba wa taifa apumzike. Siamini hata kidogo kuwa Vicent Nyerere alizuka tu na kusema aliyosema. Mkapa alikuwa na option ya kuendelea kula kiinua mgongo chake lakini ameamua kurudi kwenye siasa za maji taka. Hatoki kwenye hili tope.
 
Siasa za majitaka kamwe haziwezi kuingiza CDM ikulu
Wananchi wanahitaji kushawishika kwa sera zenu na si propaganda za maji taka

@paulss, kama umefuatilia mambo kwa karibu week hii utagundua ccm wameshikwa na butwaa. Mkapa was thier strongest Weapon of Mass Distractions (WMD). Sasa hivi atasimama wapi? Propaganda or not, CCM wamejikuta wako on the receiving side. Kwenye vita huwezi kutegemea mtutu peke yake, everything goes. mtutu, mateke, ngumi, kelele, sala... whatever. Na huko tunakoelekea hii issue ya Mkapa italeta balaa ndani ya ccm yenyewe maana hawaku-respond vizuri tuhuma za Vicent. Kuna makosa ya msingi sana the way ccm walivyo-handle hii issue.
 
Source gazeti la magamba

Gazeti hilo linadai kuwa Mkapa hausiki na kifo cha mwl na siri ya kifo anaijua yeye na kinachochekesha eti anaomba Vicent aonywe na amwache muuaji apumzike.

Mimi nashangaa iweje mama Maria aseme Vicent aonywe badala yeye kama mama kumuonya ni imani yangu taarifa inepikwa navyowajua tbc wangemmulika ili wauze sura vzr ila gazeti kwa kuwa hakuna ushahidi wanamwosha damu muuaji

Hata akivikwa, utupu wake umeshaonekana :spider:
 
Mwalimu aliuawa na alilazimishwa akafanyiwe mauaji yake london.Kwa mujibu wa mwalimu wake Mzee Kirenge,Mwalimu alienda kumsabahi nyumbani kwake na inasemekana kwamba alilia sana kwamba anaondoka kwenda nje lakini hatorudi hai.Kuna mambo mengi yanafichwa kuhusu kifo hiki lakini yapo karibu kujulikana hadhadhani na kwa ufasaha.
 
Nadhani kwasasa kila anaeombwa kwenda Arumeru kuokoa anaruka kimanga ndani ya ccm!BWM kimyaaaa!Vicent kamkamata pabaya!
 
Upotovu ni mwingi kwa jamii nzima, wajuao jambo huwa ni wasiri mno na kusababisha walio na tetesi daima ukweli uwekwe wazi duniani uwazi
 
Kwa vyovyote vile,mama Maria akiulizwa kuhusu kifo cha mwalimu hawezi sema kuwa aliuwawa.kulingana na source ya thread yako inasema siri ya kifo cha mwalimu anajua mwenyewe ni kweli.

hv imekuwaje Maria anasema ugojwa uliyemuua anaujua yeye na madaktari tuu?
serikali ilitangaza ugonjwa uliomuua walitoa wapi au ndo kauwawa kweli wananichanganya sana!
 
@paulss, kama umefuatilia mambo kwa karibu week hii utagundua ccm wameshikwa na butwaa. Mkapa was thier strongest Weapon of Mass Distractions (WMD). Sasa hivi atasimama wapi? Propaganda or not, CCM wamejikuta wako on the receiving side. Kwenye vita huwezi kutegemea mtutu peke yake, everything goes. mtutu, mateke, ngumi, kelele, sala... whatever. Na huko tunakoelekea hii issue ya Mkapa italeta balaa ndani ya ccm yenyewe maana hawaku-respond vizuri tuhuma za Vicent. Kuna makosa ya msingi sana the way ccm walivyo-handle hii issue.

Mkuu nakubaliana na wewe kuwa Mkapa ni strong weapon kwa CCM lakini ni kwa maana ya kuwaunganisha ndani ya chama na si kushawishi wapiga kura.......
Mkapa, Mwigulu ni baadhi ya wana CCM ambao wanadaiwa hawapo kwenye makundi ya ndani ya CCM na ndio maana linapokuja swala la mivatano kama ilivyokuwa kwa Sioi ilibidi CCM watafute watu watakao wapekeka vitani kama wamoja kwa kuweka makundi pembeni, na ndio hapo sasa Ben anapokuja kuingia

Hili la tuhuma ya Vicent kwa Ben nakuhakikishia ni cha mtoto kabisa, lipo ndani ya uwezo wao kuli handle, baada ya uchaguzi wa Arumeru kwisha na swala hili litakuwa limekwisha
 
Source gazeti la magamba

Gazeti hilo linadai kuwa Mkapa hausiki na kifo cha mwl na siri ya kifo anaijua yeye na kinachochekesha eti anaomba Vicent aonywe na amwache muuaji apumzike.

Hapo kwenye red:

Najaribu kuamini maneno haya kweli kayasema mama yetu kipenzi.
Swali jipya linakuja kwamba "hiyo siri aijuayo mama ni ipi?"
Kama kuna siri, ni kwa vipi Mkapa atangazie taifa kuwa Mwl JK Nyerere kafariki kwa saratani ya damu???

Kuna jambo haliko sawa hapa....

CCM wanatakiwa kuwa makini kidogo maana kama walidhani kauli ya mama imesafisha basi wajue imeanzisha upya mjadala.
 
Jamani hatuwezi kuwa tunalazimisha hisia,fikra zetu kuwa ndio ukweli!Tusiishi kwa assumptions, we need facts with vivid data to support our argument.

Jamani mwacheni BWM anywe wisky yake! Ushauri wa bure,BWM acha active politics utajimaliza! Na huu ndio uwazi na ukweli, mamboooo! poaaaa!
 
Mkuu nakubaliana na wewe kuwa Mkapa ni strong weapon kwa CCM lakini ni kwa maana ya kuwaunganisha ndani ya chama na si kushawishi wapiga kura.......
Mkapa, Mwigulu ni baadhi ya wana CCM ambao wanadaiwa hawapo kwenye makundi ya ndani ya CCM na ndio maana linapokuja swala la mivatano kama ilivyokuwa kwa Sioi ilibidi CCM watafute watu watakao wapekeka vitani kama wamoja kwa kuweka makundi pembeni, na ndio hapo sasa Ben anapokuja kuingia

Hili la tuhuma ya Vicent kwa Ben nakuhakikishia ni cha mtoto kabisa, lipo ndani ya uwezo wao kuli handle, baada ya uchaguzi wa Arumeru kwisha na swala hili litakuwa limekwisha

Pauls nakubaliana na hoja yako ila hii habari haiwezi kuwa cleared na CCM kirahisi.

Kwa nini Makongoro alipohojiwa alijibu hoja moja tu kwamba Vincent ni ndugu yao. Lakini habari ya baba yao akasema hayo mengine aulizwe mh Mkapa na mh Vincent. Kulikuwa na ugumu gani kwa yeye kusema JK alifariki kwa kansa ya damu hivyo Mkapa hahusiki??

Swali moja kwako: kabla ya leo je, ulipata kudhani kuwa kuna siri nyuma ya kifo cha baba wa taifa??.
 
Kabakabana,hiyo picha yako umeipiga vipi? There is more than one person there. [Usijishike namna hiyo. There is a better way,kama umelisoma gazeti la 'Nipashe' la jana. I hope sijaanzisha vita ya tau ya Dunia kwa kuandika hivyo.]
Haya maneno katika gazeti la Uhuru sijayaona. Lakini kama imeandikwa hivyo,kwamba kuna mtu amemuua Mwalimu,this is a disaster. Inaonyesha kwamba this discussion is getting out of hand. Watu wanaongea mambao ambayo hayana maana. It makes me think that Tanganyika should never have become independent. What were the arguments presented kudai uhuru? Kwa sababu Australia inaongozwa na Queen and it is more advanced than us. Jamaica ambayo ni himaya ya Uingereza ina maendeleo kuliko sisi. Kwa hiyo ina maana tusingepata ''uhuru'' tungeendelea zaidi.na labda nchi hii ingekuwa better governed.
It is amazing haya maneno mengine wanayosema hawa watu ambao ni viongozi wa nchi hii.
Kama yule Mbunge Israel wa CHADEMA. H e was speaking nicely in Parliament,alikuwa anaongea maneno ya hekima. Lakini nimeona juzi anasema,Mkapa amesema uongo kuhusu Vincent,kwa hiyo CCM ni waongo,kwa hiyo Siyoi asichaguliwe kuwa Mbunge. By what logic can you say mtu mmoja akiwa mwongo,basi wote ni waongo?

Mkuu nakubaliana na wewe kuwa Mkapa ni strong weapon kwa CCM lakini ni kwa maana ya kuwaunganisha ndani ya chama na si kushawishi wapiga kura.......
Mkapa, Mwigulu ni baadhi ya wana CCM ambao wanadaiwa hawapo kwenye makundi ya ndani ya CCM na ndio maana linapokuja swala la mivatano kama ilivyokuwa kwa Sioi ilibidi CCM watafute watu watakao wapekeka vitani kama wamoja kwa kuweka makundi pembeni, na ndio hapo sasa Ben anapokuja kuingia

Hili la tuhuma ya Vicent kwa Ben nakuhakikishia ni cha mtoto kabisa, lipo ndani ya uwezo wao kuli handle, baada ya uchaguzi wa Arumeru kwisha na swala hili litakuwa limekwisha

Trust me paulss, hata wajiloweke kwenye jiki hawatatakata! Mwl Nyerere ni very sensitive issue and Mkapa made a mistake of biblical proportion kusema aliyosema huko Arumeru. Watatakata kivipi wakati Dr Mwakyembe anatoka mba? True or false but timing ya hizi allegations was terrible kwa ccm! Ni rahisi sasa hivi kwa watu kuamini kuwa kila kiongozi wa ccm anatembea na sumu ya panya mfukuno.
 
Huyo mama mwenyewe kama mkapa, inasemekanahapo zamani nae aliwahi fanya jaribio kama la mkapa, likashindwa!

Haya watu UHURU na wenzao JAMBO kama kweli mmemuhoji mama huyo akatamka hayo,basi yatakaojili BIBI wa watu alishajituliza na maisha yake na yaliyopita kwake yaliisha yeye na mumewe.Sasa nyie uhuru ole wenu ije kujulikana mama wa watu ajasema chochote kisa mnataka kumsafisha mtu.

Wengine tulishataazalisha kwa ili la Vicent na Mkapa, dola na CCM waachieni wenyewe wanafamilia vinginevyo yatakayojili itakuwa historia inajiludia hakika.Na kwa wana familia hili likikulupukwa kumsafisha mtu na huku dhamaiala ya ndani ya wanafamilia ni nyingine basi mchezo huu utaondoka na wengi.

Ila kwa ili la BIBI wa watu kutajwa kuwa kamsafisha au kamuosha fulani na kumba hakufanya basi UHURU mtamchafua BIBI wa watu aliyejitolea kulea wajukuu zake na kusaa MBILINGE za siasa miaka mingi sana.Hakika mtamchafua pasipo kupenda wakati heshima aliyonayo kwa kizazi kipya ni njema na yaliyopita kwenye maisha yake miaka ya ujana wake wanayoyajua ni watu wazima wenzie na vijana wachache ambao wako well informed.

Hakika UHURU msitoneshe kidonda kilichopona.
 
Huyu mzee alivyoondoka alikuwa mzima na alipanda ngazi za ndege kwa kukimbia, akageuka na kupunga mkono. The fact kwamba alipofika huko ndo ugonjwa umzidie ndani ya kipindi kifupi hicho inatosha kuzua maswali ambayo yanahitaji majibu
 
Mwalimu aliuawa na alilazimishwa akafanyiwe mauaji yake london.Kwa mujibu wa mwalimu wake Mzee Kirenge,Mwalimu alienda kumsabahi nyumbani kwake na inasemekana kwamba alilia sana kwamba anaondoka kwenda nje lakini hatorudi hai.Kuna mambo mengi yanafichwa kuhusu kifo hiki lakini yapo karibu kujulikana hadhadhani na kwa ufasaha.

hebu dadavua vizuri mkuu! Huyu mwl wake yupo hai au washamuua? Aliyelia ni baba wa taifa au mwl wake? Connecting the dots . . . . . . . ! Kitaeleweka tu
 
Back
Top Bottom