Mama Killango Jitoe Ccm Kama Wewe Ni Mkweli!

Mimi naona asitoke ccm bali abaki huko huko akiwasha moto labda kama ccm wenyewe wataamua kumfukuza baada ya kuona amekuwa moto mkali zaidi.
Mama Anna kilango na wengine kama wakina Kimaro waendelee kubaki huko huko wakiwasha moto. si unajua akina Kimaro walikuwa NCCR mageuzi? naona bado hali ya siasa za huku upinzani bado ccm hawakuzisafisha kuzimaliza. Ila niliota ndoto kwamba wamezaliwa wapinzani wengi sana wa uovu ndani ya ccm yenyewe. Sijui ilikuwa ya kweli au ilikuwa ya uchovu wa kazi nyingi nilizokuwa nazo siku hiyo.
 
Nayaheshimu maoni yako....Ila maoni yangu ni kuwa asibakie humo ccm ni kuchafu mno kwasasa na akijaribu kusema awageuke akiwa ndani watamwua!

Nadhani umeshindwa kusoma hiyo makala ya Ngurumo hapo juu.....Isome utaelewa ni kivipi hawezi kufanya lolote humo ccm.

Kimaro na wenzake tutawashauri tu..Hatutaweza kuwapangia..Wanajua nani ni nani..Na sisi pia tunajua.

Hakuna atakayejipenyeza...WAZALENDO WANAJULIKANA NA KAMA KUNA WENGINE WATAJULIKANA KWANI TUNA VIPAJI VYA KUWATAMBUA!

NB:pia kumbuka kuwa usanii wa ccm..Umevilazimisha vyombo vya dola kuijiingiza kwenye siasa!

Niliwahi kuonya huko nyuma kuwa...ILE KAMATI YA EPA YA RAIS HAIKUWA NA MAANA!

Wao walidai kamati hile ni kukusanya ushaidi na kuwahoji watuhumiwa!
Watuhumiwa HAWAKUHOJIWA...Badala yake ni wananchi.

Ndugu zangu ushahidi uko na ulikuwa nje nje hivyo hakukuwa na maana kuanzisha kamati kwani nadhani hiyo kamati ilikuwa na majukumu pamoja na mengine haya:

1)Kuhakikisha ushaidi UNAKUFA AMA KUPOTEA.

2)Kuwataka watu wenye TAARIFA WAENDE POLISI WAKATI TAARIFA HIZO ZILIKUWA TAYARI MIKONONI MWAO...NI ISHARA KUWA WALIKUWA WANASUBIRI VIMBELE MBELE ILI WAWABANE NA KUJUA TAARIFA HIZO WAMEZITOA WAPI!

Kwa kifupi walikuwa kwenye uchunguzi mwingine kabisa wa kuangalia ni kivipi issue ili liki ili waweze kumpata mchawi wao!

Hivyo wale whistle blowers kuweni makini kama bado hamjajulikana maana mchezo ushakuwa mchafu mno!

Hii kamati ya kina mwema ilikuwa na madhumuni ya kuwatafuta nyie mliotoa siri kwa udi na uvumba ili kuwafutilia MBALI!

Kama ni ushahidi...RIPOTI ZOTE ZA UKAGUZI ZILITOSHA NA ZINATOSHA NA NDIO TUNATAKA KUZITUMIA!

Hiyo ripoti washajua hawawezi kuibadili na hivyo tumeshtukia...Tuendelee na maombi!
 
NI kosa kudhani kuwa vita dhidi ya ufisadi inapiganwa na wapinzani peke yao. Waliotoa mchango mkubwa kwenye vita hiyo wako pande zote mbili. Kwa hiyo Anne aendeleee kuwepo huko huko. Cha muhimu ni kwamba yuko bungeni ambako ni moja ya battle ground, na anatoa kauli hizo kama mbunge wa CCM ina maana kuwa sio wote CCM wanaunga mkono ufisadi.Akihama CCM atanyamazishwa kirahisi kama alivyofanywa Mrema, au atafanywa aonekane mwendawazimu na ataanza kuletewa kashfa za ajabu. Let her stay! Kama kuondoka aondoke kwa mapenzi yake, na si kwa mapenzi yako.
She is playing her part. You have to play yours too, do not chose for her how toplay the game, let her play her own way.
 
ccm NI MAFISADI!
AKIBAKI HUMO NA YEYE NI FISADI!

NB:Hilo la upinzani lisikupe shida!
Tunajua kila kitu...Tunawajua wote!
Mungu alitupa Mrema ili tujifunze..Na sisi tufanye hivyo!
Mbona huzungumzii kina Marando na Kaburu ambao walihamia ccm na umaarufu wao kuporomoka?
Sijamchagulia chama.
Soma habari zote na si ujichagulie zipi ni zipi...ccm haifai!
Kama kuna wapinzani wameshahongwa ama kuteleza kisiasa hiyo si kazi yangu kwasasa...Tunafuatilia kwa karibu..Subiri utaona mambo!
 
Wale waliokuwa wakisema kikwete apewe mwezi...Alishapewa...Ballali akafa...Bado wanataka apewe muda!
Na sasa ni killango aliyeteuliwa na kikwete?
Ni kivipi mama huyu akasimama kinyume na mwenyekiti wake kipenzi?
Ama nyie watu hamuyajali maisha yake?
Mumesahau KOLIMBA NA WENGINEO?
 
Hakuna uwingi kwenye kutoa mwezi mmoja kwa Kikwete, ni mimi na mimi peke yangu ndiye nilisema hivyo. Kama unataka kuaddress hii issue, taja jina langu na nitakujibu.

Wakati mwingine kuwa na some ballz kusimamia hoja zako hapa JF na sio kujumuisha wana JF woote kama vile ni watoto vile.

Ok, What's your problem kwenye suala la kumpa Kikwete mwezi mmoja? Lilete kwangu na uwe specific na utapata jibu specific.
 
Siku ya jumapili wiki iliyopita..Nilkuwa nikiangalia CCN...Betty Nguyen na T J Holmes ambao ni hosts wa CNN SUNDAY walikuwa kazini kama kawa.

T J Holmes alikuwemo kwenye msafara wa Kina Andrew Young huko kwenye ule mkutanao wa Sullivan Uliofanyika Arusha.

Alitoa habari moja kuhusu shule ya msingi iliyoko katikati ya moshi na Arusha.
Habari hiyo ilinigusa sana.
Kuna kijana mmoja alikuwa akiongea kwa ufasha wa hali ya juu...Kijana huyo nafikiri alikuwa kaka mkuu wa shule ila jina limenitoka!

Kijana alidai hata yeye anakipaji cha uchoraji..Lakini nafikiri kijana atakuja kuwa kiongozi wan dei!

Kwakweli alinipa goose bumps kwa confidence yake na maelezo yake kwa kutumia kiingereza fasaha ambacho hata hapa jf wengi wetu kinatupa tabu!

Pointi yao CNN ilikuwa clear...Kwamba watoto karibia wote wa Tanzania ambao wamesema wana akili za kupindukia...Hawaendi SHULE kwasababu hawana uwezo wa kujiendeleza kimasomo kwani ni masikini wa kutupwa.
Wakaendelea kudai kuwa wengi wa watoto hao wakimaliza msingi huolewa ama kuingia mtaani kusaka life!

Ni wazi ccm wanaipenda hiyo hali ili wabaki madarakani milele!

Nilipoona hayo...Nilitaka nihakikishe kuwa hawa kina HOLMES si wapambe wa Young ambaye ni msanii!

TJ Holmes alisema kuwa Tanzania imewaambia kuwa watoto wanaoenda shule ni chini ya asilimia 50 ya watoto wote Tanzania..!Na kwamba serikali imeahidi kuiongeza at least ifikie asilimia 50!

Yani nilishtushwa kusikia kuwa watoto wetu hawaendi shule!

Nikawaaadikia email mara moja...Nikawaambia kuwa ni LAZIMA WASEME WAZI KUWA NI YAPI YAMECHANGIA HAYO NA SI WAANZE KUSPIN HABARI!

Nikawaeleza wazi kuwa shida ni rushwa inayokumbatiwa na viongozi wakuu wa nchi na kama kweli wana nia nzuri na hao watoto...Basi washupalie haki kwa myonge!

T J Holmes alisema ana habari nyingi za huko Tanzania na angezileta kuanzia wiki iliyopita pamoja na hii.

Sijasikia kitu zaidi na sasa hapa naagalia CNN wanadai mambo ya Zimbabwe na sasa wanasema Tsivangirai amesema hatashiriki UCHAGUZI MKUU UTAKAOORUDIWA!

Ni wazi kuwa RUSHWA IMEUPOTEZA UMAARUFU WA KIKWETE BARANI AFRIKA NA HIVYO KUM DISQUALIFY KULIONGOZA BARA NA AMA KUTOA MAAMUZI MUHIMU KUHUSU BARA LETU LA AFRIKA KAMA ALIVYOSEMA OLUSEGUN OBASANJO HUKO ARUSHA!
 
jmushi1,

..endeleza mapambano na sema kile unachokiamini.

..mimi nakubaliana na wewe kwamba CCM imeoza.

..chama hiki kunusurika kwa kweli itakuwa maajabu ya MWENYEZI MUNGU.

..wanatudanganya eti CCM haina matatizo, wenye matatizo ni mafisadi. hiyo ni hoja ya kufikirika tu, lakini in reality huwezi kutenganisha chama na watendaji/viongozi wake.
 
Ulichosahau pia ni kuwa, kama ccm imeoza kiasi hiki basi inabidi ifutwe kabisa na chama kingine kiundwe. Au ukipenda zaidi ungana na kile ninachokisema kwenye signature yangu kuwa Kikwete aresign haraka sana ili kuinusuru nchi.

Haya mengine yote ni chorus tu kama Mama Malecela akitoka ccm na bado kikabakia kuwa chama kinachoogoza nchi au kikwete ambaye ni mwenyekiti wake akabakia kuwa raisi wa nchi.

wewe unasemaje?
 
Tumeshajua kuwa BUNGENI MASLAHI YA CHAMA YANAPEWA KIPAUMBELE KULIKO YALE YA TAIFA!

Mifano ni mingi tu kuanzia enzi za Mrema aliyejitoa ccm na Zitto aliyefukuzwa na hao ccm huko bungeni kwa kutetea maslahi ya Taifa.

Mama Killango tunataka tumpe A SHOT...Ila kwa masharti kwamba atoke huko ccm kwani kauli zake ni zile zile za Mwenyekiti wake na chama chao na vile vile hitimisho ni kikao chao cha siri ambcho walikubaliana kwa pamoja namna ya kuingia upya kwenye siasa na mbongo zetu kwa style ya kujisafisha na kauli tata za kisiasa!

Kwa vile ni wazi kuwa alishindwa kupingana na maslahi ya chama kwa kuipigia kura ya NDIYO bajeti ya kifisadi huku akifanya hivyo kwa kushirikiana na MAFIASADI HAO NI JAMBO LENYE KUSUMBUA AKILI PALE TUNAPOTAKA TUMWAMINI!

Ni ushauri wangu wa bure Mama Killango na ninaamini utakaposoma hii makala then utachukua uamuzi wa busara ili tuweze kukuunga mkono moja kwa moja.

Ni matumaini angu utafuata mfano wa MREMA ambaye ghafla walimfanya aonekane kichaa mara baada ya kugundua kuwa hawezi kulipigania TAIFA LAKE AKIWA NDANI YA ccm.

Ni hayo tu kwasasa...
Anna Kilango alikuwa anatetea maslahi ya taifa au alikuwa anapingana na serikali ya Kikwete kama njia ya kulipiza kisasi kwa yeye kukoseshwa U - First lady na wanamtandao?

Anna Abdalah alikuwa analinda maslahi ya CCM au alikuwa analinda maslahi ya kikundi kidogo ndani ya CCM ambacho yeye ni mwanachama wake? Yeye ni Mwenyekiti wa UWT na mumewe ni Makamu Mwenyikiti wa CCM Tanzania bara (Tanganyika) na rafiki zao ndiyo wanaongoza serikali!
 
Mkuu wewe umejuaje nia ya mama Malecela kwenye yote aliyosema bungeni? Hivi nia ya Dr Slaa kuiponda serikali ni kwa sababu anatetea masilahi ya taifa au ni kwa sababu ya kulipiza kisasi kwa CCM kuishinda CHADEMA kwenye uchaguzi uliopita?
 
Anna Kilango alikuwa anatetea maslahi ya taifa au alikuwa anapingana na serikali ya Kikwete kama njia ya kulipiza kisasi kwa yeye kukoseshwa U - First lady na wanamtandao?

Anna Abdalah alikuwa analinda maslahi ya CCM au alikuwa analinda maslahi ya kikundi kidogo ndani ya CCM ambacho yeye ni mwanachama wake? Yeye ni Mwenyekiti wa UWT na mumewe ni Makamu Mwenyikiti wa CCM Tanzania bara (Tanganyika) na rafiki zao ndiyo wanaongoza serikali!

Kigarama KATA ISSUE!

Wakuu wengine wenye insight wamwage data ili tulikomboe Taifa letu ambalo liko njia panda!

Tuwe makini kwasababu mpango mwingine ni kuhakikisha Kikwete anajipatia umaarufu kwa kutumia uenyekiti wake wa AU ili haki ya mtanzania isipatikane!

Ni mpango mzito! AU aliwekwa kwa msaada wa Bush na Blair wanaomchukia Mugabe kama Saddam!

Tumeushtukia...Mlioko Tz pambaneni na sisi huku ALUTA CONTINUA!
WALINIUDHI SANA NA ILE ISSUE YA BALLALI!

Connection ya BUSH-BLAIR-KIKWETE-YOUNG-TSIVANGIRAI VS OBAMA NA WAZALENDO wengine iko wazi!

ITS A DEFINING MOMENT FOR AFRIKA....!
TANZANIA LETS PLAY OUR PART!

AFRICA NA DUNIA TUKO NJIA PANDA!
MUONE HILO HARAKA HARAKA ILI MUDA USITUTUPE!

KIKWETE ALIYEKATAA USHAURI WA OBASANJO WA KUWAKAMATA MAFISADI...KUMEMSHUSHIA HISHMA BARANI AFRIKA YEYE NA TANZANIA KWA UJUMLA...LETS CHANGE THE COUNTRY,AFRIKA AND THE WORLD!

AMEN.
 
Kigarama KATA ISSUE!
Wakuu wengine wenye insight wamwage data ili tulikomboe Taifa letu ambalo liko njia panda!
Tuwe makini kwasababu mpango mwingine ni kuhakikisha Kikwete anajiapatia umaarufu kwa kutumia uenyekiti wake wa AU ili haki ya mtanzania isipatikane!
Ni mapngo mzito!
Tumeushtukia...Mlioko Taz pambaneni na sisi huku ALUTA CONTUNUA!
WALINIUDHI SANA NA ILE ISSUE YA BALLALI!
Connection ya BUSH-BALIR-KIKWETE-yOUNG-TSIVANGIRAI VS OBAMA NA WAZALENDO wengine iko wazi!
ITS A DEFINING MOMENT FOR AFRIKA....!
TANZANIA LETS PLAY OUR PART!
AFRICA NA DUNIA TUKO NJIA PANDA!
MUONE HILO HARAKA HARAKA ILI MUDA USITUTUPE!
KIKWETE ALIYEKATAA USHAURI WA OBASANJO WA KUWAKAMATA MAFISADI...KUMEMSHUSHIA HISHMA BARANI AFRIKA YEYE NA TANZANIA KWA UJUMLA...LETS CHANGE THE COUNTRY,AFRIKA AND THE WORLD!
AMEN.

Angalau sasa unamwongelea Kikwete na sio Kutaka Mama Kilango ajitoe ccm.
 
Mushi,

Okay lets say Mama Killango, Mwakyembe, Nyalandu, Sendeka, Seleli, na Manyanya wanaondoka CCM. Then where do they go and what happens to CCM?

Will CCM fall apart and loose general election? Will Wananchi believe that CCM is no longer a good party? Will Ufisadi come to an end?

What wil be the fate of Tanzania after those 5 quit CCM? if they join Opposition or form their new party, will they take control of Government after General election in 2010 or even stir the local government elections to lean towards Upinzani 2009?
 
Ulichosahau pia ni kuwa, kama ccm imeoza kiasi hiki basi inabidi ifutwe kabisa na chama kingine kiundwe. Au ukipenda zaidi ungana na kile ninachokisema kwenye signature yangu kuwa Kikwete aresign haraka sana ili kuinusuru nchi.

Haya mengine yote ni chorus tu kama Mama Malecela akitoka ccm na bado kikabakia kuwa chama kinachoogoza nchi au kikwete ambaye ni mwenyekiti wake akabakia kuwa raisi wa nchi.

wewe unasemaje?

Umenena...Lakini wewe uko hapa jf...Mama keshamwambia mwenyekiti wake wa chama ajiuzulu kwa kushindwa kukisimamia chama?

Ama aliendeleza LIBENEKE kwa kushirikiana kwenye Bajeti ya KIFISADI pamoja kuwasafisha mafisadi?

Ni wapi na lini mama huyo ameshasema ccm si safi?

Mbona munamwekea maneno mdomoni?

Hawezi kupingana na kina kikwete either kiwazi wazi ama kwa siri!
Kwa siri ndio mbaya zaidi...Ni heri afanye wazi na kusema ukweli time is running OUT!

Tumeshuhudia usanii wa hali ya juu wa kikwete kwa kuwapanga watu, kuwapangua na kuwanukisha SHOMBO!
 
Mushi,

Okay lets say Mama Killango, Mwakyembe, Nyalandu, Sendeka, Seleli, na Manyanya wanaondoka CCM. Then where do they go and what happens to CCM?

Will CCM fall apart and loose general election? Will Wananchi believe that CCM is no longer a good party? Will Ufisadi come to an end?

What wil be the fate of Tanzania after those 5 quit CCM? if they join Opposition or form their new party, will they take control of Government after General election in 2010 or even stir the local government elections to lean towards Upinzani 2009?

Wakipata sapoti ya viongozi wa dini...Ngoma ntolee!

NCHI IPO MIKONONI MWA WACHAWI NA WATANZANIA HAWAONI HILO?

AMA NA WAO WAMEROGEKA KAMA WABUNGE WETU WAPENZI AMBAO SASA WANAONGEA KAMA VICHAA!?

KWANZA NAMSHAURI MAMA KILANGO AENDE AKAOMBEWE ILI HAYO MAPEPO YATOKE..BAADA YA HAPO ATAUJUA ULE UPANDE WA HAKI NA HIVYO KUENDELEZA YALE MAPAMBANO ALIYOYAANZA TOKA LOWASSA AKIWA MADARAKANI!
 
Mkuu wangu Mushi,

Mimi na wewe tuna tofauti gani? wote tuko hapa hapa JF lakini mama yuko Dodoma anahatarisha maisha yake kwa manufaa ya watanzania. Wakati ambao wewe unatoa wito yeye atoke ccm, labda ingekuwa vyema kama ungekuwa unajiandaa kuchukua fomu za kugombea ili mimi nilinganishe utendaji wako na wa mama Malecela.

Kwa sasa, mimi na wewe ni makelele tunapiga tu hapa JF lakini mama anawapa hell mafisadi dodoma.
 
Mushi,

Okay lets say Mama Killango, Mwakyembe, Nyalandu, Sendeka, Seleli, na Manyanya wanaondoka CCM. Then where do they go and what happens to CCM?

Will CCM fall apart and loose general election? Will Wananchi believe that CCM is no longer a good party? Will Ufisadi come to an end?

What wil be the fate of Tanzania after those 5 quit CCM? if they join Opposition or form their new party, will they take control of Government after General election in 2010 or even stir the local government elections to lean towards Upinzani 2009?

Rev,

I dont expect your question to be answered.
 
Wakipata sapoti ya viongozi wa dini...Ngoma ntolee!

NCHI IPO MIKONONI MWA WACHAWI NA WATANZANIA HAWAONI HILO?

AMA NA WAO WAMEROGEKA KAMA WABUNGE WETU WAPENZI AMBAO SASA WANAONGEA KAMA VICHAA!?

KWANZA NAMSHAURI MAMA KILANGO AENDE AKAOMBEWE ILI HAYO MAPEPO YATOKE..BAADA YA HAPO ATAUJUA ULE UPANDE WA HAKI NA HIVYO KUENDELEZA YALE MAPAMBANO ALIYOYAANZA TOKA LOWASSA AKIWA MADARAKANI!

Ingekuwa vyema kama ungejibu swali la Rev, hii ingeonyesha kuwa kuna mjadala wenye maana hapa ambapo maswali na majibu na hoja vinajibiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom