Mama kijacho kukosa hamu ya kusex

Hellow jf,kabla sijabeba ujauzito nilikua napenda sana sex yani nikifikisha mwezi or miezi sijasex hapo nakua na hamu kuliko kawaida but tangu niwe mjamzito sijisikii kabisa yani hata hamu sinaa,miezi inakatika but sitamani wala sifikirii kabisa kuhusu sex sina hamu hata kidogo,hivi ni nini hasa hupelekea hii hali maana mwanzo nilikua napenda sana but tangu ninase preg walaaa sihitaji.

nani alikutuma usitumie kondom
 
Kwa upande wake yeye sielewi maana sipo karibu nae pia tangu na mimba before hatujawa na kwaro feeling kwake zilikata hata yeye tu nilikua sipendi niwe nae karibu even akinigusa or nikimwona nilikua naona kero tu,na hata before hatujablock communication daily ulikua ni ugomvi tu na hata sasa sitamani hata kumwonaaa.
mimba ya mtoto wa kiume hiyo nais siku ukisikia anakuja utaondoka ukalale gest
 
kwani si ndiye wewe uliyetoa thread hapa

unaomba ushauri
kuna mtu amekupa mimba alafu amekutelekeza

sio wewe?
So hivo,ni kwamba alitaka nitoe preg me nikagoma and tangu hapo tuka break up even communcation hakuna btn us,but hicho si chanzo coz hiyo hali ilinianza tangu niliponasa tu ujauzito na hata kipindi tuko nae kabla hatuja break wala kuwa na kwaro nikiwa mjamzito nilikua ktk hali hii ya kutokuwa na hamu ya kusex!
 
Kama unaniongelea hivi. Hata mimi sikuwahi kuwa na hamu ya sex mwanzoni na kweli nikacheki nikakuta nina ujauzito wa mtoto wa kiume. Sasa hivi mimba ina miezi nane na wiki kadhaa hamu ya kusex ndo imekuja na baba wa mtoto tulishaachana toka mimba ikiwa na mwezi kwa sababu hizo hizo alisema nikatoe nikagoma akaondoka mpaka leo hatuna mawasiliano. Navumilia tu hamu yangu ya sasa hivi.
 
So hivo,ni kwamba alitaka nitoe preg me nikagoma ko akasema ntajua mwenyewe na kijacho wangu and tangu hapo tuka break up even communcation hakuna btn us,but hicho si chanzo coz hiyo hali ilinianza tangu niliponasa tu ujauzito na hata kipindi tuko nae kabla hatuja break wala kuwa na kwaro nikiwa mjamzito nilikua ktk hali hii ya kutokuwa na hamu ya kusex!

haya twambie

we wahisi ni tatizo au waona ni sawa

tuanzie hapo kwanza
 
Kama unaniongelea hivi. Hata mimi sikuwahi kuwa na hamu ya sex mwanzoni na kweli nikacheki nikakuta nina ujauzito wa mtoto wa kiume. Sasa hivi mimba ina miezi nane na wiki kadhaa hamu ya kusex ndo imekuja na baba wa mtoto tulishaachana toka mimba ikiwa na mwezi kwa sababu hizo hizo alisema nikatoe nikagoma akaondoka mpaka leo hatuna mawasiliano. Navumilia tu hamu yangu ya sasa hivi.
 
Kama unaniongelea hivi. Hata mimi sikuwahi kuwa na hamu ya sex mwanzoni na kweli nikacheki nikakuta nina ujauzito wa mtoto wa kiume. Sasa hivi mimba ina miezi nane na wiki kadhaa hamu ya kusex ndo imekuja na baba wa mtoto tulishaachana toka mimba ikiwa na mwezi kwa sababu hizo hizo alisema nikatoe nikagoma akaondoka mpaka leo hatuna mawasiliano. Navumilia tu hamu yangu ya sasa hivi.
Daaah jaman kumbe sipo peke yangu,polee mwaya jikaze tu kama umevumilia siku zote hizo huwezi shindwa palipobaki..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom