Mama Maria Ikulu Leo - No Comment!

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
8E9U0181.JPG
 
Amkumbushe Kikwete hotuba ya Nyerere aliyoitoa Mei Mosi kule Mbeya.
 
Hivi wakati JK anakutana na "WAZEE", Mama Maria alikuwa Butiama au hapa Dar es Salaam?

Kama alikuwa Dar es Salaam, mbona sikumwona pale UKUMBINI?
 
kwani atasikiliza huyu?eshalewa raha zake
kaenda kwa mengine tu
 
"Mwanangu ulevi wa madaraka ni mbaya sana kuliko ulevi wa pombe. Na nilivyokusikiliza majuzi ukiongea na wale wazee mapandikizi nimekuona kuwa umeshalewa madaraka. Shauri yako kama hao marafiki zako unakubali wakudanganye, ohh! haya"
 
"Mwanangu waonee huruma hawa wafanyakazi sisi tulio mtaani tunaona shida na matatizo waliyonayo, hebu jaribuni kuwafikiria kidogo"

na sijui wanaposema Rais anakutana na wazee ni wazee wa namna gani. wengi wa waliokuwa pale ni kama waliletwa na mafuso kutoka kwenye vilabu vya mnazi. kila kitu walikuwa wanashangilia, bila ka-utaratibu kokote. Hebu siku moja aseme anaongea na vijana aone hali itakavyokuwa.
 
"Mwanangu ulevi wa madaraka ni mbaya sana kuliko ulevi wa pombe. Na nilivyokusikiliza majuzi ukiongea na wale wazee mapandikizi nimekuona kuwa umeshalewa madaraka. Shauri yako kama hao marafiki zako unakubali wakudanganye, ohh! haya"
Mnh imetulia hii.....
 
Inaelekea huyu jamaa anaamini sana utabili wa Sheikh Yahya pamoja na Redet!! He is behaving so arrogantly as if he has already nailed his second term!! He should be warned of the perils of overconfidence!!
 
Mwanangu...akili ya kuambiwa tia na yako Mwe!
 
Hesabu za kuambiwa, ongeza na zako. Yeye akaamini za kuambiwa tu na kaumbuka.
 
Inaelekea huyu jamaa anaamini sana utabili wa Sheikh Yahya pamoja na Redet!! He is behaving so arrogantly as if he has already nailed his second term!! He should be warned of the perils of overconfidence!!

Ameshashinda mbona; tume ya uchaguzi ya CCM ndiyo wasimamizi; hakuna tume huru hapo!
 
Mzee Warioba, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa, Mama Maria et al hawakuwepo kwenye mkutano wa 'wazee wa Darisalaama'
 
Tatizo lake huyu Mkwere hataki kukutana na wale wanaotaka mageuzi. Kwa nn asikutane na Wahadhiri wenye madai mbali mbali ama haoni umuhimu wao ktk jamii yetu? Wafanyakazi wana madai yao, instead of talking 2 them, yy kaenda ongea na wanachama wenzie kwa kivuli cha wazee ..... Uwasilishaji hovyo kwa hadhara hovyo.
 
Wakuu, anayefahamu points za mazungumzo yao kama zinahusu maswala ya taifa letu na atufahamishe basi...
 
Back
Top Bottom