Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,597
wangapi wanaweza haya maisha?
This is a very special case and unique in itself. Kwa hiyo hakuna sababu ya kudhani kwamba kuna watu wengine wanaweza kuiga. Hata hivyo ndoa zote ni unique. Hata ukiachana na mkeo au mumeo wa sasa na kuoa/kuolewa na mtu mwingine usitegemee kuendelea na mambo yetu ya sasa. Tunachoweza kujifunza hapa ni kuwa endapo watu wamechokana basi wapeane nafasi na muda ili kijitathmini kama kweli uamuzi wa awali ulikuwa sahihi. Time heals and unaweza kuona jamaa sasa wanaanza kujenga uhusiano ambao ni imara sana kuliko ule wa kwanza ambao ulikuwa na aina fulani ya usanii.
Hata hivyo naanza kujiuliza kama vijana wa kizazi cha sasa wana balanced hormones. Je wanaume wanazo testosterone (http://en.wikipedia.org/wiki/Testosterone#Physiological_effects) za kutosha na wanawake wanazo estrogen ([ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Estrogen[/ame]) za kutosha? Naona kama kuna michanganyiko inayofanya watu waanze kuwa na vitabia vya ajabu ajabu! Mwanamke mwenye estrogen ya kutosha atakuwa mwenye kuvutia na ku-attract mpezi wake wakati wote na siyo kumfanyia jeuri. Pia mwanamume mwenye testosterone za nguvu anataka kumwonesha mke wake kuwa ni mwanamume kweli. Siyo mwanamume wa kulia lia na kukimbia matatizo madogo madogo. I think the biology is messing up things!