Mama Makinda na Siasa Msibani..!

jambo1

JF-Expert Member
Jul 5, 2009
241
29
Wakuu..!
Huyu Mama Posho naona ameibuka na mpya..!
Kuwataka wanasiasa kuacha siasa misibani bila ni sawa na kupoteza muda.,Mama posho angeonekana mwenye busara kama angewataja wanasiasa wanaofanya siasa Misibani na sio kuongea tuu kwa ujumla..!
Ifike wakati watu tusitoe kauli zilizojaa unafki ndani yake..,Mama Posho Tufunulie kwa majina na vyama vyao hoa wanasiasa wanaofanya siasa misibani..!
Nawasilisha.
 
Mnafiki tu huyu, mbona siasa bungeni anazipeleka, tena wazi wazi kabisa.

Aache na wenzie wazifanye mahali popote wanapopata nafasi. Yeye alitegemea CHADEMA wasifanye siasa wakati yule ni Mbunge wao, tena wa Viti maalumu.

Sometimes huyu mama anazidisha mno unafiki.
 
Nadhani JF tuwe tunajadili watu wenye manufaa na si waangamiza taifa kama huyu mama posho.
 
Alikuwa anamsema Lukuvi ambaye alikuwa akidai kuwa Ndoto za Sumari atazitimiza na anazijua kwa hiyo kupitia Chama cha Mapinduzi watahakikisha wanazitimiza,hapo ndo b I Kiro(posho) akamchana Live.
 
Huyu mama sijui sura yake au bs tu damu yake, mi naona kila analoongea ni upupu mtupu! Yeye mwenyewe kaongea siasa msibani halafu anawaambia wenzake wasiongee siasa! Huyu mama akili yake imezeeka jamani.
 
Wakuu..!
Huyu Mama Posho naona ameibuka na mpya..!
Kuwataka wanasiasa kuacha siasa misibani bila ni sawa na kupoteza muda.,Mama posho angeonekana mwenye busara kama angewataja wanasiasa wanaofanya siasa Misibani na sio kuongea tuu kwa ujumla..!
Ifike wakati watu tusitoe kauli zilizojaa unafki ndani yake..,Mama Posho Tufunulie kwa majina na vyama vyao hoa wanasiasa wanaofanya siasa misibani..!
Nawasilisha.

ndugu wataka ataje majina na wakati na ye yumo?by the way mam
 
hahahaa siku hizi haitwi bi kiroboto tena ni mama posho

Ameshapita kiwango cha umama huyo.........ni Bibi Posho. Halafu yeye na Ndugai inaonekana mwalimu wao mmoja maan miropoko kwa kwenda mbele........wasione kichaka tayari wanataka kunani hii!
 
Back
Top Bottom