Ameshirikiana Na Mwenyekiti Wake Kupitisha Bajeti Ya Kifisadi Na Kuwasafisha Mafisadi!
Mhh,
Bajeti ya fedha ya serikali nia yake ni kusafisha mafisadi?
Una hakika na hili au unataka kuleta matumizi mengine ya bajeti?
Rev,
I dont expect your question to be answered.
Alaa!
Siasa za MAJI TAKA!
Za kina Mkullo,Meghji na wengineo...Muasisi wake ni Kingunge Ngombale Mwiru ALMAARUF...Mzee wa kukanusha kuwa HAKUKANUSHA!
Yani ni lini alishapinga kauli za kusafishana za ccm na mwenyekiti wake?
Bajeti iliyosapotiwa na MAFISADI na yeye kufanya hivyo ni tofauti ya kauli ama ni kuchanganya mawazo kwa siasa za kichangudoa?
Ni lini alishapingana na mwenyekiti wa chama kuwa ccm ni SWAAFI KABISA!
Naomba usome makala ya ngurumo ili tusirudishane nyuma!
Nitashukuru.
Mushi,
It is too early in the morning to have a joint or a shot of turkey! Wake up come to your sense and stop sounding drowsy
As usual our dear friend Mushi will meander into something else instead of give a responsible answer!
Nimeshakujibu hilo!
MUSTAKABALI WA TANZANIA WAKATI HUU HAUTAAMULIWA TENA NA KIKWETE,MAMA,LOWASSA NA CHENGE!
UTAAMULIWA NA WATANZANIA WENYEWE!
NIMESHAWAPA USHAURI WA KUFANYA MAOMBI!
WAMEFANYA HIVYO LICHA YA KWAMBA WANADAI NI PINDA ALIWAAMBIA WAFANYE HIVYO!
UZURI KUNA VIAZI WENGI TU WENYE KUTUSEMEA SISI MIHOGO!
Na ndio maana nimepost makala za wazalendo wengine ambao mara baada ya kuanzisha hii thread jana..Wameitikia wito na kuandika makala zao za kizalendo kama kawa...Kina ngurumo,salehe,bahai nk!
Siko mwenyewe...Na hapo ndipo mnapata tabu!
Kwani mbinu zenu za kunifanya nionekanane kituko hapa jf zimeshindiliwa mbali!
Fuatilia sababu iliyonifanya nifungiwe!
Nimeshasema sasa ni hoja kwa hoja!
Wana jf waliopigania nifunguliwe ni watu wa MUNGU!
Nilshawashukuru na sasa tunasonga mbele!
Mushi,
You are failing to be objective on your thread and We will leave you alone. You will end up responding to yourself.
Kwaheri kaka, tulidhani ungefanya mjadala uwe wa hoja kumbe ni blah blah za kawaida!
Bottom line Anna Kilango atabakia CCM na hata akiondoka CCM nothing will change if mentality za Watanzania zitakuwa kama zako, kudhani watu kuhama CCM ndio solution ya Matatizo ya Watanzania!
kuondoka Ccm Mama Kilango Je Kutaleta 'tija'....?
Wakuu Naamini Hapa Jf Ni Jamvi La Kujifunza Mengi Na Pengine Kuzalisha Cheche Za Kweli Za Kuleta Mapinduzi Ya Kifikra Ya Kumkomboa Mtanzania Mlalahoi.
Sikubaliani Na Hoja Mama K Ajitoe Ccm, 'keep Your Friends Close, And Keep Ur Enemies Even Closer' Wenye Kusema Walipata Kusema.
Je 'strategically' Mama K Akijitoa Ccm, Kutakuwa Na Tija Yeyote? Jibu Ni 'obvious' Mifano Ipo Hai Toka Wanasiasa Wa Enzi Zile Hadi Wa Hivi Karibuni, Kina Mrema Na Wengineo.
Naamini Kabisa Mama K Anaweza Kubaki Humohumo Ccm Na Akawa Mpiganaji Mzuri Wa Kutumainiwa Wa Vita Dhidi Ya Ufisadi Na Uozo Mwingine.
Hoja Ya Kwamba Ili Uwe Mpingaji Wa Kweli Wa Ufisadi Inabidi Utoke Ccm, Haiangalii 'reality Na Strategic Positioning' Na Badala Yake Imeangalia Pafupi Badala Ya Kutazama Mbali Zaidi Down The Line.
Ccm Kama Chama Ni 'organisation' Ambayo Iko Very Strong Na Ndani Yake Wapo Wema Na Wabaya, Mafisadi Na Wasio Mafisadi. Hoja Hapa Ni Je Vipi Wewe Kama Mwana Ccm Unaweza Kuwa Ni Mwiba Kwa Mafisadi. Hili Linawezekana 'make Ur Voice Heard'.
Nitoe Mfano Ulio Hai Katika Siasa Za Karibuni Nchini Uingereza Pale Robin Cook Alipoipinga Serikali Ya Labour Kuhusu Vita Vya Irak, Lakini Hakutoka Ndani Ya Labour. ; He Continued To Be The Pain In The Back Side, But He Made His Point Heard Na Ukweli Unadhihiri Na Jina La Robin Cook Limebaki Ni Kama Ushahidi Wa Wanasisa Makini Ktk Sisa Za Karibuni Za Uk.
Mama Clare Short Ni Mfano Mwingine, Alileta Misukosuko Ndani Ya Labour Na Kutoka.
Waungwana Sidhani Kama Ni Ushauri Wa Busara Kumwambia Mama K Ajitoe Ccm Wakati Mapambano Yanaweza Kuwa Mazuri Humo Ndani Yake.
Hawezi Kusema Mafisadi Wakamatwe Akiwa Ndani Ya Ccm!
Hiyo Ni Uahini Wanaweza Kumuua!
Kuondoka CCM Mama Kilango je kutaleta 'Tija'....?
Wakuu naamini hapa JF ni jamvi la kujifunza mengi na pengine kuzalisha cheche za kweli za kuleta mapinduzi ya kifikra ya kumkomboa Mtanzania mlalahoi.
Sikubaliani na hoja mama K ajitoe CCM, 'keep your friends close, and keep ur enemies even closer' wenye kusema walipata kusema.
Je 'Strategically' mama K akijitoa CCM, kutakuwa na tija yeyote? Jibu ni 'obvious' mifano ipo hai toka wanasiasa wa enzi zile hadi wa hivi karibuni, kina Mrema na wengineo.
Naamini kabisa mama K anaweza kubaki humohumo CCM na akawa mpiganaji mzuri wa kutumainiwa wa vita dhidi ya Ufisadi na uozo mwingine.
Hoja ya kwamba ili uwe mpingaji wa kweli wa ufisadi inabidi utoke CCM, haiangalii 'reality na strategic positioning' na badala yake imeangalia pafupi badala ya kutazama mbali zaidi down the line.
CCM kama chama ni 'organisation' ambayo iko very strong na ndani yake wapo wema na wabaya, mafisadi na wasio mafisadi. Hoja hapa ni je vipi wewe kama mwana CCM unaweza kuwa ni mwiba kwa mafisadi. Hili linawezekana 'make ur voice heard'.
Nitoe mfano ulio hai katika siasa za karibuni nchini Uingereza pale Robin Cook alipoipinga serikali ya Labour kuhusu vita vya Irak, lakini hakutoka ndani ya Labour. ; He continued to be the pain in the back side, but he made his point heard na ukweli unadhihiri na jina la Robin Cook limebaki ni kama ushahidi wa wanasisa makini ktk sisa za karibuni za UK.
Mama Clare Short ni mfano mwingine, alileta misukosuko ndani ya Labour na kutoka.
Waungwana sidhani kama ni ushauri wa busara kumwambia Mama K ajitoe CCM wakati mapambano yanaweza kuwa mazuri humo ndani yake.
Hawezi Kusema Mafisadi Wakamatwe Akiwa Ndani Ya Ccm!
Hiyo Ni Uahini Wanaweza Kumuua!
JMushi, una bugi stepu ukidhania kwamba Malecela kweli anania mafisadi wakamatwe!
Wote tunajua Mama naye hataki wakamatwe zaidi ya kurudisha pesa ambazo zilisharudishwa!
Narudia tena...Waje na Plan B kwani ni lazima IPO!
Ni ushauri tuuu!