Mama Killango Jitoe Ccm Kama Wewe Ni Mkweli!

Foulplay!

Unarusha low blow tupu, siamini JMushi amekutingisha hivi!

I really can't believe it. LOL!

Kutingisha? Naona mkuu una definition mpya ya kutingisha?

Yeye kaniuliza kwa nini nilimpa Kikwete mwezi mmoja nikamjibu, zamu yangu kwake kumuuliza kwa nini alitaka kuingia msituni na kumwaga damu wewe macho yamekutosha.

Hili swali nitaliweka hapa ili Mushi ajibu wakati mengine yote yakiendelea. Ukiona Low mkulu basi ni uamuzi wako na unakaribishwa kwenye ulimwengu mpya wa MWK.
 
Wakipata sapoti ya viongozi wa dini...Ngoma ntolee!

NCHI IPO MIKONONI MWA WACHAWI NA WATANZANIA HAWAONI HILO?

AMA NA WAO WAMEROGEKA KAMA WABUNGE WETU WAPENZI AMBAO SASA WANAONGEA KAMA VICHAA!?

KWANZA NAMSHAURI MAMA KILANGO AENDE AKAOMBEWE ILI HAYO MAPEPO YATOKE..BAADA YA HAPO ATAUJUA ULE UPANDE WA HAKI NA HIVYO KUENDELEZA YALE MAPAMBANO ALIYOYAANZA TOKA LOWASSA AKIWA MADARAKANI!

Sasa Mama Killango si Fisadi tuu bali ana mapepo?
 
Kwi kwi kwi, too much joint taking :p

Tell me about it.

Ukisikia JF imevamiwa kuvurugwa basi huna sababu ya kwenda mbali.

Mimi naangalia tu hili litaisha vipi, JF ilianza kutuhumiwa kuwa anti -Govt na sasa inaanza kutuhumiwa kuwa Pro-Govt huku wito ukitolewa wa kuingia msituni na kumwaga damu na wasioipenda JF.

Kuna kazi kweli hapa.
 
"the battlefield situation determines whether it is more advantageous to advance or withdraw. in a scattered situation, avoid a fight. in an uncomitted situation, keep the elements of the army in close contact with eachother. in a competitive situation, do not attack. ina an accessible situation, do not cease to be diligent. in an intersecting situation, consolidate your alliances. in a critical situation, seize important positions. in a surrounded situation, block access routes. in a deadly situation, tell the army it may not survive" sun tzu

hayo ni maneno ya gwiji la kivita wa kichina. maneno yake yamekuwa yakitumiwa katika nyanja mbalimbali zy maisha. mama kilango yuko kwenye uwanja wa mapambano hivyo ni vyema tufanye subira katika kutafsiri mikakati anayoifanya kwani yeye naamini hatua anazochukua nazo zinazingatia hali halisi katika uwanja wa mapambano.

mola ibariki tanzania
 
Tell me about it.

Ukisikia JF imevamiwa kuvurugwa basi huna sababu ya kwenda mbali.

Mimi naangalia tu hili litaisha vipi, JF ilianza kutuhumiwa kuwa anti -Govt na sasa inaanza kutuhumiwa kuwa Pro-Govt huku wito ukitolewa wa kuingia msituni na kumwaga damu na wasioipenda JF.

Kuna kazi kweli hapa.

Usiwapotoshe wana jf.
Mimi si PRO GOVT.
 
Usiwapotoshe wana jf.
Mimi si PRO GOVT.

Sidhani kama nitakuwa kichaa kumwita mtu aliyeitisha watu kuingia msituni ili kumwaga damu Tanzania kuwa ni pro govt.

Wewe na mtandao wako mnadai kuwa JF ni pro Govt wakati Masaka na wenzake wanadai kuwa JF ni anti Govt.

Kazi sasa.... nani mkweli? Mushi au Masaka? au wote wanasema bila kuwa na uthibitisho?
 
Mushi,

My apologies for calling you a Pothead, I was wrong and it is uncalled for. My deepest apologies.

Wafalme na Marais na Malkia huwa hawawezi kusema uliyo yasema hapo hadharani. Huwa wanasema 'kama nimekuudhi...nilicho maanisha...wote tunakosea."

Rev. Kishoka, I want to be your protege, and strive to approach your magnanimity.

Kazi njema.
 
Sidhani kama nitakuwa kichaa kumwita mtu aliyeitisha watu kuingia msituni ili kumwaga damu Tanzania kuwa ni pro govt.

Wewe na mtandao wako mnadai kuwa JF ni pro Govt wakati Masaka na wenzake wanadai kuwa JF ni anti Govt.

Kazi sasa.... nani mkweli? Mushi au Masaka? au wote wanasema bila kuwa na uthibitisho?

Hakuna mahali niliposema jf ni pro govt.
However kuna mgawanyiko na nilishautabiri.
 
Hakuna mahali niliposema jf ni pro govt.
However kuna mgawanyiko na nilishautabiri.

Mgawanyiko hapa JF umekuwepo kuanzia siku ya kwanza na wale memba waliohamia hapa toka Business times walikuwa wamegawanyika hata wakati wa uchaguzi wa 2005 wa ccm ambapo kuna wengine walimtaka Kikwete, Malecela, SAS, Mwandosya na kadhalika.

Migawanyiko ipo na sio wewe umeianzisha. Na kama ulidhani kuwa itakwisha hapa au Tanzania basi unajidanganya. Wanadamu wataendelea kutofanana kimtizamo mpaka siku ya kiama.

I hope utaelewa hilo na uachane kabisa na mawazo ya kuingia msituni pale unapokosana na wenzako.
 
Mushi,

My apologies for calling you a Pothead, I was wrong and it is uncalled for. My deepest apologies.

Hopeful all those who offend others would take a note and behave likewise. I asked one prominent member to do the same but instead got even more insults from him and his cheersleader. Kudos Rev.
 
Hopeful all those who offend others would take a note and behave likewise. I asked one prominent member to do the same but instead got even more insults from him and his cheersleader. Kudos Rev.

With this kind of language, I would have been surprized if you gat any apology from anyone.
 
Mgawanyiko hapa JF umekuwepo kuanzia siku ya kwanza na wale memba waliohamia hapa toka Business times walikuwa wamegawanyika hata wakati wa uchaguzi wa 2005 wa ccm ambapo kuna wengine walimtaka Kikwete, Malecela, SAS, Mwandosya na kadhalika.

Migawanyiko ipo na sio wewe umeianzisha. Na kama ulidhani kuwa itakwisha hapa au Tanzania basi unajidanganya. Wanadamu wataendelea kutofanana kimtizamo mpaka siku ya kiama.

I hope utaelewa hilo na uachane kabisa na mawazo ya kuingia msituni pale unapokosana na wenzako.

MWK mgawanyiko huu wa jf ni kioo cha TAIFA KWANI NALO PIA LIMEGAWANYIKA KAMA WALIVYOTAKA MAFISADI!
Tuko kwenye defining moment!
TAIFA LIKO NJIA PANDA NA USIFANANISHE MGAWANYIKO HUU NA MINGINE YA HAPA JF!
 
Hii migawanyiko ni kitu ambacho hakiepukiki ndio maana nimekuomba kuwa uwe tayari kukubali wenzako na uache kufikiria kuwa fujo ndio njia pekee ya kuleta muafaka.

Zaidi mkuu, usiku mwema.

Very nice debate indeed ingawa maswali yangu hayajajibiwa bado.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom