Mama Maria na uniform yake. Amejiunga CHADEMA!?

Nonda

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
13,358
4,304
Mama Nyerere alivitaka vyama vya siasa kushirikiana katika kulijenga taifa la Tanzania, ambalo bado linahitaji umoja.
Mama Maria alisema kuwa vyama vyote vya siasa vina lengo la kujenga nchi, hivyo hakuna haja ya kupigana kwa sababu ya vyama kwani kwake yeye vyama vyote vya siasa ni sawa na haoni kama kuna tofauti. “Mimi ni mama wa taifa hivyo vyama vyote kwangu ni sawa, hakuna tofauti kwani wote ni wamoja,” alisema Mama Maria Nyerere.
:: IPPMEDIA

Naona mama amepiga suti yake ya KIJANI huku anazungumza na MAKAMANDA.
Jee anatarajia kuwa Makamanda wataufanyia kazi wito wake?
 
Mama Nyerere alivitaka vyama vya siasa kushirikiana katika kulijenga taifa la Tanzania, ambalo bado linahitaji umoja. Mama Maria alisema kuwa vyama vyote vya siasa vina lengo la kujenga nchi, hivyo hakuna haja ya kupigana kwa sababu ya vyama kwani kwake yeye vyama vyote vya siasa ni sawa na haoni kama kuna tofauti. “Mimi ni mama wa taifa hivyo vyama vyote kwangu ni sawa, hakuna tofauti kwani wote ni wamoja,” alisema Mama Maria Nyerere. :: IPPMEDIA Naona mama amepiga suti yake ya KIJANI huku anazungumza na MAKAMANDA. Jee anatarajia kuwa Makamanda wataufanyia kazi wito wake?
Aaa! Wapi. Hawawezi kuufanyia kazi kwa kuwa haulengi kuhamasisha vurugu.
 
Back
Top Bottom